Usione vyaelea kweli vimeundwa,poti na nyie mmeundwa ni 🔥🔥,kumbe mmezivaa ila wengine wazee wa hizi kazi hahaaaaa salute kwenu
@kanisiusnyakaselula5285
2 ай бұрын
Hongereni sana vijana wa JKT Makao makuu. Natamani kuona hizi bend hata kwenye taasisi zingine za kiserikali.
@nyamwekomatoke9951
3 жыл бұрын
Big up sanaa Naona kuna chibongeeee anayasakata ile mbayaaaa Hahaha Mko vzr,,saut nzr
@mtorosenga1272
3 жыл бұрын
Hongereni saana,kafika ma dancer nimemuelewa sana huyo jamaa wa katikati na huyo dada mwenye bakabaka,pia katika waimbaji nimemuelewa rapa
@joycekalembo2225
3 жыл бұрын
Safi sna ?makamanda angekuwepo raisi nae angesogea hapo kupiga ngoma kama kawaida yake.
@halimagoodgoodsimbahalimag2940
2 жыл бұрын
Uyu dada aliyevaa z mabak saluti kwako
@ashurajengela3926
2 жыл бұрын
Sijui ata kwanini nmejikuta nafurahi kutoka moyoni aloooohh mmeua sana 👏👏👏
@lovenessitiku6293
3 жыл бұрын
Mtm umetishaaa mmh cjui single uyuu
@geofreysimpepo9945
2 жыл бұрын
Mmetisha vijana salute to you.
@danfordchingole6849
2 жыл бұрын
I'm so missing this ngoma coy 822 kj
@neemautalo6977
2 жыл бұрын
Dah mmetishaaa
@imelidastevesteve5127
3 жыл бұрын
Saf SANA vijana mkikosa ajila mtakuwa wanamizikiiiii
@venitarugemalila9290
2 жыл бұрын
Waoowaowaoooo safiiiiiiiii saaaaana sebene la maaana natamani ningekuwa hapo kati wacha e e e e weweeeeee
@alimakame9215
3 жыл бұрын
Hngera Dada ulovaanguo ya jechi upon vzur
@georgejosia6094
3 жыл бұрын
Safi sana Makamanda
@tumainimwakafuta5969
2 жыл бұрын
Muko vizuri sana
@maishamapenzimikasa7149
2 жыл бұрын
Safi sana
@simonjustin5921
3 жыл бұрын
Nakubar makamanda wetu,mmetisha
@kasmirypaschal2228
3 жыл бұрын
nmeckiaa iyooooooo waiyonaaaaaaaa iyoooooooo big up makamandaaaa wetu
@zainabsaidbotea9792
2 жыл бұрын
Wooow very nice
@issubajaji7924
3 жыл бұрын
Ongera jkt
@venitarugemalila9290
2 жыл бұрын
Unaniua mwenye baka wewee,wote good job sebene mwaaaaa
@abdallahiddy6333
Жыл бұрын
nipeni namba ya huyo modo mwenye baka baka
@makangeofficialmediatz6715
3 жыл бұрын
Talented
@samwelmwiru2827
3 жыл бұрын
Vijana wetu wako vzuri wakiongozwa na matron wao ,kongole sana
@mwananchipress3569
3 жыл бұрын
Legacy ya baba wa Taifa ilipaswa watanzania wote milioni 50 tupite hapo kusingekuwa na mateja wala wezi kwa kweli
@thomasdominick8604
11 ай бұрын
Wakuu Wa kazi
@rosetreffert6727
3 жыл бұрын
Safi sana 👍
@mjungufackson3932
3 жыл бұрын
Kizazi sana,,,,,jeshi tunalo
@williammwampamba2329
3 жыл бұрын
Big up
@EmmanuelMwabheza
Жыл бұрын
Safi
@davidmpagama8466
2 жыл бұрын
Well done
@henrykigugwe5112
3 жыл бұрын
Mmeiva!
@ridhiwanijuma2648
2 жыл бұрын
Nawakubali sana maweza wazee
@peterkija8402
3 жыл бұрын
Hongera San jkt kwakipaji cha uimbaji
@mankamush5057
3 жыл бұрын
Nice
@niyongabotherence8940
3 жыл бұрын
Ukubali ukatae Mimi naona mukongo hapo kama nawewe umeona gonga like
@mwayamichael5005
3 жыл бұрын
Mwnajesh anaweza
@manyamadaniel700
2 жыл бұрын
Big up makamanda wetu
@toresotienoh1681
2 жыл бұрын
Thanks
@charlesmartine3467
3 жыл бұрын
Ewaaa!!!
@eliambugi6609
3 жыл бұрын
Ongera sana makamanda wetu
@georgekimasaofficial1629
3 жыл бұрын
Big up Sana makamanda wetu mmetisha pongezi kwenu.
@f.a6043
3 жыл бұрын
😂😂😂
@dintazdintaz7311
3 жыл бұрын
Hako ka mabaka mabaka inabd kapande kawe kanakaa na mzanzibar aisee ili kamfunze mauno aisee nmekaelewa sanaa
@marycianakanweki2196
2 жыл бұрын
Kambi yangu band yangu hongereni
@halfanijmpanjila7118
2 жыл бұрын
Missed moment...
@mdentertainmenttz124
3 жыл бұрын
Mtm Safi sana
@levinajoseph1347
2 жыл бұрын
Ngoma warangi
@taturajabu5977
3 жыл бұрын
Huyo huyo huyooo,wazili wa ulinzi!hapana chezea
@adolffuntv9733
Жыл бұрын
Dah wamekula vibunda vya kutosha duh
@emmanuelmitao131
3 жыл бұрын
Safi sanaaaa
@venitarugemalila9290
2 жыл бұрын
Waimbaji nao 🔥 ila mmebana embu tupe vitu
@lyamuyacharles1811
2 жыл бұрын
Nimeikubali sana hilo goma
@mrmindboom2058
3 жыл бұрын
Huyo pc kali noma anaspeed sana
@senegomachine1902
2 жыл бұрын
Nimehipenda hiyo Makamanda
@andrewprojestus2958
3 жыл бұрын
Nzuri sana
@francisnyaji5000
3 жыл бұрын
Nzuri iyo makamandaaa
@kulwakulwa8860
3 жыл бұрын
Sf Sana
@silvanusmaungo9076
2 жыл бұрын
Nakwelewa xana mtm ruxtikaaaaaaaaaaaaa
@silvanusmaungo9076
2 жыл бұрын
Kamanda unaweza xana ruxtika
@AliKhamis-ts7wj
6 ай бұрын
Uamuzi wa bungeni kutaka kuiyondowa jku na jkt
@adilkher6170
3 жыл бұрын
Jkt oyeeeeeee
@shaniabdalah349
2 жыл бұрын
Heshima Kwa chibonge c mchezo,
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343
3 жыл бұрын
Big Up wakuu
@felixmagulu6142
3 жыл бұрын
Hongereni sana, Baba wa Taifa aliacha alama kubwa sana, Alihakikisha majeshi yote na mashirika ya Umma yanakuwa na bendi za muziki wa dansi, Lakini bendi nyingi zimeshakufa zimebaki chache sana.
@anytimeanyplace9607
3 жыл бұрын
Aliacha alama au laanaa
@felixmagulu6142
3 жыл бұрын
@@anytimeanyplace9607 Hiyo laana umeiona wewe.
@lispafulgence9983
3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@azizawadh5973
3 жыл бұрын
Viunu vigumu
@dausonjohn6658
3 жыл бұрын
Weeee pic kali nishda kama hujaolewa nipo kwajili yako
@rasheedabby2871
3 жыл бұрын
JKT, Jeshi la Kutumbwiza teh teh teh teh
@masudially2154
3 жыл бұрын
Nampenda mwenye gwanda
@barakaduma2398
3 жыл бұрын
Una pepo
@martinemaganga5253
3 жыл бұрын
Hapo hakuna mwenye gwanda bali wote wana vest
@venitarugemalila9290
2 жыл бұрын
Wenye magitaa ,kiinanda,mpiga vyombo wapi nyie twende kazi
@emmanuelyngala3133
2 жыл бұрын
mchinaboy
@ezragiligwa3871
3 жыл бұрын
Malomboso
@anytimeanyplace9607
3 жыл бұрын
Mkisha kafiraneni. Msio jielewa unuusu
@eliabuedward8755
3 жыл бұрын
TANZANIA SECURITIES YOU DON'T HAVE A GOSPEL SINGERS?,TUJIFUNE KWA WENZETU ZAMBIA.WANAMWIMBIA MUNGU PIA NA KUTANGAZA UKUU WAKE. MUNGU KWANZA, NA INGEFAA KAMA JESHI NA VYOMBO VYETU VYA ULINZI,
@apostleadamgige4662
3 жыл бұрын
Umenena ukweli kabisa,kwenye vita wote watasema Mungu tusaidie lakini kwenye amani wanakata viuno na nyimbo za kidunia,Mungu tusamehe
@abdalahsaid2906
3 жыл бұрын
Makin hyoooo
@farajamwakagile9647
2 жыл бұрын
Waimbe nyimbo za dini gani?🤔🤔
@mcback4384
2 жыл бұрын
Nimeona police wana choir niliona wakiimba kanisa katoliki
Пікірлер: 86