Alhamndulilah timu imetimia nakuomba Allah wazidishie Kheir wachezji wetu Inshaallah
@NelbatKasekwa
19 күн бұрын
Tunamshukuru mungu Aziz k kubaki alive you viongozi wetu hakika tumefurahi
@MonahMosafiri
19 күн бұрын
Like nyigi jaman Kwa semaji letu💚💛💚💛💚
@patridabernard9148
19 күн бұрын
Hakika mwenyezi mungu muumba wa mbingu na nchi Naomba awabarki sana nyote mliofanikisha upatikanaji wa wachezaji wote wazuri kuwa mali yetu hakika kipekeee biyo siku na iwepo tutafurahi mnoo nawaombea pia wachezaji wawe na afya njema daima
@GastonKalova-nz1ly
19 күн бұрын
Ubora wako ndio unafanya yanga izidi kuongelewa vizuri Afrika
@dullamuso6955
19 күн бұрын
Kazi nzuri sana Viongozi wetu, Sasa niwakati wetu kama wapenzi wa Yanga kukata Card za Uwanachana na Kuzilipia Kikamilifu.
@IsrahMachota
18 күн бұрын
Ally kamwe always he've been speaking the truth salute to you blood
@patridabernard9148
19 күн бұрын
Hongera sana semaji prince cleotus ki pacamwe
@user-on6qv5cp3o
19 күн бұрын
Kwa kumbakiza masta Ki👏👏
@bakarimasanga3634
18 күн бұрын
😂😂😂kumla pweza gizani, hhahah...
@malietamaliet
19 күн бұрын
😂😂😂ila kamwe ety psg real Madrid
@subiralema
19 күн бұрын
Ongereni
@mohdmohd8428
18 күн бұрын
Mzee said loading...
@JeniphaRobert
18 күн бұрын
😂😂😂 nahisi ana hasira jini lake limebaki
@pauloisso5815
19 күн бұрын
Kwel nimefrah San nilikuwa na msongo WA mawazo tangia asubuh ila saiv nipo baa nalewa Kwa sababu ya azizi ki mwamba
@josephlorri431
19 күн бұрын
Mimi pia..nagida kitu nyeupe,fahari ya nchi..huku nikisubiri mdudu asiyebeua + ndizi.. jioni yangu iko pouwa.
@ErnestMoyo
18 күн бұрын
😂😂😂😂kula bia
@rogersiddy
18 күн бұрын
@@josephlorri431😂😂😂😂🙌
@AlexIsa-e8q
18 күн бұрын
Tabu iko pale pale mwamba wawagadu yupo Sana jangwan
@WilliamJoel-kz2jv
19 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤
@AliAli-uv5gw
19 күн бұрын
Eti " tuna roho mbaya"
@Maafyaah
19 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@AishaNdinadyo
19 күн бұрын
🎉
@crepinekazoba4720
18 күн бұрын
vipi Khalid Aucho Dr
@fihirishemaadihussein6124
19 күн бұрын
Mpira ni sayansi hongeren viongozi wetu
@user-cx7uz3ri6v
19 күн бұрын
Kajamaa kana kix hako. Eti PSG, Man City, Real Madrid
@goodlucksamuel7383
19 күн бұрын
Stephan Aziz k amenipa hela Sana leo. Nampenda na nitampenda.........
@catherineluboneka7359
18 күн бұрын
❤❤❤❤semaji letu bora
@EmmanuelPhares
18 күн бұрын
Wape salam
@frankhoffa8356
19 күн бұрын
Bwanamdogo kwa upande wa kuleta ubingwa wa Afrika hapa Tanzania! haaaa hapo jamaa umekwerema
Unataka uweke Heris Day uchinje ngamia ukaharibu pesa kupika makeki chama day
@sevarinijrchitandachitanda138
16 күн бұрын
🔥🔥🙏
@aishahaji3128
19 күн бұрын
Kamwe wacha kutumia pesa za club ww ziwekeni hakiba GSM iko siku atatoka huyo zitatusaidia
@AlexIsa-e8q
18 күн бұрын
Watasema nn yanga niwakubwa Sana watoto was msimbazi wameenda kutari misiri
@josephjuma1929
19 күн бұрын
Wachezaji wote tunao na tunatamba nao
@user-hy4zb3eg1z
19 күн бұрын
Iandae Hersi day kamwe ila iwe kila tawi nchi nzima
@alphajonathanurio1227
19 күн бұрын
💚💚💚💚💚💛💛🙏🙏🙏💪💪💪
@simonwilfred7119
19 күн бұрын
kamwee😅
@user-xt3hb6fx2f
18 күн бұрын
Ninakubaliana na Ally Kamwe kwa 100% kwa kauli ya kumkiri Engr Hersi. Tumpe maua yake engr Hersi jamani.
@fortunatusjuma6763
19 күн бұрын
Fitness coach jaman muhim sana
@Prince-rafael
18 күн бұрын
Mwalimu alieukumia kwa kosa la kumlazimisha mwanafunzi kumwingilia kinyume na maumbile; amekata rufaa kwa kudai kuwa akujua kma mku....ndu wake n Mali yaserekali na akisema pia why miaka yote ela za serekali zinaliwa na wapo kmya ila yeye kuliwa tu mkund..... Wake ndio serekali imjie juu lkn pia akagusia kwann aliyekuwa polisi wa Zanzibar aliachiwa huru?? Akimu akamjibubkuwa kuwa mkun...ndu sio Jambo la muungano.
@user-on6qv5cp3o
19 күн бұрын
Hers pokea maua yak🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-km8xp9gy8v
19 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@victorernest7702
18 күн бұрын
🎉🎉🎉
@alicenice1711
18 күн бұрын
Kamwe bhana 😂😂eti ndondo cup
@JofuJafet
18 күн бұрын
Litakuf jitu
@user-ut5ho8dg9y
18 күн бұрын
Uko sahihi semaji letu
@hatibulukindo2105
18 күн бұрын
Hamna hela nyie mabwege
@SAIDMANGWALA
18 күн бұрын
Nikwer
@aishabakari8040
19 күн бұрын
Bacca Aucho mrudi tenaaa
@maalimrajabumaalim3590
19 күн бұрын
jaman hao makolo leo watasema nn?
@martinmashinga2903
19 күн бұрын
Mimi ni yanga ila nataka mbadala wa aucho
@fihirishemaadihussein6124
19 күн бұрын
Kamwe unakeraaaaa
@SamwelMnaga
19 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fredyjunior6961
19 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mgenikhalfan7471
18 күн бұрын
💛🟢🟢💛🟢💛🟢💛💛🟢💪🔥
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
19 күн бұрын
Yanga haarikwa ulaya hahahahaha
@drallan6879
19 күн бұрын
Ally kamwe usijisifu mnokummpata huyu Aziz K bakuli limetembea Hadi Dodoma! kuwa na Akiba ya maneno;
@user-sw9tp2rf7f
18 күн бұрын
Wewe ulichangia shi ngapi kaa kwa kutulia subili doz yenu tunaiandaa tunataka msituzoee
Пікірлер: 68