Eeeeee mungu wangu nisaidie kuwafungua watoto wangu David n'a Danny wanalewa sana wakipata tu pesa hâta ni iko kidogo wana kwenda ku pombe n'a kufuta bangii bwana yesus muokozi n'a muongozi wetu waokowe awaa wa toto wangu sina Amani naishi kwa watu basii nakutumania yesu muweza yote
@AnnociataMushosheke
2 ай бұрын
Niko congo bukavu
@stella-xq9cx
Ай бұрын
Leo Yesu Christ anakuja na nafunguliwa Kwa Jina la Yesu Christ nakwenda kuolewa
@fatumaekabe9464
5 ай бұрын
Magonjwa bahia bahia namsinirudilie tena.
@AkibaruEzekiel
3 ай бұрын
Eemung naomba unifungue nakifungo nilicho nacho
@kwanzainteligence9642
27 күн бұрын
Jamno, niko Kenya. Naweza saidika aje kutengwa na pepu za kichawi nikiwa mbali?
@AnnociataMushosheke
2 ай бұрын
Na mimiMungu ani funguwe na hawa watoto wangu walo mbali na karibu
Пікірлер: 81