#ELOHIM, wimbo wa kwanza katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kuwa muongozo wako katika kumshukuru Mungu kwa yale mambo makuu aliyokutendea katika safari ya maisha yako.
LYRICS
Asante ELOHIM
Wewe Ni MUNGU Unaetenda
Asante ELOHIM
Wewe Ni MUNGU
Ni Mungu ( Unaetenda)
Tumetembea na wewe
Toka mwanzo uko pamoja nasi
Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako (Asante ELOHIM)
Ulitangulia Mbele
Bila wewe Tusingeweza
Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako
( Asante ELOHIM)
Mabaya Yaliinuka
Lakini hayakutupata
Ulitutetea, Ulitushindia
( Asante ELOHIM)
Ndio Maana Tunakusifu
Umetenda Makuu Kwetu
Umetutetea,Umetushindia
(Asante ELOHIM)
Tunashukuru Ee Baba (Asante ELOHIM )
Mkono Wako Umetubeba(Asante ELOHIM)
Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
CREDITS.
Audio production - CVC Music Department
Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro
Негізгі бет Музыка AIC Chang'ombe Choir (CVC) - ELOHIM (Official Live Video)
Пікірлер: 1,3 М.