I don't know why Tanzanians are always lucky to have visionary leaders. God bless TZ from Kenya 🇰🇪
@freedriwa7050
3 жыл бұрын
Rule number 1: Put God first
@aminasolisi6961
2 жыл бұрын
@@freedriwa7050getting we
@mpendakiswahili3053
2 жыл бұрын
Sio bahati, ni kupiga Kura inavyofaa...
@denisimweji4504
2 жыл бұрын
Asante! Mungu akubariki
@Godgrace67
2 жыл бұрын
@@mpendakiswahili3053 ulimpigia kura nyerere wew
@hadijamagufuli2661
3 жыл бұрын
Haya wahenga wenzangu mpo, maana kipindi cha hyu mzee tulikuwa wadogo ila kwasasa mhm sisemi sana gonga like twende pamoja wale mnaojijuwa ni wahenga 😅😅😅
@princenewton
4 жыл бұрын
Much Love From KENYAN'S 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 We love our Brothers Tanzania's 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Forever
@johnsanga9528
4 жыл бұрын
Welcome brother 👊
@edwardombeni5633
4 жыл бұрын
Elfu tatu hadi milioni miatatu na hamsin kweli uchumi was kikoloni unakuwa
@barackmaimu1452
3 жыл бұрын
big up brother
@braitonitaifa4995
3 жыл бұрын
Nakupenda sana mwalimu
@greyuliki8027
2 жыл бұрын
🙏🙏❤️
@safarichui8551
4 жыл бұрын
Dah, yaani Baba wa Taifa alijinyima riziki na kuacha kufanya kazi yake ya ualimu ambayo ilikua ikimpatia riziki na kuchagua siasa ili kuikomboa nchi yetu Tanzania. Mungu amrehemu na amjaalie pepo, Amen
@patricknamangoa6468
4 жыл бұрын
Huyo ndio JULIUS bana a.k.a the brain! The hero and icon number one in the history of our continent.
@karimabdallah3296
4 жыл бұрын
Wanao mkubali mtiga abdallah gonga like twende sawa
@mohamedimganga1481
4 жыл бұрын
Mtiga abdalla ukosei story nakukubali sana from songea msamala
@alfredbaraka2209
4 жыл бұрын
Karim Abdallah 👍👍👍🇹🇿
@amadadam9244
4 жыл бұрын
Dahhhhhh
@issashabanibakari1433
4 жыл бұрын
Karim Abdallah vp mtig
@farajimmari1523
4 жыл бұрын
Problum
@stephenmusyoka3938
2 жыл бұрын
Mungu anaipenda Tz Sana, Watanzania Mungu amewapatia viongozi wenye Hekima lakini nyinyi hamuoni hivyo ila kuwaangamiza tu. Tuuma za bure tu badala muwashike mikono kukomboa nchi yenu. Mungu abariki Tz. Am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@wilsonchishomi1083
Жыл бұрын
Kweli kabisa
@camilomassao8971
Жыл бұрын
Very true brother!😭😭😭
@pitalimbu3721
Жыл бұрын
lL
@khamissathumany8392
4 жыл бұрын
Story nzur sana pongezi kwako mleta story ALLAH akujalie uendelee na huo moyo
@likevery3498
4 жыл бұрын
Badala ya kutoa comment zenye maana mnaishia kuomba like. How come??? R.I.P BABA WA TAIFA
@lazarohaule3588
4 жыл бұрын
R i p father see you Again
@felistambwale2687
4 жыл бұрын
Wanapenda like cjui Zina Radha gani
@anoldykamugisha9993
4 жыл бұрын
@@felistambwale2687 🤣🤣 wakat haziwafkish kilelen😀
@lucasmanyama2892
4 жыл бұрын
R. I. P Mwl nyerere
@rukahayapolendunguwafiwaha4460
4 жыл бұрын
@@lucasmanyama2892 r l p baba wet
@saadahamimu7596
3 жыл бұрын
Nimekuj tena kuangalia baada ya kifo cha jembe letu maguful🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭
@elibarikifoya6385
3 жыл бұрын
dah inaumiza sana mungu mpokee magufuli
@taslimanyange2850
3 жыл бұрын
Mungu ampe makazi yaliyomema
@Lavalava-lg2ww
3 жыл бұрын
😭😭😭
@suzanamabula2099
3 жыл бұрын
Tuko wengi
@djmackmovies.
3 жыл бұрын
2po wengi
@dinnahnyoni6301
4 жыл бұрын
Haya ndiyo yakujifunza Safi Sana wasafi mtiga na hiki ndicho kipaji chako ambacho MUNGU amekupa 💞
@joycefredrick2244
4 жыл бұрын
R. I. P our hero....Bila Nguvu yako ww Tanzania tulikuwa Bado kwenye mikono ya wakolon.... Tunakukumbuka daima vizazi na vizazi hautatoka kwenye kumbukumbu za Watanzania... Pumzika Kwa Aman
@rogerabdallah439
9 ай бұрын
Sasa wewe mmekomboka nini nawakati bado wakoroni wapo
@subrynerysegerow1323
4 жыл бұрын
Dah I miss you Nyerere 😔 story ilivyoanza vimachoz vilinilenga kidogo asee pumzika kwa amani baba always in our hearts ❤️Shoutout to Jamal April shoutout to Mtiga Abdallah mko vzur vijana
@simonfilbert7008
4 жыл бұрын
Jamani leo nimekuwa wa kwanza kuisikiliza story book ya baba wa taifa rip mwl j.k. nyerere😭😭
@mohamedimganga1481
4 жыл бұрын
mtiga elim yako kidato cha ngapi?
@creativetv989
4 жыл бұрын
Simon Filbert subscribe @vanessamdee youtube chanel 🙏
@salumkanju1732
4 жыл бұрын
Hongera kwa simulizi ila haiko sahihi, unapoamua kumtolea story mtu legendary kama huyu jaribu kuutafuta ukweli halisi ili ukiisimulia watu wajifunze ckuiz hata humu watu hujifunza pia ila inasikikitisha unaweka story ambayo ina mapungufu mengi sana.....we loved nyerere but wewe hujamtendea haki hapa, RIP faza of Tanzania
@hancpoper3470
4 жыл бұрын
Wasafi ipo juuuu na itakuwa juu milele
@chambotz9352
4 жыл бұрын
Nani Anayetoaga Hii Hotuba Namkubali sana Nilisahau Kumwambia Gonga Like Kwa WASAFI TV
@raymondmwampamba1646
4 жыл бұрын
Niatali cn
@kihangasper
4 жыл бұрын
Anaitwa mtigah abdalah
@azahomar2504
4 жыл бұрын
Ni mtiga abdallah
@mkumbojaphe616
4 жыл бұрын
Ima BoyLTz r
@dikioska7670
4 жыл бұрын
Mtiga
@MyName-wd8cp
4 жыл бұрын
Ukwel nakumbuka nilikua mdog ila nililia sana dah,, ufaham wangu ulikua mdogo sana ila cjui kwa nn machoz walitawara macho yangu! Mungu akupumzishe kwa amani🙏
@keyakeya8911
4 жыл бұрын
Pole Sana mm nilikua bado hata sijazaliwa
@MyName-wd8cp
4 жыл бұрын
@@keyakeya8911 🙏🙏
@fatumachombo5450
4 жыл бұрын
keya Keya kweli zote zilikuwa juhudi za mwenyenzi mungu kuitoa Tanzania kwa mabepari
@tonyjohn8419
4 жыл бұрын
Wacha uongo wew
@gervasjustn2842
4 жыл бұрын
Mimi nilikuwa na miaka 14, hivyo nilikuwa naufahamu sana na nililia sana kwani kijiji kizima kilikuwa kinapiga mayowe ya vilio, na Mimi nikaungana nao Kwa kulia.
@nsimamkamaananias5977
4 жыл бұрын
Whenever I view The story book from 88.9, I become more interested,,Appreciated mtigga abdallah👏👏👏 kazi nzuri
@augustmj4573
4 жыл бұрын
aliyesubriya kwa hamu kama mm naomba like zetu tuztengee hapaa 😋😋😋
@sarahismail2968
4 жыл бұрын
We kaka nakupendaga hatari😍😍😍😍
@mdigokhan8227
4 жыл бұрын
NYIE MNAOSEMA WA KWANZA KILA SIKU BASI LEO NIMEWAWAHI SEKUNDE 32 TU NIKO HAPA 😂😂HAYA NIPENI LIKE ZANGU ZA KUMWAGA YANI MNIPE LIKE KAMA ZIMELETWA NA UPEPO WA KISULISULI
@Bagenzi4life
4 жыл бұрын
Mdigo Khan 🤣🤣🤣🤣🤣
@kassimluzwiro3368
4 жыл бұрын
angalia hapo mm n ww nan frst
@sabigaombaja5616
4 жыл бұрын
Mdigo Khan like zingekuwa msoso..!!!
@mariamabdallah5224
4 жыл бұрын
😂
@mariamabdallah5224
4 жыл бұрын
😂
@CHALTV
4 жыл бұрын
Kama kawaida big up mtiga kwa story kali, wasafi mpo juuu
@michaelkapingu6991
3 жыл бұрын
I miss you magu mukapa and nyelele
@thomasclemence8636
4 жыл бұрын
Iliumiza xana hyo hutuba. Gonga like
@haburamidousady6166
4 жыл бұрын
Mtiga una jua uku burundi kwetu tuna kuku bali kinoma!!
@piligeorge8278
4 жыл бұрын
Tutamkumbuka sana hatokei tena,pumzika kwa amani baba uliifanya kazi yako kwa ukamilifu miss you
@diacynthedia6295
4 жыл бұрын
Napenda Story zenu nikisikia nakua muturivu
@hemedibabdallah125
4 жыл бұрын
Rest in peace baba yetu ulitujenga kuwa na umoja bila kubaguana kimakabila najivunia kuwa mtanzania tutakukumbuka daima mungu hailaze roho yake mahali pema
@raulentbenard8492
4 жыл бұрын
Hemedi b abdallah wtghkgg
@malugukushaha6764
3 жыл бұрын
R.I.P baba wa Taifa, R.I.P Sokoine, R.I.P Mkapa & R.I.P JPM.hakika nyinyi ni wazalendo wa taifa hili la Tanzania. Tutawakumbuka sana😪😭😭😭.
@subirajohn728
3 жыл бұрын
Amina!
@clementiddi5708
Жыл бұрын
Ameen
@rachelreuben6466
3 ай бұрын
Amen
@munaahmed8499
4 жыл бұрын
Mtetez wetu leo tunaringa kuw huru Tanzania yanguuuuuu Allah akulaze mahal pema pepo amina yarab allamina
@aggymathew7854
4 жыл бұрын
Ahsante MAMAANG kwa kunipeleka TAIFA kushuhudia mazishi ya LEGEND NYERERE BABU YETU 🙏
@TALLUBOY
4 жыл бұрын
Nakumbuka Ule mwaka Nikitaka kwenda jando Wazee wangu wakagailisha year 1999 Amen
@agathathobias8690
4 жыл бұрын
AVATA Ndo ikawa bas au !
@BiteBoyz
5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@elshaarawymuhabesh316
4 жыл бұрын
Story Book.... Asante kwa Kutuletea Story Ya Mwl J K Nyerere.... Asante wasafi
@davidnchoji
4 жыл бұрын
Pw
@j...876
4 жыл бұрын
MR DIAMOND tuna hutaji ELIAS MPAGAZE wa Fanye kazi nahuyu jamaha the story book ita noga kabisa!!!💪💪
@mawaidhatv8557
4 жыл бұрын
Oyoooooo One million Ambae ameshuhudia pls gonga like
@jeremiahmajura9757
3 жыл бұрын
Jeremiah.majura
@foergivenessrupia7560
4 жыл бұрын
Jamani humu kila MTU yeya wa kwanza kusikilza mnaomba like imekuA chakula au pesa duuuh mnatia aibu
@user-nj1jd6zy8e
4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@akikamurua3622
4 жыл бұрын
Wasafii nawakubali sana
@masigejose429
4 жыл бұрын
Wan musoma gonga like twende sawa 💪💪💪
@sultanmbogo701
4 жыл бұрын
nadhani unakosea sana kumwita baba wa taifa hakuna zuri lolote alilowafanyia watanganyika au watanzania mm naamini bb wataifa niyule anaetawala sasa huyo bepari alilia kwa kuacha mali za nchi alizo faidi pekeyake bora alipo kufa maana angefedheheka kwa maendeleo ya pombe
@sultanmbogo701
4 жыл бұрын
angekuwepo leo angeona aibu kwakukandamiza watanganyika amba wAlikombolewa na wazalendo kisha ikafutwa historia zao aliinyonya nchi leo ipo sawa inarangi yakijani yaneema
@kabaranamaganga6646
4 жыл бұрын
Asante kwa Hayati JK Nyerere!
@sk-wj9or
4 жыл бұрын
Sauti nzuri katika mtindo wa documentary. Sehemu ya simulizi ipo sawa. Lakini inamapungufu mengi sana. R I P comrade. J K Nyerere.
@rashedabdalah1981
4 жыл бұрын
Kama yapi kaka
@sk-wj9or
4 жыл бұрын
@@rashedabdalah1981 kuna clips nimeunganisha hapo angalia
@eunicejoseph3870
4 жыл бұрын
Sjaanza ata darasa LA kwanza... duuuh busara nyingi na uwoga wa kufuja mali za nchi yake
@victormtani7170
4 жыл бұрын
Una maanisha nini kufuja mali? Nani aliyefuja mali za nchi yake? Utoe na uthibitishe
@richiecharles2301
3 жыл бұрын
Nakumbuka nilikuwa chekechea..
@ismailismailmwaluseke2111
4 жыл бұрын
Nomaaa aiseee.. Watu wanadai likes kama zinageuka pesa
@mohamedalaraimi6813
4 жыл бұрын
Kwani ujui kama zinageuka pesa
@queen-vc6de
4 жыл бұрын
Bibi baria anazidi kuwa mrembooo tu 😍😍😍
@saidamkekanule6251
4 жыл бұрын
Good afternoon
@saidamkekanule6251
4 жыл бұрын
🤩😍🤣😅😎
@selemaniseja6328
4 жыл бұрын
jaman mnaoombaga LIKE mnakera kwel lengo la comments ni kutoa maoni juu ya kipindi ili kizidi kuboreshwa wabongp bwana... like mnafanyiaga nn...?
@geraldpallangyo7726
4 жыл бұрын
Like ni za kutangaza bei
@BrEgEdiA_254
4 жыл бұрын
Masenge sana
@hallin9561
4 жыл бұрын
Hii ndio bongo zozo,, hawana maoni kazi likes tu.. Akili hakuna
@tiktokreposted12
4 жыл бұрын
zinaogeza hamu yakuingia yutube
@allykutenga2862
4 жыл бұрын
Selemani Hamudu: Wanataka KUFIRWA tu labda,,ktk ki2 kinachokera kwny youtube bac ni hili jambo la kuomba like..,,M2 unafunguwa comment ili usome maoni yenye kuelekeza unakutana na huu upuuzi(ETI LEO NIMEKUWA WA KWANZA KWA HIYO NAWAOMBENI LIKE ZANGU!!!) Mwache m2 akawaombe wazazi wake huko...,, SMS SENT.
@djfiremoto3429
4 жыл бұрын
MTIGA UNAJUA SANA MWANANGU🔥🙌
@jonesjohanes4313
3 жыл бұрын
MUNGU DIYE AJUAYE LEO NA KESHO .
@yonamwakamele
4 жыл бұрын
Asante ndugu sauti makala na mood napata ya huzuni
@fancymixx1026
4 жыл бұрын
All great thing come from wasafi media much appreciation 🔥🔥
@otegakamala645
4 жыл бұрын
Mwalimu alitumwa na mungu aliyo yafanya hakuna atakae weza ķwani hakuwa na roho ya kibinadamu alikuwa na roho ya kimungu
R.i.p Nyerere and Magufuli living legend in my mind
@rammietv4907
4 жыл бұрын
WE GONNA MISS YOU DADY SO PAIN
@braxtosharon5367
4 жыл бұрын
,,
@lucasmanyama2892
4 жыл бұрын
Of course, It's so painful
@greyuliki8027
2 жыл бұрын
Yes
@joelzaga2672
4 жыл бұрын
Nyerere still lives on As his wishes towards Tanzania Is about to be fulfilled by the current President Hope he rests in peace
@prettynana6580
4 жыл бұрын
R. I. P 😢😢😢😢Baba Mwl Julius Kambarage Nyerere😭😭😭😭😭😭
@esterkeya7547
4 жыл бұрын
R I P
@mbwambondimangwamichael6761
4 жыл бұрын
12 minutes naombeni like zangu
@officialmao
4 жыл бұрын
Nyie mnao omba like vipi tukishawa like mnafaidika Nini 😣
@biommy6700
4 жыл бұрын
Nawashangaa
@alexchungu9505
4 жыл бұрын
official Mao , ni wajinga tu
@dullahbarca3279
4 жыл бұрын
Me mwenyewe huwa nawashangaa cjui huwa wanafaidika nn
@dicksoncharles1650
4 жыл бұрын
Hawajielewi
@carlosbrayan5779
4 жыл бұрын
Bado tunamkumbuka baba wa TAIFA. Siku zote kwa Wema, Haki na Utawala mzuri katika TAIFA LA TANZANIA. Rest in Peace.
@shabaniramadhani4109
4 жыл бұрын
mwalim mwalim mwalimuuuuu R I P 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 naumia sana nikikumbuka msiba wako nililia sana aseee
@jackleenmandary2632
4 жыл бұрын
Mm nililia jmn acheni na nikawaliza wengine
@franciskomba8057
4 жыл бұрын
Wanao homba like washamba sana
@allykutenga2862
4 жыл бұрын
Francis Komba: Wantk KUFIRWA..hapa kinaelezewa ki2 cha mcngi sana wao wanaleta USENGEEE!!!!!?,.
@mudimaarifa9394
4 жыл бұрын
Uko good sound mtiga Abdallah 🙌🏻
@mrsochu-hv7bm
3 жыл бұрын
Maskin.....MKAPA na wewe jana tumekuzika kweli kifo hakina huruma Kama unaangalia hii simulizi..ukiwa na majonzi ya kumpoteza...RAIS wetu mkapa Like zenu😥
@hancepopessau2527
4 жыл бұрын
He was the great man ever
@khalidsimiyu8075
2 жыл бұрын
Tanzania is really blessed from nyerere to magufuli
@shaqdizo7678
Жыл бұрын
Benjamin William mkapa
@godwinchristian9646
4 жыл бұрын
Safi nipo ndani from nairobi hongera wasafi
@saidamkekanule6251
4 жыл бұрын
Good afternoon😍🤩😂😅😃😎🤑👩🌾👩🎓👩💻🧚🧜👥🛀🏌️🏂⛷️🏇🚴🏍️🤹
@saidamkekanule6251
4 жыл бұрын
Thanks
@gibemarco5875
4 жыл бұрын
Wakongwe tuliohudhuria msiba wa JK NYERERE gonga like apa bado ya kwako tu R.I.P. the founder of our Nation###
@peninabusumabu7586
4 жыл бұрын
R.i.p.baba wa taifa
@samsonjuma5618
2 жыл бұрын
Asante kwa ajili yahistoria MUNGU awawezeshe katika kutujuza mentioned...GOD BLESS YOU ALL
@annemlay11
Жыл бұрын
Naamini Mwalimu atatajwa kuwa Mtakatifu baada ya siku si nyingi.Eee Mungu tunakushukuru kwa ajili ya Mwal. Nyerer.
@queenkikoti49
4 жыл бұрын
Nimeisubirisana ya leo
@godlistenmariwa2707
4 жыл бұрын
Amepambania ya ile yate sema uyu mzeee niwachuga siyo butiama
@maesryclassic456
4 жыл бұрын
Mtigaa unajuaa aiseeh ila unaniboaa kidg tuh.... Story zinachelewa kujaaa KZitem aiseee yanii wikii nzimaa nimekaa naisubl uku etiii mana uko kwa redio cna time nzurii badoo 😢😢😢 But all in all Jamaaa weh ni balaaaaaa 🙆🙌😀💪💪💪💪💪
@eddyboi8476
4 жыл бұрын
Bro kumbuka kuna uandaaji wa story
@christinapeter810
4 ай бұрын
Tunakukumbuka baba wa Taifa. Tunajivunia maisha yako na Tunamshukur Mungu Kwa zawadi hii🙏 endelea kupumzika Kwa amani
@larrypeterkiwia2957
4 жыл бұрын
sauti nzuri sana kama una mkubali gongà like
@marrymusa2204
3 жыл бұрын
Jamaa anajitaid
@mikidadichande9488
4 жыл бұрын
Majira yetu haya yangekua wap sasa utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha.Kama nko sawa nakukumbuka mtetez wa taifa langu
@kassimluzwiro3368
4 жыл бұрын
Daaah hamna ktu nachopenda kama hch kipindi naomba hata kwa weak kiwepo mara5 au 4
@mellenigga3182
4 жыл бұрын
I love it
@sumillohabdallah3259
4 жыл бұрын
J.K WAKWANZA AKILI NYINGI SANA HUYU JAMAA, MIMI NAAMINI IVYO
@raymondnyami6815
4 жыл бұрын
Mh ujumbe mzurii kwakwer uishi ktk mioyo ya watanzania
@fednandnews2240
4 жыл бұрын
Napenda sana speach zako mzee baba Unaweza
@abdallahhamad4499
4 жыл бұрын
2019 nipo gonga like Kama umemsikia komba ...
@abdkhalidi6625
4 жыл бұрын
Daaaaaahhhhh ipo vzriiiii kk mkubwa nice sanaaaaaa!!!!
@YUSUPHMWAINUNU
4 жыл бұрын
kama unamkubali mtiga naomba like 50 apo chin
@davidnyambuche352
4 жыл бұрын
Likes tumeshampa yeye mwenyewe
@kelvintz7684
4 жыл бұрын
Talented presenter
@towerodispensary3255
4 жыл бұрын
Duuuh tanganyika nzima kumbe nae alikua (TO) Tanzania one basi tunamwita Tanganyika one oyooooo
@deusdebitkowa9657
4 жыл бұрын
Msimulizi upo vizuri sana,hakika utafika mbali sana.
@hamzakondo6102
4 жыл бұрын
Mtiga mzee baba nakubali kazi nzuri kuna bia zako leo njoo tabata jion.
@azzamahamdu7039
3 жыл бұрын
Rip nyerere mie nilkua nalia sana na zile song za Johnkomba doh😭.ila babu yangu ,sasa ni marehem alnambia kipnd cha utawala wa nyerere kulkua na SHIDA SANA.lkn ni yy ndo aloleta UHURU.
@nurdinihassani8811
4 жыл бұрын
Aiii nilochelewa hii ila si mbaya gonga like yako kama tupo pamoja🔥🔥🔥
@janethsamson9123
3 жыл бұрын
Juu sana
@lazarodaniely5377
4 жыл бұрын
Nko fist because am like it
@nektacleophance6243
4 жыл бұрын
mwalimu was special and great leader in the world.
@boazmvellah6286
4 жыл бұрын
Napendagaa sana ongea yako piga like twendee pamoja
@mzuluclassic5259
4 жыл бұрын
mwaka 1955 ML Nyerere from dar to Masasi ✌✌
@kwizeraelly9261
4 жыл бұрын
Nilimlilia Rais wangu mwaka ule nilihisi km.Tanzania yooote tumekwisha ila nikakumbuka Yesu hajatuacha Watanzania.
@thabitbakari6733
3 жыл бұрын
Watanzania tumkumbuke mwalimu jk nyerere kwa mengi makubwa mazuri yenye manufaa, langu kubwa katulindia Mali ya asili ya Tanzania, leo mwaka 2020, tumekuta Mali ya asili ya Tanzania iliyolindwa kutokea miaka ya mingi Sana iliyopita tuseme Karne zilizopita🤲 mwalimu ametufundisha siasa inatupa hekma katika mataifa makubwa, hadi kufikia Leo hii tunapewa sifa na mataifa makubwa kwa siasa yetu. Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa
@rogerabdallah439
9 ай бұрын
Mazuri yapi 📺 angalie yeye tu
@queenkikoti49
4 жыл бұрын
Ndo maana imechelewa kumbe ya baba wa Taifa
@carlosbrayan5779
4 жыл бұрын
Nice dear. 0758 979747
@dominicikuja7392
2 жыл бұрын
Nyerere magufuli mkapa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 nothing to say
@fadhilbreez5781
4 жыл бұрын
Nice
@tanzanianchef8647
4 жыл бұрын
He is legendary 👍🏻
@tanzanianchef8647
4 жыл бұрын
Musir Brain sawa mkuu
@kyngkhari3041
2 жыл бұрын
instablaster...
@mohammedkibombe7361
4 жыл бұрын
Kama unampenda baba Wa taifa gonga like
@ndayikezafranck1612
4 жыл бұрын
He was a real man, the role model!
@jaydon3361
4 жыл бұрын
Mbona hata usipoomba like Kama comment yako ni nzur wata like tu
@cathernmbena3090
4 жыл бұрын
Nice san
@ashachamwilem9980
4 жыл бұрын
Ttuuiio
@raymondnyami6815
4 жыл бұрын
Revolution hii imetuweka huru kwa tulioenda nchi jiran kama umeshawah fika Zambia utagundua kitu kikubwa
@user-rd7jt1vi5x
3 жыл бұрын
Hahahahahahahah
@matikumarwa5252
3 жыл бұрын
Mungu akubalik popote ulipo mzee na akufanyie wepes wa maisha ya mbingun
@abdallahmgotto7865
4 жыл бұрын
Wasafi fm 🔥🔥
@renatuslugendo8675
2 жыл бұрын
Lo
@daudkuyunga378
3 жыл бұрын
YOUR THE LEGEND STAY FOR ME JULIUS NYERERE RIP LEGEND HEROOOO
Пікірлер: 921