Masha Allah nilikua nafikiria sana jinsi gani nitapata mawaaidhwa yake Mufti wetu huyu katika uhai wake embu sikiliza utamu wa swauti yake ladha anavyosoma hizo Aya za kur'ani na hadith za Mtume wetu Muhammad Sw Yani hana pupa na wala hatokwi na mishipa ya shingo kama hao wanaotutukania masheikh wetu hawa na wazee wetu kwa ujumla ALLAH akuhifadh wewe na wenzio wote waliokua pamoja na wewe na waliosoma kwako Mana hawa masheikh wa sasa wanaowazarau masheikh wakubwa kama hawa ndo wanazo sana twabia za kujiona wao ndo wanajua sanaa na kututukania masheikh wetu na kuadharau Sasa embu tumsikilizeni Almarhum Mufti wetu Emed bin Jumaa bin Emed katika wakati wake katika ubora zaid kanakwamba yupo hai ALLAH akueke peponi Mzee wetu wewe na wanzako waliopita kwako katika ubora wako ALLAH awarehemu na awape nusra IN SHA ALLAH
@universitylink
Жыл бұрын
Napenda kumsikiliza anavyosoma ana sauti nzuri sana na ufasaha wa maneno
@universitylink
Жыл бұрын
Allah amlipe janatul firdous nuzulaa alikuwa kigogo haswa
@rezicky
Жыл бұрын
Ma Shaa Allah kisa chenye mazingatio Allah Amrahm amtilie nuru Kabir lake Ameen🤲
@swalehemrombo9301
2 жыл бұрын
Mashallaah Allah amraham mzee wetu huyuu.!! Na wasimamizi wa kazi zake wazitafuze watuweke zaidi na zaidii
@khamiskikwape2239
2 жыл бұрын
Allah mwingi wa Rehema amrehem sheikh wetu huyu
@lullebolle808
8 ай бұрын
Shekh wetu bora
@ramaaman4020
Жыл бұрын
Shukran Shekh
@ZQTANZANIA
Жыл бұрын
Allahumma nawwir qabrahu
@user-hb8vi9fx6g
Жыл бұрын
Mwenyezi mungu AMRAHAM SHEIKH LETU MLEZI WETU
@AbdallahMussa-zu2wx
3 ай бұрын
Allah amrahamu amtie jannatul firdaus nuzula aaamiin
@umsoud3306
9 ай бұрын
الله يرحمه ويغفر له
@athumanzanangwa4477
Жыл бұрын
Mashaallah, Allah Akurehemu Sheikh wetu!
@Salimajeeb
2 жыл бұрын
Mashaallh mashaallh allah amrahamu shekh letu
@habibakhalfan1065
2 жыл бұрын
Mashaallah_Allah_amuweke_pema_pepini
@nasirshekhi6070
2 жыл бұрын
Yarabb Aameen 🤲
@mtindikoja8837
Жыл бұрын
Huyu ndio miufti Bora kuwahi kutokea Allah amrehemu
@SalmaMalik-gm6jf
5 ай бұрын
My grandpa so sad tumezaliwa kukuona😢Allah ampe jannatul firdaus
Пікірлер: 21