Kamabado unaisikilizahii Ngoma adileo 2024 gonga like tukopa1 wazee👊
@estherraja255
Ай бұрын
👊
@hamisathuman2729
19 сағат бұрын
Noma sana belle 9 fundi
@wybzokizzy4416
5 ай бұрын
Kama bado unaskiliza huu wimbo 2024 gonga like
@danmillianofredochlorinez7766
6 жыл бұрын
Kamaa umerudi kusikiliza mziki huu wa belle 9 ili kumtakia marehemu AGNES pumziko jema la milele dondosha like tuungane leaders club kuuwaga mwilii wake dah dunia njia RIP masogange
@omarymbalala6224
6 жыл бұрын
😢
@marynimeikubarbalaalukindo9903
6 жыл бұрын
Bwana ametwaa bwana ametoa jn la bwan lihimidiwe
@danmillianofredochlorinez7766
6 жыл бұрын
Amen
@fatumafashiondesigner1461
6 жыл бұрын
Dan Milliano fredo Chlorinez l
@lenciejoram4878
6 жыл бұрын
Lala salama Aggy
@user-rh4ej7oq9j
5 күн бұрын
Kama umerudi kuutizama 2024 gonna like hapa tujuane....imma dulla marangu kilema
@flova7022
13 минут бұрын
Nothing lasts forever jaman
@omarymungi4612
6 ай бұрын
Msanii mwenye Kipaji Kikubwa katika sauti lakini Mfumo wa Muziki wa Tz umemzuia kutoboa, Belle 9, Bado nasikiliza hii mwaka huu 2024 !!
@alexiswamillazo6520
6 жыл бұрын
2018 R.I.P masogange .😭😭 nimerudi kutazama baada kusikia umetuaga. Sote njia yetu dada. Gonga like kama umeguswa na msiba huu
@eliadaabel8991
6 жыл бұрын
rip ag
@ndimiamon7425
6 жыл бұрын
R.I.P @Agnes
@pakstanking511
6 жыл бұрын
R.T.P dada yetu
@TheOne-fi6cs
6 жыл бұрын
Nmefanya hivi nkiomboleza ndani kwangu, rest in peace dear Masogange!
@reymutalemwa3407
6 жыл бұрын
R.I.P
@chainbre275
6 жыл бұрын
Jamani bado camini kabisa
@haddysophiasson7530
6 жыл бұрын
Ndimi Amon Yap
@jumasaid3910
4 жыл бұрын
Kama bado wamkumbuka masogange kama mimi gonga like
@bonheurbnr1951
5 ай бұрын
2024 nous sommes toujours ici Rest in peace Agnes Masogange😢 all the way from Congo 🇨🇩
@robinsonmusonye2040
4 ай бұрын
2024 wapi likes baana
@lakepoint7218
2 жыл бұрын
2022 still listening i fell in love with this song coz of my late boyfriend i miss him so much, by this time he was also trying to thrive in the music industry .rest in peace Francis aka ANELKA. It was us against the world
@lemayanelisha9867
2 жыл бұрын
What happened to him?
@johnechesa8864
2 жыл бұрын
Pole my sister
@Kenyanmother
2 жыл бұрын
weeeee he is breathing
@bigben001
Жыл бұрын
henzi za real bongo fleva
@mikekilonzo9776
Жыл бұрын
May he keep on resting In Peace ❤
@ceciliacasimironjivanga4887
Жыл бұрын
Sou moçambicana, essa música marcou a minha infância 🇲🇿
@AluleaCreateur
4 ай бұрын
Tunao skiza tujuane hapa RIP masogange😢
@aceprincemedia9826
4 жыл бұрын
R.I.P Masogange i still love Belle9 music thanks bro bringing this beautiful lady to limelight GOD BLESS
@epmzmusifiwar6694
6 ай бұрын
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 remember my childhood On This Song Forever 🥰 RipMasogange
@keyseabdiqani6991
6 жыл бұрын
Kama umesoma Kwa page ya wasafi kuwa kuna wimbo wa belle9 inaitwa masogange ukakuja kuona then unamuona marehemu Kwa video hit like and day R. I. P
@noxxete
6 жыл бұрын
I loove this song...Reminds me of my times in Mombasa...Nostalgia at its best. Guys lets increase its views to millions.
@makalanimau4649
6 жыл бұрын
naumia sana kifo cha masogange lala mahali pema dadayetu.
@rebbecalundu3119
4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@marokeyLFM
7 ай бұрын
I’m still listening to this song here we go 2024🔥🔥🔥
Aise kama na ww umeiludia hii ngoma ngonga like plse🙏
@Pira-gm4gr
9 ай бұрын
Timeless. My favorite I swear❤ RIP Masogange
@sashazuberyzubery7804
6 жыл бұрын
Rip aggy masogange😿😿😚😪
@luisadiana6711
6 жыл бұрын
jaman kla nkiona huu wimbo nakuona Aggy Wang R. I. P my nitakkumbuka daima
@jovinabunyomyo3993
6 жыл бұрын
kifo cha masogange kimenileta mpaka uku😥😥😥😥😥😥😥😥😥 2018 watch
@gracemsanjila327
6 жыл бұрын
Jovina Bunyomyo 😢😰😰
@esterhasan524
6 жыл бұрын
ww ach t
@pauljohnny8417
6 жыл бұрын
r.i.p Agnes
@marykel9036
5 жыл бұрын
@@esterhasan524 rip aggy
@teresiahmfalmezimba5294
4 жыл бұрын
rest in peace masongange😭😭😭😭😭
@jacksonrock6535
7 жыл бұрын
siku hizi beat za kinageria zimetuaalibia wasanii wetu zamani walikuwa wakali sana
@goodyalphonse268
7 жыл бұрын
KWELII!! HUU WIMBO ULIKUWA SHEEEDAH!
@husseinyarrow4200
7 жыл бұрын
uko wapi kaka huskk
@pendomarco9307
6 жыл бұрын
RIP
@nancyrichard8121
6 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@rodricktarimo7499
2 жыл бұрын
We mkalii
@naomiemumali7310
Жыл бұрын
skuizi nyimbo za mapenzi hazipo,tumebaki na sweet memories n this song is one of them R.I.P big bro
@Bonnere
6 жыл бұрын
Who still listening this song in 2018 with me......😍😍😍
@rebecatimothy8067
6 жыл бұрын
0481797312 Bonnere am here...
@hamdiahmed8188
6 жыл бұрын
RIP agnes
@salomemshideko6126
6 жыл бұрын
0481797312 Bonnere me
@barakabanseti7893
6 жыл бұрын
tusalisana jaman
@theblackpearl7035
6 жыл бұрын
the vixen was buried today
@ericklaiton2763
6 жыл бұрын
2009 form three ,mshikamano sec school,igurusi mbarali mbeya..inanikumbusha mbali sana
@lilianaboka2893
4 жыл бұрын
I miss my first boyfriend when i listen to this song it use to be his favourite, most of the time he would dedicate this to me ,oooh no time flies so fast #REST IN PEACE ANELKA 😥😥😥😥 i loved you but God loved you more wish you were here people were aganist our love but didn't stop loving each other. Love you
@rebbecalundu3119
4 жыл бұрын
What killed her ,I watch and I cry RIP
@ogossodorothy744
4 жыл бұрын
In 2019 still listening to masogange 💞💞💞💞💞💞
@agreymsemwa8021
6 жыл бұрын
Pumzika kwa aman Dada yetu kipenz cha watu hapa tz na Africa masharik kwa ujumla tunakuombe kwa mungu asitazame dhambi zako bal atizame mazur yako.Amina.
@jj24kith28
Жыл бұрын
RIP masongange......its sad to die that young...
@ambasaabok8719
6 жыл бұрын
fell in love with this song,almost eight years and it still sounds deep,repose en paix aggy,may God judge you with mercy
@wybzokizzy4416
Жыл бұрын
I used to like the song until now I still do🙏😍❤❤2023 June here we go . Mungu amlinde Agnes Masogange popote alipo
@HealingWorshipTeam
6 жыл бұрын
Rest in peace Agnes Masogange
@zakariajilinde6236
6 жыл бұрын
RWANDA5 TV punzika kwa amn
@EricBreezzManyota
6 жыл бұрын
Naikumbuka sana kama jana mwaka wa 2009 bado nipo kidato nilipoisikia hii nyimbo kwa mara ya kwanza. Ila leo mwanadada #Masogange kaaga dunia. Inauma sana ila ni mapenzi yake Mola. RIP Agness 'Masogange'
Nipo hapa kwa kumbukumbu ya masogange 2020 who is with me,,rip my sister😭,,we shall meet again😭
@GeraldAgustino-fz5mn
9 ай бұрын
Daaah inakumbusha Niko tarasa la 4 Niko na kidem nakupenda naogopa kukiambia
@Moregun619
Жыл бұрын
This masterpiece reminds me of alot of good old memories 😤 some friends that i lost some that I don’t even know where they are.. Rip masogange
@zuhubeby9474
6 жыл бұрын
nimeangalia tena huu wimbo kwa Ajili yako hili jina lilianzia hapa masogange rest in peace Aggy 😨😨😨😥😥😥😥😤😤😤😤😤😢😢😢😭😭😭😭mungu mkali jama 20/04/2018
@ummyomary1800
Жыл бұрын
Yani acha tu inasikitisha 😭😭😭
@msamsa1031
8 ай бұрын
This song , remind me back in 2008 , when it was my first time to land in Mombasa , the mat I boarded was playing this song , from then I followed in love with the tune
@harunotieno2270
6 ай бұрын
Happy New Year 2024... Continue Resting in peace sister Agnes Masogange
@austinemadzo650
Жыл бұрын
What a hit song.. 2023 still in it
@husseingabo5497
Жыл бұрын
Hii Ngoma ilikuwaga Kali sana na nilikuwa nakubali vibaya sana
@geraldswai5492
3 жыл бұрын
Jamani nakumbuka mbali.Leo 2020
@alfredycheyo8847
6 жыл бұрын
Pole sana bro Belle 9.Dada yetu Masogange tutammis !!
@shiksshiks8494
5 жыл бұрын
You will never be out of our mind Agnes...continue resting in peace...
@rispaandoli2358
2 жыл бұрын
This song is fresh in my heart though its been years
@abdulshaban6343
6 жыл бұрын
aiseee jamn mpaka machoz yananitoka kwa jins nilivyo upenda huu wimbo na jins niavyo ona masogange ayupo tena molla mulazee mahali pema pepon ameeen daaah
@aishaabdulaziz4657
9 ай бұрын
Omg!I can't believe m still here...2023❤🎉Funzo kwa wanadada wadogo
@abramsmalel40
3 жыл бұрын
2021... Still here because of you agnes masogange. Rest in Peace sister 😭😭😭😭
@erickricky3873
5 жыл бұрын
So emotional song cant stop playing it RIP to the lost soul
who's still listening to this masterpiece in 2023 mark your register here
@jonasafrican2537
6 жыл бұрын
😥😥😥😥 R.I.p Agns ....2018).j kweli wote niwapitaji Apa duniani jamni Jana tulikua wote tn tukifulay lkn Leo umeondoka jmn kama tondo. Eee Mungu Naomba huilize roho yake mahali pema peni mtanzania mwenzetu tulimpenda lkn ww Umempenda zaidi Aminaaa. kama kweli umejifunza kitu kupitia hili tukio kua duniani wote niwapitaji bc gonga like yako Apa. Amen
@TitusSarkai-hg5uk
2 ай бұрын
Belle 9 love live forever ❤❤❤❤ God bless you
@abramsmalel40
6 жыл бұрын
2018 from KENYA with love. This song reminds me when I was young n naive n inlove.
@omaryswalehe1225
Жыл бұрын
One of my favorites songs
@robertmalagila126
6 жыл бұрын
R.I.P masogange. Mbele yako nyuma yetu, pumzika kwa amani. Ni njia yetu sote!
@uberitinjarita8499
4 жыл бұрын
kam huwa unaangalia comment za nyimbo zako , na maanisha b9,kwa upande wangu nimemic radha ya sauti kama hii, bdo ujachuja broo. come up again , never give up, we miss u.
@nilastephen8265
6 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Agnes 😢😢😢😢😢😢😢 mungu aku weke mahali pema peponi dada
@husenboy6963
6 жыл бұрын
Nila Stephen pumzika kwaaman masagange mungu akueke mahali pema
@veronicakawawa7057
6 жыл бұрын
daaah kumbe tokea zamani ana wowowo lilikuwepo eti... rest in peace mama
@mabonga5058
Жыл бұрын
Siwezi kuisahau hii. Ilinifanya niwache shule kidogo badaye ndio nikarudi
@maryamdigelo6288
4 ай бұрын
Daaaaah.....kitaamboooosaaana iyooo nakumbuka mbal aiseee... adi leo 14/3/2024 goma bado kali ❤
@mwerotsuma6509
Жыл бұрын
This guy real knowns pain of love if you are real experienced this ,you will shed tears
@elibarikimollel1180
6 жыл бұрын
This song has got you and will never let your name vanish
@mafinamaizez2514
6 жыл бұрын
Mungu akurehemu mommy nimekujua kutokana na hii nyimbo
@mgayamakori1564
6 жыл бұрын
Pumzika salama masogange mungu akupunguzie adhabu ya kaburi
@jkatheu5337
5 жыл бұрын
Masogange still my favorite 2019🇰🇪
@tahiyaally9499
7 жыл бұрын
06/07/2017 stil listening to this song......much love for u belle9♡♥♡
Пікірлер: 1,2 М.