Mashaallah Alhamndulilah namuomba M/Mungu akujaalie baraka na akuepushe na Madhira Inshaallah
@JamesMeshack-y8
2 сағат бұрын
Yanga hatuna jambo dogo 💚💚🔰
@ClintonFufumbe
Сағат бұрын
Kama una mkubali aly kamwe like yako haap❤
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
2 сағат бұрын
Yanga bingwa
@rachelcheyo-p5z
2 сағат бұрын
Love yanga
@IssackJackson-r7k
Сағат бұрын
hamna kitu kabisa angalieni semaji la caf lilivyo pokelewa nawatu kibao 😅😅😅😂😂😂
@patrickndizeye2190
2 сағат бұрын
Hongereni sans❤🎉🎉🎉❤
@rashidnzunda
54 минут бұрын
Wapeee
@NeemaMpangala
2 сағат бұрын
Wananchi katika ubora wao
@errydeo8865
Сағат бұрын
Wambie sasa waingie KITAA kupinga tozo,vitega uchumi, bei kupanda,umeme,maji huduma hovyo za za elimu ,afya nk HUWAONIwabongo mtakufa masikini kiama! Wakati WAKENYA wanaingia kitaa kutafuta haki za za MSINNGI, MBONGO ANAENDA KUFUA TAWI LA SIMBA AU YANGA! AKITOKA HUKO NJAAA TUPU! MZEE KINYATA ALIMWAMBIA NYERERE ,WATANZANIA NI WAFU KIAKILI!
Пікірлер: 15