MAX MUNGU amzidishie anampenda Mungu na kumtegemea yy Masha Allah
@hamudshabani7801
Ай бұрын
Hakika max is the one of the best player
@SalimuRamadhani-nl7bp
Ай бұрын
Wananchi kama tunaikubali yanga Pigs keleleeeee, Naombeni like zenu
@SamilaHuseen
Ай бұрын
Oyoooooooo
@ZuhuraNassoro
Ай бұрын
Max mchezaji wangu bora wakati wote, daima kila jema likawe upande wake.
@user-nw5of4xh4q
Ай бұрын
Ameeen na Kwa wachezaj wt wa yanga
@5googleuuu727
Ай бұрын
Yanga oyeeeeeeee raha kama zote tumefurahi ALLY KAMWE. MUNGU AKULINDE NA MABAYA NA AKUJALIE MEMA NA AFYA NJEMA DAIMA INSHAALAH
@jumamustapha8254
Ай бұрын
Jamani yanga ndiyo tim pekee duniani iliyojaza viwanja viwili kwenye utambulisho wao
@user-ug1nv3xl4d
Ай бұрын
Max akili mingi nakupenda bureee💛💛💚💚
@elizabetty-rt7py
Ай бұрын
Weeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉 twende tukabebe mke young Africans 💚👍 laha sana
@simonsadala2386
Ай бұрын
Max Mpia nimekuekewa brother unamkumbuka MUNGU hakika wewe ni Moja kati ya wachezaji wakubwa
@geraldndosi2083
Ай бұрын
Alikamwe MUNGU azid kukuinuaa kaka huna baya
@aishabakari8040
Ай бұрын
Hii tishet aliovaa semaji kaliii mno😊
@SakinaSeif-tt6hf
Ай бұрын
Ahsanteni sana wapambanaji wetu kwa kutupatia furaha
@ZillaMgaya
Ай бұрын
Mwijaku kautakaaa atupe mke wetuuuuu...
@mohchifu
Ай бұрын
Nazidi kukukubali san Max Mpia Zingeli❤
@elizabetty-rt7py
Ай бұрын
Asante Asante sana max mungu akupe umli mlefu baba🙏
@mussamtimbinya
Ай бұрын
Ukimtegemea Mungu unadhinda kila jaribuo
@Mary-fs4mc
Ай бұрын
Asante Mungu, asante wachezaji wetu 💛💚
@user-jj4ge5xg3u
Ай бұрын
Mtoto Kalilia wembe kapewa 1-0.Wananchiiiiiii! Makalo rudini kambini mkajifunze zaidi kwa League yetu!
@pappilonfar
Ай бұрын
Mbn anajua vzur kiswahili
@happyinnocent8621
Ай бұрын
Congo wanaongea kiswahili
@PauloAlfayo-qi1gn
Ай бұрын
Huyu kijana max ni mtumishi wa yesu angalia siku xote anapo kaa anapoingia uwanjani ansalili popote au labda kalelewa kwa watu wanaomjua mungu mungu amtunze ,kwa yanga ni kama daudi alie muuwa goliathi leo
@khalifasaidi7001
Ай бұрын
Vipi huyu mashimo nabii wa uwongo?
@eliabumakunzo8856
Ай бұрын
@@khalifasaidi7001😂😂😂
@joycemmassi5046
Ай бұрын
Kabisa katupa siri ya kumtumainia Mungu kwa kila jambo
@allydaud612
Ай бұрын
Mashimo naabii fake kaingia shimoni na makolo
@user-ig8iq1ho4o
Ай бұрын
Ohhhhh yanga tamu
@chichinizzy7174
29 күн бұрын
Mchezaji mwenye nidhamuu ya hali ya juu nampemda sana Max mie 💚
@neykidoti102
Ай бұрын
Weeuweeee 💚💛💚💛💚💚💚💚💚💪💪💪
@yussuphsultan1400
Ай бұрын
Halafu maxi Sio mtoto wa Mwl kweli! Maana Ile chomekea Na ile nidhamu😅😅😅, Yanga Hoyeeee......
@TabiaMwaisumo-ss7pz
Ай бұрын
Mungu akupe kila haja ya moyo wako🎉max mpia nzengeri
@user-hy3en6vk5f
Ай бұрын
Ally Mzee wa kero💚💛💚🔥🔥
@hamisramadhan-eb3ie
Ай бұрын
Yangahii hatali ❤❤❤
@perepetuajohn
Ай бұрын
HONGERA ALLY KAMWE KUPATA MKE BILA KUTARAJIA , SHEREHE IKO MAKAO MAKUU JANGWANI!
@mohamedikisinga9714
29 күн бұрын
Tumekumisi sana Demaji la mabingwa❤
@moseschalani
Ай бұрын
Wa kwanza
@AMOSYMGIMBA
Ай бұрын
Sana owa afisa habari la young africans
@user-tb3xq2cu3o
Ай бұрын
Nakupenda pia ally kamwe mpolee sana mashallh❤😊😊😊 nimefurahii ku❤❤
@HamimSaid-g5p
Ай бұрын
Asante sn nimefurah pia
@JumaMngumba
Ай бұрын
Tushawashenyentaaa🎉🎉🎉💚💚💛💛💛
@aishamrisho6860
Ай бұрын
Tena ktk Choo cha kijijini😄😄
@yoelmickaj4049
Ай бұрын
Hii ni ubuyu ubweha😂😂😂😂😂kolo ameutaka
@aziziwailu7531
Ай бұрын
Mmetisha
@chollejr_
Ай бұрын
😂😂baleke si alipita imekuaje kurud anaongea ujinga
Alhamndulilah Tunashukuru sn M/Mungu anavyotuwezesha na asante Vijana wangu nawapenda Allah awazidishie Kheir kwenye kazi zenu Inshaallah
@ZainabuMatanza-gr2ec
Ай бұрын
Woyoooo
@AishaNgoyi-vi2ku
Ай бұрын
Huyu max n moto kila daby anafunga ❤❤❤
@user-fm3ix8pv9t
Ай бұрын
yanga bibgwa 🙏🙏🙏🖖⚽💪
@suddytele3692
Ай бұрын
Tupange zamu ya kulala na mke wa mwijaku ebu tujuane kwanza tupo wangap alafu tupange cku ngapi ngapi.
@Jr17Kazz
Ай бұрын
Nzengelii 🤜🤜🤜🤜🤜
@joycefaida6548
Ай бұрын
Licha ya Ushindi,,,Max I love you 💚💚💛💚💚💛💚💚💚💛💛💛,,,Unampenda Mungu💛💚
@MatswelopeleMphela
Ай бұрын
Max hongera sana.
@NdevuKamdini
Ай бұрын
Nice
@kabujeasukile5462
Ай бұрын
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 💚💛💚💚
@ErenestElias
Ай бұрын
Ally bwana nakuelewa sana na sana broo we ndo msemaji mwenye akiri mantiki sana nenda kachikue goma lipige pumpu mrudishie fala uyo
@joycemmassi5046
Ай бұрын
Max be blessed my brother kwa kumtumania MUNGU kwa kila jambo!!!! Endelea hivyo hivyo UTASHINDA KILA HATUA
@joycemmassi5046
Ай бұрын
MASHIMO MASHIMO hebu kaa ktk neno la MUNGU tu sasa ACHA KABISA MAMBO YA MPIRA NAKUONYA kama MGANGA WA KIENYEJI VILE!!!! ONA unabii uluotoa unalitukanisha jina la Yesu!!! Acha kama mtumishi
Jibu la max juu kumuachia MUNGU kilakitu ndio binaadamu wote wanapaswa tuishi hivyo
@AmanaAmos-hv3yz
Ай бұрын
Max anajua sana alaf anajitoa sana,anapambana sana..max❤❤❤ Allah akufanyie wepesi nakutakia afya njema❤❤💪💪💪
@HellenPhilipo
Ай бұрын
Yangaaa
@rukiakyaka1827
Ай бұрын
Aamina Inshaallah
@user-bz9fs7zy5b
Ай бұрын
Tumepata mke wajameni 😂😂😂semaji nenda kavute goma la mwijaku😂😂😂😂
@barutiabuu9492
Ай бұрын
Na mnajisahau tu simba kesha wafanya mbaya sana sasa tuonane kwenye ligi
@belindalowasa2819
Ай бұрын
Dah max adi raha Mungu ndo kila kitu
@MaryMangowi
Ай бұрын
Ally kamwe una bayaa broo
@sulleymanjimmy2214
Ай бұрын
Nzengeli kiswahili kishatakata hongera zake mwalimu wake Nkane
@paulobanzi5962
Ай бұрын
Goli moja na make mmoja Toka kwa mwijaku hongera yanga hongera wananchi slogan Yao yaubaya ubwela maana yake nikwamba ubaya ubwela niyale yaliyotokea mwaka wa jana yatarudi Tena ndiyo maana halisi ya ubaya ubwela wamechagua ujumbe mzuri sanaaaaaa!!!
@S2kizzyZombi
Ай бұрын
We mwijaku atupe mke we2 ela ya ukumbi akachukue kwa godlove 😂😂😂😂
@MauBonde
Ай бұрын
Maiti katoa shahada kabla hajafa ,☝️tumeszika sanda mahala pake.
@kijanisaini5688
Ай бұрын
Tunachukua mke na tunamfanyia paredi
@RoseGeofrey
Ай бұрын
Mungu ambariki max jamani😢
@nzitogondwe9976
Ай бұрын
Kachukue mke man
@LeonardNtiama
Ай бұрын
Wazee WA UBAYA UBWEGEEEEEEEEEE😂😂 amefumuliwa kwenye mshono mara tatu , mar ya nne tutakata kizazi bila kumpa taarifa yoyote
@danielbenard9053
Ай бұрын
❤❤❤
@haidarngoyogo-wi8wu
Ай бұрын
Kamweeeee lete rahaaa
@christianjohnmwalugaja8090
Ай бұрын
Kasim Mpanga yule linseman aliyekataa goli la Aziz ki ni shabiki no. 1 wa Simba achana na goli la dube zilikuwa Tatu clear goals.
@amaniomar1755
Ай бұрын
Adi Master Gamondi anasema mtoto kautaka
@chollejr_
Ай бұрын
Baleke yeye ni fujo tu😂😂😂😂 kuongea aaaahhhh
@standardtv3494
Ай бұрын
Asanteni kwa raha jamani ❤❤❤
@VIVIANMUKULU-kr8xp
Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Abdul-oc1ul
Ай бұрын
C mlisema mnawafungia wasemaji vituko?
@user-ok3bc8of5q
Ай бұрын
Maxiiii ni mtu na nusu
@GenelivaSylvester
Ай бұрын
Ali kamwe jmn ka katoto vile sema unanipa raha mieee ,hlw wananchi wherever you are it's just hi to you!!!
@sumailsumail9789
Ай бұрын
Makolo mwaka huu mbona 6:24 watakoma aijalishi niko mbali kiasi gani lakni nafaatilia sana Young africans🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@user-un6bn5jo3i
Ай бұрын
Dah! Jaman nzengeli ni mtu na nusu ni vile Basi tu hai mbwi hongera Sana dogo unajua ball
Пікірлер: 189