Baba.. hautakufa wala hauta maliza vibaya.. wewe umembeba Mungu wa Kweli.. baba endelea kusema kile kilichojaa kwa moyo wa Mungu.. najua nyakati hizi ni za mwisho so wakweli ni wachache na wasemao kweli ni wachache pia.. ila songa mbele baba.. usiwasikilize watu angalia Mungu amekutuma nini duniani pamoja na mamy wangu mzuri.. nakupenda mama na baba wote ninyi ni chombo cha Bwana..
@merryjohn9520
Жыл бұрын
Amen
@mtilimsita6675
Жыл бұрын
Sometimes jifunze kukaa kimya
@jorammsemakweli3116
Жыл бұрын
Mungu tenda kama upendavyo ndani ya moyo wa mtumishi wako
@edithakisaka5587
Жыл бұрын
Amen Amen Amen
@deneagrofarms5884
Жыл бұрын
@@mtilimsita6675 kheri yako umekuwa na hekima ya kutambua.
@jescaasante8185
3 күн бұрын
Amina baba nabarikiwa na mafundisho yako naomba Mungu anijalie uweza wa kuelewa na kuyashika.
@JoramTimotheo-i6y
Ай бұрын
Udumu milele mwalimu,udum katka bwana nakutakia maisha malefu
@samsonzephania7377
Жыл бұрын
Bwana akutunzee sana mwalimu Mwakasege, nabarikiwa sana na Mungu kupitiaa masomo yako.
@evansamuzi3328
Жыл бұрын
mafundisho bora kabisa .Ubarikiwe mtumishi
@barafumwagloire
Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mwalimu wangu Christophe 💥💥💥💥
@aloycekaguhi7959
Жыл бұрын
Amen barikiwa Sana baba
@magrethbukuku3649
Жыл бұрын
Najisikia fahari juu yako kalumbu kwa namna ambavyo Mungu ana kutumia. Ahsante tumepata kitu 👌
@FloraMahellah
7 ай бұрын
Namshukuru yehova kwa ajili yako mwalimu nimejifunza tusipokee chakula cha bwana kwa mazoea asante
@CharonAwenga
9 ай бұрын
Bwana Mungu awatiye nguvu baba
@StellaJohn-cx7dz
4 ай бұрын
Sharoom Mungu azidi kuwatunza na kuwapa afya njema huduma ya MANA ❤
@deborahjaphety1662
Жыл бұрын
Pia adui anaona wivu kwa vile mnavofanya huduma kwa upendo na ushirikiano.. pokeeni kuishi miaka mingi kwa jili ya utukufu wa Mungu.. na umoja wenu na upendo wenu usikome hata siku moja kwa Jina La Yesu Kristo Wa Nazareti Mwana wa Mungu Aliye Hai.. Amen Shalom..
@blessedtumaini516
Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtu wa Mungu nimepata ujumbe wangu nimebarikiwa. Asante Mungu Baba kuniletea ujumbe kwa wakati kama huu. Amina.
@alimajuka5196
Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Bwana
@damarisabdueli3604
Жыл бұрын
Jamani uwanafulahi sana kusikia masomo ya babangu Mungu alibariki sana
@prisca4612
Жыл бұрын
Amen Amen Amen!!!!
@boazdhahabu876
Жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu
@hermanemmanuel1953
Жыл бұрын
AMINA HALELUYA.
@HappinessRichard-qe8se
11 ай бұрын
Ubarikiwe san
@jaqlinejack641
Жыл бұрын
Barikiwa Sana
@rithersospeterkati2303
Жыл бұрын
AMEN AMEN.
@paschalpaul3862
Жыл бұрын
Powerful nipo mahakamani
@ngwalumusobi4431
Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@samwelilaizer8609
Жыл бұрын
Amen
@bonifacemwakiomrashui7551
Жыл бұрын
Sikuweza kuelewa mile sacramenti inayofanya kwa ulimwengu was roho,hadi niliposikia haya mafundisho ya mwalimu...
@theresialubida161
Жыл бұрын
Amina Amina Amina 🙏🙏
@mielmianda2780
Жыл бұрын
Kwakweli ninajiuliza ndaonaka mutumishi wamungu mwakasege Christopher siku gani. Niombi yangu siku zote mbele za mungu
@samwelilaizer8609
Жыл бұрын
Usijali mpendwa kama unamwona mungu katika maisha yako basi mungu atakusaidia na pia amesikia ombi lako utamwona tu huyu mtumishi wa mungu Christopher mwakasege
@mielmianda2780
Жыл бұрын
Nilisha pima niwezavyo kwenye mutandao lakini siya pata ata kumuongelesha. Kila wakati ninajiuliza ndafanyaje ile nifikie kumuona. Nizungumuze naye.
@mielmianda2780
Жыл бұрын
@@samwelilaizer8609 kwakweli mu nisaidie mu mufikishie iyi ombi. Langu. Kwasababu maneno kwenye simu ao kwenye message siwezi weza eleza sababu ao lengo langu lakumuona. Kama unapata nafasi yakumuona muambie kwanihaba yangu Ninaaja sana
@mielmianda2780
Жыл бұрын
@@samwelilaizer8609. Tena ninachuluru kuniongelesha tena ninachukuru kwasababu tuko najina moja. Namie jina yangu Samuel
@onelovedjonlinetz5989
Жыл бұрын
Ubarikiwe
@eaglecrown6470
Жыл бұрын
Amina 🙏🏿
@emanuelmoshi7414
Жыл бұрын
Tunaomba muweke namba 2 yake hii imeishia katikati
@emanuelmoshi7414
Жыл бұрын
Mubarikiwe
@LuciaMilulu
Ай бұрын
Kongamani la 16 siku ya kwanza
@elibarikijohson7694
Жыл бұрын
Tumunyana nalengi
@danielmlwafu4380
Жыл бұрын
Live sauti ya roho
@daudimhoha320
Жыл бұрын
Haleluyaaa🙏🙏👍
@magrethbukuku3649
Жыл бұрын
Somo linalo endelea baada ya hapa tunalipataje maana hapa inaonekana kuna utamu unao endelea mbele. Kindly assist
@lusajokibona1868
Жыл бұрын
Mwalim Mungu aendelee kukutia nguvu, maana umebeba jumbe wa watanzania, kutoka kwa Mungu, mimi nafuatilia masomo yako hakika nimekua kiimani
@christinewomanoffaith5479
Жыл бұрын
Haleluyaaa
@jamesmhondele4508
Жыл бұрын
Ni bukoba sehemu gani??
@lightnesskweka4774
Жыл бұрын
Hi seminar Iko wapi et. Jaman 😢🇮🇱🇹🇿🇮🇱🇹🇿👏👏🙏🙏🙏🙏Ameen
@blessedtumaini516
Жыл бұрын
Bukoba.
@bilugwemwanzije
Жыл бұрын
Neema na maarifa zikuangaze mtumishi !!?
@paschalpaul3862
Жыл бұрын
Jamani clip imekuwa fupi.....tunaomba full mafundisho haya ili nasi ambao hatupo bukoba tuweze kuona hukumu ya miungu inayotufuatilia
@christinewomanoffaith5479
Жыл бұрын
Naona imeandikwa part 1 juu hapo Means Kuna kipande kingine
@jamesmhondele4508
Жыл бұрын
Ni lin kongamano hili limefanyika??????
@christinewomanoffaith5479
Жыл бұрын
Limeshapita ,sikumbuki vzr mwezi
@theresialubida161
Жыл бұрын
Jamani wewe James wewe sikiriza Tu upone inataka ujuwe Mbaka siku ulilo fanyika
@mtilimsita6675
Жыл бұрын
Muda sana
@neemasanga5333
Жыл бұрын
BABA UNAJUWA KUMNADI MKEO ILI KUWAKELA WATU MAKUSUDI MAANA MIMI NINAJUA YEYE NDO CHANZO CHA CHANGAMOTO ZINAZOENDELEA KWENYE NCHI KIPINDI HIKI, HUDUMA YENU KWA SASA NI IKABODI WATU WAMEJITAHIDI KUKWAMBIA UNAONA WANAKUONEA WIVU HONGERA KWA KUANZA VIZURI POLE KWA KUMALIZA VIBAYA😭.
@damnotijaphet8248
Жыл бұрын
Mungu akusamehe bure ndugu yangu
@PASTOR_SHITINDI
Жыл бұрын
Huyu sikuhizi roho mchafu ndoo anafanya kazi Kwanza hajabatizwa
@janelunanilo162
Жыл бұрын
Toba na rehema haya ndio maombi yangu kwa Mungu juu yako Neema sanga Mungu akurehemu
@janelunanilo162
Жыл бұрын
@@PASTOR_SHITINDI ww uliyebatizwa tushirikishe na ss what is so special in U????
@princesmaile3565
Жыл бұрын
Mungu atusanehe kwakuwa hatujui tulitendalo, kwani watu wa Mungu hatusomi biblia? Mfano mzuri yesu alikula na adui zake unajua kwanini? Na je Kuna mtu mwenye uhakika kuwa huyu mama ni ibirisi au ni mtu wa shetani usihukumu utahukumiwa twaweza kuhukumu Kwa kimwili yaani upande wa kibinadamu wakati rohoni Mungu anamwona ni mtu mwema, isitoshe Mungu katupisha katika Hilo ili tumludie maan binadamu akishiba hamkumbuki Mungu ila akiwa na njaa anamkumbuka Mungu 😥
@WilfredNassari
6 ай бұрын
Ameeen
@alimajuka5196
Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Bwana
@farajalaizer6556
Жыл бұрын
MUNGU aendelee kukutunza mtumishi wa MUNGU AMENI.
@alimajuka5196
Жыл бұрын
@@farajalaizer6556 Amina Baba napenda sana mafundisho yako maana napenda Sana kukua kiroho
@ikanaelmshana8182
Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu barikiwa sana Hakika tunateseka sana swala la miungu Tusaidie tuvuke tutoke katika hii Miungu kwa Damu ya Yesu
Пікірлер: 75