This lady must have gone to school in international school. Very bright and knowledgeable. Kudos Aliah
@Said_Abdul
Жыл бұрын
Aaliyah kawa very emotional kwernye swali la kapata mtoto nje ya ndoa. moreover she seems open minded and able to contain herself brilliantly.
@anicyaedward5605
Жыл бұрын
Myself I realize that there is something going on .. 😌
@joysarah
Жыл бұрын
Huyu interviewer kuna kitu anatafuta😂😂..but aaliyah is so smart
@paulinebohela2540
Жыл бұрын
MAKOPA KWA AALIYAH ❤❤❤❤❤
@rehemaothman2200
Жыл бұрын
🧡❤💛🧡❤❤❤💗💘
@lilybarongo8119
Жыл бұрын
Yaan wazungu watangazaji hawafanyi vipindi kwa kiswahili Ila sisi wabongo kujifanya kingereza km vile tumeishi nacho
@Josh_1194
Жыл бұрын
Ndo ukoloni wenyewe huu ,
@jenahando2747
Жыл бұрын
Ndio raha ya shule bro!!!!!
@MaureenMollel
Жыл бұрын
Nice interview..bt kweli mafahari wawili?....there was tension btn these 2 at the beginning..If u don't get it forget abt it🤗
@OnlyRuky
Жыл бұрын
She's very matured...I love her Waiting for the interview 💃💃 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo umepatikana?
@amanimapenzi571
Жыл бұрын
I love you Mackenzie that was being very professional. Big up to àaliyah as well it was so mature of you
@teddyxavery3708
Жыл бұрын
Katisha sana
@tinershayo6191
Жыл бұрын
Aliyah mzuri Jamani sweet ❤❤❤
@rehemaothman2200
Жыл бұрын
Ma sha Allah
@twentyacresfarms3464
Жыл бұрын
Mtangazaji ana juwa kingereza huyo mgeni anajishaua Sana
@carolsayo6409
Жыл бұрын
Wooow she a genius
@emmanuelenock6310
Жыл бұрын
Kinge🙌🙌🙌🙌,tunaomba tutorial class
@wardaridhwankassim4774
Жыл бұрын
Nimeona ktu kwa Aaaliya ajarb kuigza ..!👌
@pendokissatu937
Жыл бұрын
Combination Nnzuriii sanaaa Aliya na huyuu mtangazaji
@husseinmasangya1272
Жыл бұрын
Huyu mpuuz kasemaje😂😂😂 hapo mwisho😂😂
@rehemamalombo2344
Жыл бұрын
anakaa na matharau huyu sijui nialia ,ama sijui yukoje ukiangalia uso anakaa anamathatau sana ,
@namsamson3443
Жыл бұрын
Umeona ee..mimi huwa spendi kuangalia wakimuinterview. Hata hii sijaangalia nimeona tu ulivyocoments
@prospermbatha5976
Жыл бұрын
Excellent journalist
@desmaambiche1679
9 ай бұрын
Zuchu forever ❤❤❤
@Dhahira16
Жыл бұрын
😂😂😂very tough game 😂😂pole sana Aaliyah 😂😂
@stellah3844
Жыл бұрын
Hadi huku my 💞
@Dhahira16
Жыл бұрын
@@stellah3844 yote mitaa yangu my dear 😘😉
@stellah3844
Жыл бұрын
@@Dhahira16 🌺🌺
@didahsalim6521
Жыл бұрын
Yaani hapo kwa Harmonize Aliharibu kwa Kweli Yaani wasafi mnamchukua snaa Mwenzenu na Anafanya Kazi nzry sanaa
@realnine..
Жыл бұрын
I love Aliyah
@lorettahamaro9065
Жыл бұрын
Na madam host you take a sip from a drink not a puff,a puff ni from smoking..
@maryamdigelo6288
Жыл бұрын
Acheni ushamba kuna wanao kufatilieni wameishia lasaba tena shule za kimaskin tena ndioweng zaidi sasa icho kizungu chenu cha zezeze !!..afu huo ni ushamba tena ulopitiliza kwani kama unajua kizungu ukakitumia sehemu husika utababuka au? Hoooovyooo....
@dannylinguist15
Жыл бұрын
Kwani umeitwa uangalie. Pita kushoto.
@salammohammedy9316
Жыл бұрын
@@dannylinguist15 ndio ushamb tu waongee lugh ya taifa ushamb mwing
@julianambuta2009
Жыл бұрын
Yn host your so talented I like ❤️
@gorretagatha6267
Жыл бұрын
Lia sababu ni wcb, thus y she hate harmonize, coz boss at apunguze mihela
@shishgal2274
Жыл бұрын
Huyu mwanamke anajua Aliya na Zuchu ni WA Mondi
@josephmabula9658
Жыл бұрын
Kipindi kizuri mnoo
@khalsasalim7930
Жыл бұрын
Kwavile unakazwa na domo unromantic umtaje harmonize 😂
@jumajay8496
Жыл бұрын
Take out from the position of boss and sell ice cream.
@massejobbs4284
Жыл бұрын
Una akili sana
@nadrahassan5241
Жыл бұрын
Mbona aki ulizwa kuhusu familia ya Diamond anakwepa ila kwawengine nimwepesi kuyajibu!?
@christercheru8328
Жыл бұрын
Wakwe zake katoa mimba tena na tena na bado kaachwa
@danielarapmoi3041
Жыл бұрын
kipindi kizuri idea kali sana ispokua u need to put time they take too long to answer
@radhiaabbas1040
Жыл бұрын
Mtu na mke mwenzie
@issayaamon6171
Жыл бұрын
My advice SHOW YAKO INA UTIMU KATIKA MUZIKI. YOU HAVE TO BE PROFESSIONAL. MGENI ANAKUHARIBIA SHOW YAKO
Nenda kaangalie za kiswahili mbona zipo nyingi ..!!Kuna watu wa kimataifa wanaangaliaga sasa wataelewaje
@tamashaqatar8557
Жыл бұрын
Hamna lolote ongea lugha moja tatizo mnajua ukiongea kiingereza uko juu kumbe ujinga tu na ulimbuken
@tutwalwal3161
Жыл бұрын
I love you guys
@hanifamajid6964
Жыл бұрын
Nimeipenda😅
@mzikimina3753
Жыл бұрын
Huu ujinga watanzania awako real unamuweka mtu awezi kuongea ukweli
@niyongendakosamuel858
Жыл бұрын
Mnafiki tena umbwa eti harmonize hafai kuwa msani bola wa mwaka acha bangi
@bwanabrainex433
Жыл бұрын
Haya maswal lazima utakunywa ty😂😂😂
@officialidakeys
Жыл бұрын
Jamani Kipindi nikizuri Saaana ila sasa ivyo vingereza Vingereza Vyenu Duuuh Acheni Kujipendekeza na Vingereza Jamani ila BING UP kwako AALIYAH Uwa napenda Sauti yako
@edinakyaruzi9226
Жыл бұрын
Wewe mwenyewe una official hapo nikiswahili
@officialidakeys
Жыл бұрын
@@edinakyaruzi9226 🤣🤣🤣🤣🤣
@wozanawewoz979
Жыл бұрын
@@edinakyaruzi9226 😄😄😁
@nancyg8664
Жыл бұрын
@@edinakyaruzi9226 🤣🤣nimependa
@pichunakichuna2111
Жыл бұрын
Ongea Kiswahili au muende kuishi Kenya
@husseinwemmar6217
Жыл бұрын
IRIT O SPILIT
@farahanafarer7588
Жыл бұрын
I assume you want people to drink instead of answering
@annajohn2488
Жыл бұрын
Jitahidi show yako isilete uteam itakuwa upumbavu tu
Пікірлер: 101