Welcome mtumishi we are blessed with your songs.God bless you
@AbigaelJeptoo-xi4su
3 ай бұрын
Karibu kenya sana ndugu Anoint nakutakia mema unapokuwa huku nyimbo zako zanibariki sana sana niko shehemu za Eldoret lakini ntakufuatilia mtandaoni wacha Mungu azidi kukuinuwa unapoendelea kumtumikia,
@LydiaWafula-gn5qs
3 ай бұрын
Karibu sana kaka,twakukaribisha 🇰🇪 napenda nyimbo zako
@princejsila5872
3 ай бұрын
Baba Mungu akutunze sana baba yangu
@user-lf7ow5hd2d
3 ай бұрын
Pole sana mungu akuponye be blessed 🙌 welcome welcome🎉🎉🎉
@bravinfani
2 ай бұрын
Karibu kenya tunakupenda sana mm pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili pia ningependa uje tukutane ili tufanye kazi yamungu pamoja kwa kurecodi nyinbo moja watu wengi huku mombasa watu hunita ndugu yako kwasabu ya mm ninavyo cheza kama wewe hadi watu huniita annoint amani kwasababu pia huwa nacheza nyimbo zako lakini mm tuningependa turecord mziki mmoja ili watu washagae wajue mungu yuko na utabarikiwa kwa kumsarport kijana anaeanza mziki kama mm
@nabiibikemwayowele
3 ай бұрын
Amen Kabisa
@LydiaWafula-gn5qs
3 ай бұрын
Karibu sana 🇰🇪. Kaka twakupenda sana
@WilfridahKwamboka-tv3rc
3 ай бұрын
Kariba Kenya annoint we love u so much mtumish wa mungu
@ZawadiRimba-gy4dn
3 ай бұрын
Pole sana baba bwana yesu akuponye ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MargaretAtieno-xx7ys
3 ай бұрын
Usijali baba yangu wakipeke utapona kwa jina la yesu
@mrnickmusician7139
3 ай бұрын
Pia Mimi nko Mombasa miritini ufuta karibu sana sijuwi tutakutana na wewe wacha Mungu akutangulie
@rehemashariff3119
3 ай бұрын
Ameeen Mungu akutangulie
@PatrickBihembo
3 ай бұрын
MUNGU akubariki sana kwakazi unayo fanya, pia akulinde,🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩twakupenda sana, kijana mwenzetu,
@KimengeBuzindu
3 ай бұрын
Amujambo
@PatrickBihembo
2 ай бұрын
Poa
@AdonisSifa
3 ай бұрын
🎉🎉🎉
@EliyaBaynit
3 ай бұрын
Mtumishi anoit samahan kurecord wimbo moja audio AEA Ni kiasi gani cha fedha inahitajika pleace
Пікірлер: 23