Kwakweli ni mimi Catherine Julius Kaaya again ninaomba uje utembelee kanisa lete Ngome ya Yesu Kristo lipo Kimara Temboni naombaaaaaa sana
@optif8563
16 күн бұрын
This song should be having a million plus views. It's such a masterpiece
@Newtonkinyanjui018
Күн бұрын
Lyrics Wewe ni unatisha kama nini...wakufanana we hakuna Wewe ni mungu wa kuogopwa...wakufanana na wee hakuna Naskia sauti.... Malaika wanaimba.... Wakufanana na wee hakuna Makerumbi wanaimba Maserafi wanaimba wakufanana*5 Hakuna kama wewe yehova,yehoshua shikenu* Umetukuka,wakufanana na wewe hakuna. Falme mkuu yesu,wakufanana na wewe hakuna..*2 Wakufanana*5 Wakufana na wewe hakuna na wewe*5 Unafanya jina pasipo na njia...wakunana wewe hakuna.. Sifa zako mungu za pasua kuta...wakufanana na wee hakuna, Naskia sauti Wanyama waaimba Wakufana na wee...hakuna Hebu tazama juu ,juu mbinguni nani aliumba nyota na kuzitaja kwa majina.. Mumgu wa mianga,jua na mwezi,wakufana na wewe hakuna... Wakufanana*5 Wakufanana na wewe hakuna*5
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel
@Lavi_Grace
Жыл бұрын
Amen
@donniemirobo8047
Жыл бұрын
Huu wimbo malaika wanaimba muda wote....wakisema Mtakatifu......amen kaka Boaz
@marymutisya8219
Жыл бұрын
Boaz you have a prophetic and spirit sound...You always know How Kenyans loves your ministration🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@WinnieMdoro-bg1yx
Жыл бұрын
Amen prays the lord
@worshiplibrary7157
Жыл бұрын
I'm a nurse here in the Philippines and I'm on my Covid ICU exposure today, since i am taking of Patients with Severe cases of covid we are being isolated and it is really tiring but listening to this and having a time worshipping God soothes all of the exhaustion thank you for this. And please keep praying for me and every health cre workers today God bless everyone
@boazdanken
Жыл бұрын
God bless you. God will fulfill all your needs in the name of Jesus
@fabianalfredy5557
Жыл бұрын
God's protection is upon you. In Jesus name. Amen
@robibange6768
Жыл бұрын
@@boazdanken p0⁰
@sarahkele6812
Жыл бұрын
May God Lord protect you. Be @ peace.
@RuthMbaga
16 күн бұрын
Naomba sana uniombee kama kukuona itakuwa nivigumu please kama hitawezeka 🙏🙏🙏🙏🙏@@boazdanken
@thejoyoftruth6310
Ай бұрын
This is a glorious Song. I was looking for a song to help me glorify and exalt the Lord and bumped into it. The English lyrics have misinterpreted a major word in the song twice Umetukuka is not Holy but GLORIFIED I think God wants the song to bring out the aspect of the gloriousness and greatness of His name. It’s therefore important to make that change if possible.
@nchagwamichael5959
Жыл бұрын
Wewe ni Mungu wa kuogopwa, unatisha kama Nini.
@gillianjared
Жыл бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 libarikiwe jina la Bwana Mungu
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@barikiwa-shitseswaoronje
Ай бұрын
Indeed you are God and God alone,you have no rival you have no equal,your position can never be contested and your crown is undisputed Lord.The emperor of the universe ❤❤❤who is like you Lord
@oluochokanga8360
8 ай бұрын
THE DRESSING CODE IS VERY POWERFUL. THE WORSHIPPERS WELL ORGANIZED, HAKUNA DENZI MBAYA MBAYA. GOD BLESS YOU FOR MAINTAINING DISCIPLINE IN THE WORSHIP TEAM...
@douglaswakhungu1043
Жыл бұрын
Amina. Baraka zote zikwandame mtumishi. Nyimbo zako zinafungua Roho ndani mwangu kila wakati. Kenya nakupenda.
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@ivounenyambu
Жыл бұрын
@@boazdanken nyimbo zako hunibariki saaaana
@kemuntoongaki325
Жыл бұрын
Words cannot explain how this song blesses my heart....
@fayeeiss5613
Жыл бұрын
and yesterday i had the previlege to be present when God's minister was ministering along side victoria orenze
@alicewamaithamusic6098
Жыл бұрын
This song brought healing today .woke at 5:am feeling sick my blood was very high I tried to pray nothing changed but this song kept going through my mind then I decided to listen it the blood ikaisha I thank God for everything
@Geo_88
Жыл бұрын
What a Song!!!!!😫🔥🔥🔥Boaz is God sent to this Generation🔥🔥God keep Increasing you annointed minister of the Gospel.#God is real.Blessings from Kenya🇰🇪🙌🔥
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu
@cosrevynewchord2022
Жыл бұрын
Sorry can I get ur contact number
@olylindsey
3 ай бұрын
My favorite song❤
@newest-be2cq
9 ай бұрын
Nilikuona crusade sos vok i was blessed sana
@shallethmwangemi6879
Жыл бұрын
Am blessed....wakufanana na wewe kweli hakuna.
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@daudmsokwa9650
Жыл бұрын
Wakufanana wakufanana naww hakunaaaa....
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@ministerboaznyabogaunachez8553
Жыл бұрын
I love it @daddy Boaz namesake one day I will meet you
@agnesesipila9429
Жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana, hakuna wa kufanana na mungu hakuna kabisa, he does things beyond our understanding
@mercykiarie567
Жыл бұрын
ohh Lord we Magnify your Holy Name 🙏 kweli Hakuna Wakufanana na Wewe 😭 🇰🇪
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@eunicebenedict1797
Жыл бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu mkuuu .be blessed mtsh wa Mungu ,Baba endelee kukutumia umenikumbusha BMC enzi hizo.
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@phelixamolloh8310
Жыл бұрын
kweli hakuna wa kufanana na MUNGU amenitendea makuu ambayo wanadamu wanashangaa nitaendelea kumtumikia.
@yajivngendo5282
Жыл бұрын
What a song!! ...what a song!!...🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@frankgitonga6632
9 ай бұрын
This song takes worship and praise to another level that displays the Greatness of God that nothing else is comparable to Him
@holinessmbonde598
Жыл бұрын
Hakuna wa kufanana na Yesu🙌🙌🙌🙌
@flavy_kipps4025
Жыл бұрын
Yeye anafanya njia pasipo na njia hakika hakuna wa kufanana na yeye hakuna pale uwezo wetu wa kufikiri unapofikia mwisho yeye anaanzia hapo aliyonitendea Bwana kwa mwaka huu ooh nabaki kusema ni Neema yake tu sio kwa uwezo wangu.🙏🙏
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@elickenock2815
Жыл бұрын
Wakufanana na ww hakuna YESU mkuu sana
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@mwamotojr2336
Жыл бұрын
Hakuna wa kufanana na Yesu hakuna more much God blessings to you brother Boaz
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@gogboykihereherewayesu1942
Жыл бұрын
Ubarikiwe san mtumish jaman yan napend unyoimba mungu azindi kukupigania kira wakat
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@Palmtasteslove
Жыл бұрын
Woiiii we worship Jesus ooh hallelujah oh Jesus we worship you higher higher!
@boazdanken
Жыл бұрын
Halleluyaaah Glory and Honor to Jesus
@solomonwayne7580
Жыл бұрын
welcome to Kenya once more. waiting on you on 1st of January 2023
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@petersonmunene7615
Жыл бұрын
Kwa hakika hakuna wa kufanana na uyu Mungu,ata kwa udhaifu wetu,tumeshuhudia huruma zake,sijaona kama Yesu.
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@floreswanyt5444
Жыл бұрын
Hakika.wa kufanana na Munguu hakuna.Kwa kweli nakuombea more grace Man of God
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi
@stevenkarrie1865
Жыл бұрын
To God be all the Glory and Honour to Jesus
@actsmwema5098
Жыл бұрын
Hakika hakuna wa kufanana na Yesu. Nimefika December.😭😭
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@mbalaerick
Жыл бұрын
Ukweli hakuna wakufanana na Yesu , yeye ni wa juu sana
@boazdanken
Жыл бұрын
Amen utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@rehemamercy1134
Жыл бұрын
Hajakuwepo, hayupo na hatawaikuwa wa kumfanana Mungu wetu🙌
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@queenmapunda7868
Жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu.Unatubariki sana.Roho Mt aendelee kukutumia.unatubariki sana.
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi
@ministertimmy254
Жыл бұрын
Coron imekuja mambo mengi yamepita wa kufanana naye hakuna mungu wa majira yote mungu wa kila nyakati barikiwa sana nabii wa nyakati hizi mungu akuinue viwango na viwango zaidi
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@ministertimmy254
Жыл бұрын
@@boazdanken Amina
@abbygaelsharon497
Жыл бұрын
Yesu wakufanana na wewe, Hakuna 🔥🇰🇪
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@amanijeremy
Жыл бұрын
The song in my heart today!!!
@yohanavicent2239
Жыл бұрын
God bless you alot mtumishi wa Mungu kazi yako Ni nzuri sana
@samwelmwaijumba6018
Жыл бұрын
Hahaha 😁 😁 😁 hakuna kama Wewe....wakufanana na Wewe ....
@boazdanken
Жыл бұрын
Amen
@anishamgallah6449
Жыл бұрын
Hakuna wa kufanana na Yesu Hakuna 🙌🙌,Mwimbo unaupako na nguvu za Mungu🙏🏾🙏🏾
@alexmbilinyi9159
Жыл бұрын
Ooooh Haleluya aaaa
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@frankmgaya7096
Жыл бұрын
Mungu akupe miakamingi yakuishi kalibu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿mi shabikiako milele mpaka kifooo
@Newtonkinyanjui018
Күн бұрын
Lyrics??
@sashalemmoh3264
6 ай бұрын
❤ kweli mungu akubaliki mpaka ushangae❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@graceflo3307
Жыл бұрын
None like you Lord and no one can be compared to you my Father.This song is wonderful may the Lord be glorified 🙌🙌🙌🙌
@lwangusamson2115
Жыл бұрын
vipi dada florence
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@ministernahashon5917
Жыл бұрын
Much love from Kenya. ❤Kenya
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi
@rowseymwakina5620
Жыл бұрын
When I listen to your songs, all I see is a true worshipper. I like all your songs. I can repeat one for hours. Your songs bless me. More grace upon you
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@rosamukunya519
Жыл бұрын
This song has blessed me today. Karibu tena Nyeri 🇰🇪
@ivyodero6881
Жыл бұрын
Hakika umetukuka na hakuna wa kufanana . powerful song
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@stewartsylvester2353
Жыл бұрын
God Bless You Sanaaaaa KAKA Wimbo Huu Mzuri una uwepo wa Mungu
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@ambindwilehosea6837
Жыл бұрын
Heshima na utukufu kwa Yesu ubarikiwe sana mtumishi Boaz danken penda sana Mimi Mungu akutumiage sana sana kwa viwango vya juu ubarikiwe
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@ambindwilehosea6837
Жыл бұрын
@@boazdanken Bwana wa majeshi jemedali wa vita azidi kukutunza mtumishi ❣️❣️❣️❣️
@peterevelyne7360
Жыл бұрын
Kwa hakika hakuna wa kufanana nawe Mungu.. umetulinda toka january tunakupa sifa Baba..
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@WilsonEmmanuel-bs6op
8 ай бұрын
Amina kaka Unanibaliki Sana Nanyimbo zako Utukufu apewe Yesu
@Marsemo
Жыл бұрын
Wakufanana na wewe hakuna,aliye umba nyota na kuzipa majina,hakuna,hakuna kabisa Kama wewe
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@ericisahi
4 күн бұрын
Powerful ❤
@festoamosi5956
Жыл бұрын
Hakika hakuna wakufanana na wewe wewe unatisha kamanini BOAZ mungu azidi kukuinua zaidi kwa kazi njema unazo fanya
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@festoamosi5956
Жыл бұрын
@@boazdanken kwakweli yeye anastahili sifa na utukufu ni zake sisi atugusi Barikiwa sana mtumishi wa yesu kristo
@fluffypanda536
Жыл бұрын
I love I love...what a blessing
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@sylivestergoodluck4033
Жыл бұрын
Hallelujah God is uncompareble 😭😭😭
@anthonykayanda6434
Жыл бұрын
Mungu akulinde, utumu katika huduma hii, Akuepushe majaribuni.
@boazdanken
Жыл бұрын
Amen usiche kuniombea
@anthonykayanda6434
Жыл бұрын
@@boazdanken Torati 28:6-10, then Yohana 14:12, na Mathayo 6:10. Mungu na atimize hayo yote, kwa Hesabu 23:19.
@wanyamacomedy1387
Жыл бұрын
Jesus the way represented here....First one 🤗🤗
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@misswamboke70
Жыл бұрын
Hakuna wa kufanana na Mungu
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@misswamboke70
Жыл бұрын
@@boazdanken Amen
@PST.Bennie
Жыл бұрын
Wewe ni Mungu
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu
@evaristbwire9000
Жыл бұрын
Mungu azidi kuinua huduma yko.. 🙏🙏
@boazdanken
Жыл бұрын
Amen utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@elizaerick786
Ай бұрын
Great song
@malobahollifin8680
Жыл бұрын
Amen amen
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@benardawich4684
Жыл бұрын
More powerful
@jamesmurithi3202
Жыл бұрын
A blessed night of encountering Jesus through your songs From Umeinuliwa to Jemedari wa vita and Now to this.. May God take all the Glory and May He continue manifesting in you..
@macywashera1437
Жыл бұрын
Mungu apewe sifa na utukufu .hakuna wa kufananishwa na wewe Yesu..Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu
@karmacinventions7872
Жыл бұрын
Blessed from kenya
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@annwanjiku622
Жыл бұрын
Hakuna wa kufanana na wewe mungu.
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@Ruthvivian_happy
Жыл бұрын
Words ain't enough to express how this song Blesses my heart
@amosnthiwa4738
Жыл бұрын
Hakika hakuna wa kufanana wa Mungu,
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu
@theresialubida161
Жыл бұрын
Amina hakuna kama Jehova 🙏🙏🙏
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@ksonkagwe5250
Жыл бұрын
Hakuna wa kufanana nawe Mungu
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@beatricemule6186
7 ай бұрын
God bless you
@ansiberthelman5864
Жыл бұрын
Waooooo, thanks my father God,, hakika wa kufanana na wewe hakuna umetuka zaidi ya miungu yote Ubarikiwe Mtumishi,, kaka Boaz na timu yako. Mungu AWABALIKI na azid kuwainua viwango had viwango. Nimebarikiwa sanaaa Ohhhh waoo wakufanana wakufanana wakufanana na wewe!! hakuna!....
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@elizabethwanjiku4961
Жыл бұрын
kabisaa hakuna kama wewe yesu
@boazdanken
Жыл бұрын
Amen
@danicomedia6041
Жыл бұрын
Sifa kwa Mungu🇰🇪🇰🇪 my best worshipper 🙏
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu
@kleofacejerome9025
Жыл бұрын
Hakuna wa kufanana na wewe Bwana
@boazdanken
Жыл бұрын
Hakuna kama WAKUFANANA na wewe
@boniphacegospel6764
Жыл бұрын
You're annointed one minister boaz danken, May God bless you more... 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@boniphacegospel6764
Жыл бұрын
@@boazdanken Ameeeeen my fellow Christ's servant 🙏🙏🙏🙏
@elirehemaringo188
Жыл бұрын
Zidi kubarikiwa mtumishi wa Mungu
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@cosmas.v.bagango5027
Жыл бұрын
Hakika hakuna Wa kufanana naye Jehovah's
@danpraisepepela900
Жыл бұрын
God bless you man of God
@boazdanken
Жыл бұрын
Amen utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@paulosmbena2834
Жыл бұрын
God bless you Man of God.
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@emanuelsanga6383
Жыл бұрын
Jembe Mwenyezi Mungu azidi kukubaliki, kuwabaliki kaka Amen.
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@HappyHappy-iw4vz
Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kweli hakuna wa kufanana na MUNGU matendo yake yanatisha.
@bygracehardwareltd2426
Жыл бұрын
Who is like our God?? Psalms 113:5
@boazdanken
Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@danielkariuki2730
Жыл бұрын
HAKUNA KAMA WEWE YEHOVAH💯💯
@boazdanken
Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@YANGAHIGHLTS3073
Жыл бұрын
Hakun wa kufanana na Mungu Mungu aendelee kukupandisha viwango ufike mbali
Пікірлер: 401