Nakusalimu kwa jina la Yesu!
Kwa muda wa miaka 20 nimetumika kwenye eneo la uimbaji na kupitia huduma hii naamini kwa njia moja ama nyingine umehudumiwa, umeinuliwa, umefarijiwa na umejengeka kiimani.
Mimi pia Mungu amenisaidia sana, amenirehemu sana na amenitunza sana.. Nilianza kama utani na ndoto yangu ya kuwa mwimbaji ilianza Nikiwa na miaka 6, kisha nikaokoka Nikiwa na miaka 12, na baada ya kujazwa Roho Mtakatifu nikaanza kuimba kwa kueleweka Nikiwa na miaka 15...Mwaka 2002 Nikiwa na miaka 17 ndipo nyimbo zote za albamu ya kwanza Majaribu ni Mtaji zilikamilika na kurekodiwa...
na zikaanza kupata nguvu zaidi mwaka 2004 mpaka sasa.
Baada ya kutafakari Mungu amenigusa kuandaa ibada ya shukrani na live recording kwa kuimba nyimbo za albamu kuanzia ya kwanza noaka mpaka sasa siku ya ibada hiyo... tarehe 08 December 2023 katika ukumbi wa Mlimani City/Dar Es Salaam. Kuanzia saa 16:00 Hadi usiku saa 02:00.
Kama umewahi kuguswa na Kubarikiwa na wimbo wowote na ukakuhudumia, ninalo ombi kwako la kipekee, naomba Uwe mwandaaji wa ibada hii popote ulipo, kupitia sadaka yako, maombi, yako nk. Ibada hii gharama yake ni kubwa Sana ni Mamilioni ya fedha na ninaamini unayo sadaka kusema Asante pamoja nami kwa nyimbo hizi ambazo zimekuwa Baraka Sana kwetu...
Naomba nikushirikishe hilo na naamini Roho wa Mungu anakusemesha na wengine mlishasemeshwa kufanya kitu kwa ajili ya huduma hii ila hamkufanya, Sana tumia nafasi hii kutimiza kile uliwahi waza, na uliwahi semeshwa na Roho wa Mungu lakini ukasahau.
kwa sasa tunapokea sadaka yeyote kwa number za malipo zifuatazo
AMBWENE MWASONGWE
CRDB BANK ACCOUNT: 0152292751601
Tigo Lipa number: 8431581
AMBWENE MWASONGWE/ 20 YEARS ANNIVERSARY.
Pia kama uko nje ya Nchi au hata ndani ya Nchi waweza tuma kwa..
Tigopesa 0713619931
Mpesa 0767619931.
Na number za mawasiliano ni 0767619931, 0713619931.
Email mwasongweambwene82@gmail.com
misuliyaimani@gmail.com.
KWA SASA HATUJAWEZA KUTANGAZA KIINGILIO ILA TUMEANZA KURUHUSU SADAKA YA KUNUNUA MEZA YA WATU 10 YA VVIP KWA SHILINGI 1 MILLION.
TUKIMALIZA ZOEZI HILI TUTAKUJA NA KUTANGAZA VIWANGO VYA SADAKA/VIINGILIO.
Mungu akubariki sana.
Негізгі бет Музыка Ambwene Mwasongwe: Kufanya ibada kubwa, tarehe 08, December 2023 Mlimani city Dar es salaam
Пікірлер: 29