Pazuri sana but usiongee vitu vyako vya ndani sana
@merinakassembe4251
Жыл бұрын
Sijafika hapo lakini aiseechapati hukutakakuzijua sichambuke bwana first klass kwa chapati Ongera sana 🙏🙏🙏🙏👌👌👌👌👌👌👌
@ndukulusudikucho_
Жыл бұрын
Mwenyezi akusimamie na akulinde na kila balaa ktk biashara yako, akujaalie uzidi kufanikiwa ktk miradi yako
@maryamtanzania9743
Жыл бұрын
Wallah ofisi ni nzuri dahhh oesa uko wapi wanawake wenzetu mnaweza
@mfalmekaitaba2425
Жыл бұрын
Pazuri sana Masha'Allah Napenda vitu kama hivi ukipata fulsa itumie kikamilifu.
@abedmzungu9057
Жыл бұрын
hongera mdogo wangu mungu akufanyie wepesi kaka yako abedi hoza mzungu
@emanuelmbise2348
Жыл бұрын
Wow good place to be,,staff wamependeza sana infact pako poa
@lulugama1547
Жыл бұрын
Super woman ❤❤
@karimjuma4019
Жыл бұрын
Ameweza hongera sana dada
@kekiplus1andonly
Жыл бұрын
MashaAllah
@messaabbas739
Жыл бұрын
MaashaaAllah ❤❤❤❤❤
@faudhiasalum7279
Жыл бұрын
Wowow hongera sana mama wawili 😘🙏🏿pazuri sana
@mariamanzazi2696
Жыл бұрын
Congratulations dada Esha
@azzamahamdu7039
Жыл бұрын
Pole esha❤❤❤ALLAH AKUFANYIE WEPESI
@lifeinmiddleeast8179
Жыл бұрын
Mashallah lakini Acha kuweka Sana wazi kuepuka husda na hongera kwa kuwapa vijana kazi
@sakinaomary7207
Жыл бұрын
ana tangaza biashara
@johanesnixon5473
Жыл бұрын
Moja ya ten peks za interprener ni advatice ment chukua iyo ishi nao
@lifeinmiddleeast8179
Жыл бұрын
@@johanesnixon5473 yap but siyo.kuweka waz everything
@johanesnixon5473
Жыл бұрын
hasanaat bhana ngojea nikupe kitu kwa ufupi Katika maisha yako ujue kuwa kuna side mbili know by u and knowing by others apo yy kwajinsi nilivyo muelewa mm ametumia KNOWING BY OTHERS Yan ivyo kwayeye haina effect kwasababu ya business umenisoma adi apo ..?
@HidayaKarim-wy9yc
Жыл бұрын
Nakupenda sana 🥰🥰🥰
@championtop2
Жыл бұрын
Mtu anayefanyiwa interview mda wote haonekani! Upuuzi
@roseeuphrase3853
Жыл бұрын
Pole sana na kuumwa pamoja na majukumu ya kila siku.
@hassanmpemba5747
Жыл бұрын
Masha Allah mama asha mungu akupe uvumilivu na akuepushie na vijicho vya hasada za binaadamu
@merinakassembe4251
Жыл бұрын
Hingefahren sana l proud of you
@glorianikiza3940
Жыл бұрын
Waouh
@helenkambi3918
Жыл бұрын
Love you sana Esha Buheti
@ekkymumba8566
Жыл бұрын
Nilichogundua Esha masikini Hajui kuongea anaongelea mambo yake ya nyumbani kuliko ya Ofis😱 dereva Naomba tukifika Igunga nishushe Ninunue Juice tafadhari👌
@euniceodegea9180
Жыл бұрын
Esha I love ya my sister because of Allah
@edinamwanasenga1584
Жыл бұрын
Mungu akubari sanaa nimependa ❤❤❤
@mariamdullazy8166
Жыл бұрын
❤
@fatnashemliwa-jq9ez
10 ай бұрын
Nice
@tynercolin5060
Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@salamamohamed843
Жыл бұрын
Hongera sana,but angalia na afya yko maana Hadi mwili umenisisimka ulivyo drive Hadi Tanga ndani ya mwez mmoja tokea op
@beatricefredilick1646
Жыл бұрын
Sasa hapo unatangaza maisha yako au biashara
@rosemilingi7860
20 сағат бұрын
Huyo cjui anaongea nn mara damu 3 mara 11 mara alitoka na 6 hata haeleweki kbs
@marrypius576
Жыл бұрын
Yan navyopenda kula vizuri lazim nikutafut 😋😋🍛🍛
@farijanibakari9018
Жыл бұрын
Safi sana
@zuhuraRamadhanl-dz7tl
Жыл бұрын
Umejitahidi sana
@furahasarakikya3223
Жыл бұрын
Mume Wangu mume wangu.. duh too much 😢
@marianajoseph1892
Жыл бұрын
Gari sio asserts. Nyumba viwanja,
@mwalitv4555
Жыл бұрын
Anafunguka sana mambo binafsi kuliko kupromote biashara yake...nimemsikia zaidi mume kuliko biashara yake mpaka nimehisi kuna chakula kinaitwa 'Mume bufee'
@awadhisarai4331
Жыл бұрын
Husimlaumu sana cozy mtangazaji ndio yuamuliza maswali
@faithlucas1723
Жыл бұрын
😆😆😆😆😆umenichekesha ,
@rezegerezege691
Жыл бұрын
😂 😂 😂 nimecheka kama Mazuri
@haruniaisha5905
Жыл бұрын
Yaaani hawa wasaniniii wajinga
@nishaabdula5015
Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@LailaLaila-kg2qd
Жыл бұрын
Hongera sana ila kiwanja pia ni kizur sana kuwekeza
@sidikassim6759
Жыл бұрын
Da esha nakpnda snaa tngu upo uigzaji alfu jina kma la ddangu wa damu esha lkin kwnin usiach kuza pombe ddangu itkuvnjia rizki we ni muslimu dda
@AlenKinyina
Жыл бұрын
Mwanamke shujaa
@roseeuphrase3853
Жыл бұрын
Umetoka kufanyiwa operation kubwa. Tafadhali sana tena sana zingatia ushauri wa dakitari wako. Afya yako ikiwa nzuri ndiyo msingi mkubwa sana wa wewe kufanya shughuli zako. Take care about your health yourself. ❤
@mishikikoti2948
Жыл бұрын
Opareshen ya nn dada?
@siriyangu4724
Жыл бұрын
Mashallah da esha lkn angalia afya wko kwanza
@philipomussa
Жыл бұрын
Mpambanaji 💪🏿💪🏿
@caashamacalini3887
Жыл бұрын
Sasa maneno yote yanini? Kuhusu kukupa hela yake usajili? Alafu sijui amekupa kiasi kikubwa!!! Ili watu wamjue anapesa ? Wakati mpira wabongo hauna hela hivyo wachezaji wangepuga makelele ? Alafu team yenyewe basi anayochezea huyu kweli Esha kichwa matope
@kazikazini1042
Жыл бұрын
Yaani kuna tabia inakita mizizi ya kusema visivyofaa kusemwa
@kabwelasutiviraka4765
Жыл бұрын
Mwanamke wa Kiswahili , huyo mwanaume ni zuzu biashara yote jina la mwanamke na mshahara wote mwanamke anapokea, hao wanawake wa Kiswahili ni kama kunguru hawafugiki si tumeona hata wapewe nili uwa ni wasaliti tu
@hoseastephen4508
Жыл бұрын
@@kabwelasutiviraka4765 Acha wivu we naye mwanamke au?
@PeninaMlay
8 күн бұрын
Ila esha unapika bhanaa
@nurumwangoka5924
Жыл бұрын
Melezo ya mume wangu yamezidi shoga yanguuuuu
@hellendaniel3809
Жыл бұрын
Nafikiri huyu dada sababu mama hana na baba hamjui mume ndio kila kitu
@mosesnyamhanga449
Жыл бұрын
Hii tz me s Hami huu uongo tu! mshahara?
@user-fo5my5pe3b
Жыл бұрын
Sindano unaweza kukaa Ata miaka zinauma mm nishafanya oparatio 3 za kizazi sindano uzizoee
@ramadhanichuma7925
Жыл бұрын
Mswahili ni mswahili2 yani.kapata fursa ya kufanya marketing promotion yeye anafanya kazi ya kuongea person issues .shule nimuhimu sana.
@kitwanathabiti
Жыл бұрын
Kweli kabisa hayo mambo mengine yatuusu
@zakiamseka9698
Жыл бұрын
Wewe una biashara gan
@grantjacob7821
Жыл бұрын
Ww upo kwenye page hii kwajili ya mambo ya watu acha bwebwe
@mwalitv4555
Жыл бұрын
Truee...
@damariszuckschwert9489
Жыл бұрын
💯
@pendomarco8928
Жыл бұрын
Esha naomba kazi na mimi
@zakhiamsuya4922
Жыл бұрын
Umewwzaaa dadaaa alafu una chakula kitam balaaaa
@salimmachila5736
Жыл бұрын
Interview ya udakuudaku tu badala kuchukua nafasi kutangaza biashara yako...😂😂
@merinakassembe4251
Жыл бұрын
Don’t talk yourself private thing s fur people Esha stop it
@alicekisanga8004
Жыл бұрын
Just use Swahili English is not for you 🤣 otherwise she's merely advertising her business which is very good.
@rizoibrahimovich605
Жыл бұрын
Mi mwenyew hata sitaki kuweka hadharani vitu vyangu mengne Bora niseme na moyo wangu
@Officalnaph
Жыл бұрын
KIWANJA KIKAZURUMIWA DUUUU
@nishaabdula5015
Жыл бұрын
Yn mnaekeza pesa nyingi sn sehemu ya niaxhara badala ungenunuwa sehemu yk na ukajenga sshemunyabiashara
@beatricefredilick1646
Жыл бұрын
Operation in mazoez Fanya zoez
@hassankihimbi9555
Жыл бұрын
Kumbe unajua eprienx ya wacheza mpira ok ok
@rukiamziwanda7458
Жыл бұрын
Shule muhimu sana ana mmpromot mumewe baada ya biashara
@shabanpazi531
15 күн бұрын
Sio baada ni badala
@faidhamyovela179
Жыл бұрын
Kweny msos esha ni balaa
@trueexplorer894
Жыл бұрын
Mtangazaji unaudhi sana, keshakwambia asingependa kutaja kiasi alichopewa na mumewe, ila bado unaendelea kuuliza eti inazidi mil. 10 for what? Mbaya zaidi unaenda mbele unauliza kwa mwezi anapokea sh ngap huyo mme wake. Unatia aibu tasnia yako
@happyfaniabatromeo8010
Жыл бұрын
😄😄😄Anajielezea Sana vitu vya ndani kuliko maono ya biashara yake ya chakula duuuuuh 💔🙌
@masalakulwa7601
Жыл бұрын
Ukiona hivyo kuna kitu hakiko sawakwa ndoa yake
@yahayaally9193
Жыл бұрын
Nimekusikiliza dada ila epukamambo binafsi kuweka hadharani sio vizuri.mambo yako ya ndani ciolazima ajue kila MTU kuwamuangalifu
@user-ye7mj4fl7s
Жыл бұрын
Hana lolote Huy DD anaringa alikuja kazn kwangu alinikera anamdomo
duuuhhhhhh,,,tutamtafuta baada ya miaka miwili tujue uyo mume wake anaendeleaje
@nunimwaropia3584
Жыл бұрын
Usipotoshe wache.ardhi is a very fantastic investment and it's appreciate.biashara sio mbaya lkn ikifilisika ndio umeisha.kwaio biashara and properties usijivunie kupanga nyumba ilhali Una watoto.faida ya biashara kuilipia rent ndio kufanikiwa.nyinyi wasanii mnapotosha watu sana
@janetahmed6948
Жыл бұрын
dada pumzika operation ni mbaya usipade matatizo mengine
@valenakomba9218
Жыл бұрын
SASA HILO SWALI GANI HILO LA KIPATO CHA MTU
@smartonlinetv5144
5 күн бұрын
Mimi nadhani sio mzoefu wa interview
@hameezhami7795
Жыл бұрын
Kujenga ni mpango mzima .biashara ikiyumba inakuwaje
@cisselamerverille5286
Ай бұрын
Kake hamadi kapiti pagumu Sana ...ila nikushauri tu .....achana na hao wakwe unaowaita baba na mama .... Utakuja kunishukuru baadae ...hao sio wazazi wako acha ujinga ..wewe ni mtu mzima then acha kua muwazi kwa Kila mtu .. 😢😢😢 natamani nikutane na wewe nikushauri zaidi....
@sakinaamani1486
Жыл бұрын
Ssa mmmmm kuongea kwa afya yako kwa tokea wapi
@oscanyakunga
Жыл бұрын
Nitakuja kukula
@wishjrtz
Жыл бұрын
Yani kiwanja ukadhulumiw?
@fahidashishi255
Жыл бұрын
Basi shilole. Apo atakosaa usinhizi na lazima. Alipizrr😂
@bahatirobert1009
Жыл бұрын
Mmmm kwani esha ana mafua mda wote maana anavyovuta iyo pua
@masalakulwa7601
Жыл бұрын
Huenda ana pumu hajajijua .ni pumu hiyo...anunue nasal sprayer itamsaidia sana
@rahmamct
Жыл бұрын
Zuchu tunajuwa anapumu jee mama yake jee na yeye anapumu
@mishikikoti2948
Жыл бұрын
Naomba tu dada esha nkuulize, ivi mnaongeaga na shishi ww?
@lutenganolukali2122
Жыл бұрын
Kila ambacho shilole anafanya nae anaiga anatembelea nyota ya shilole kwenye mambo ya ubunifu wa biashara
@saeedalyahmadi1738
Жыл бұрын
Kiwanja kinapoteaje NA ni cha kwako😮?
@beatricefredilick1646
Жыл бұрын
Kiwanja pia ni muhimu nacho nunua
@pikanaauntzuu1466
Жыл бұрын
Esha bhana mbona km unanichochea mimi nina kahelea nataka kuongeza kiwanja sasa unataka kuniambia niwekeze kwenye biashara
@ndogolofadhila6203
Жыл бұрын
Biashara inanafasi yake na kiwanja kinanafasi yeke
@sinawsinaw6201
Жыл бұрын
Ww unaemtaja shoshinsa kusema ataloga kwanza hapo anajiloga mwenyewe maana sio kwa kujietezea,huko mmh mwache shishi kama shishi ni Jasho la mtu mmoja
@nigamo9645
Жыл бұрын
Halafu hapumziki na ikiwa ana operation na doctor kamwambia apimzike kwanza sasa ikitokea ttz lingine waseme karogwa
@smartonlinetv5144
5 күн бұрын
Hapo anajiloga mwenyewe maana sio Kwa kujieleza huko
@janethjonas1700
Жыл бұрын
Shishi alivyo mchawi atamloga mtoto wa watu ila Mungu atamlinda
@leokamil6284
Жыл бұрын
Huyu anapika kuliko Shishi
@janethjonas1700
Жыл бұрын
@@leokamil6284 ni kweli kabisa ila lile li shishi nilichawi sana tutamuombea hasadi isimpate...
@estermathias8354
Жыл бұрын
We nae mchawi tu umejuaje kama shishi mchawi? Dah ina watu wengii umeona shishi tu mmhh toa chuki zako at tutamuombea 😏we mwenyew umeahindwa kujiombea mambo yako ya mwingine utaweza puuhh
@emmadora7848
Жыл бұрын
We ndio mchawi mwenyewe , watu mnamatatizo Gani? Bila kuwafurahia wanawake wenzenu na kuwafunga mkono ,mmejaa wivu wa kijinga na fikra za kimasikini, Kila Mmoja ana riziki yake shishi anapata yake Kwa kile anachokifanya na Esha nae anapata yake , pole wewe maskini mwenye mawazo ya kichawi ,wenzeo Wanamake maisha hapo
@emmadora7848
Жыл бұрын
@@estermathias8354shangaa na wewe, wivu mwingine bana
@maisarahakizimana7074
Жыл бұрын
Kweli, nakupongeza unajitahid sana, ila unaongea sana
Ushamba uliopitiliza, alafu bado hajajua kuchuja maneno ya kuzungumza ktk sehemu kama hizi. Aisee shule inasaidia sana. Mambo ya afya yake,pamoja na mambo ya ndani kwake hayakupaswa kuyaweka hapo. Angedeal na mambo ya biashara tu
@ashamaneno9819
Жыл бұрын
Tatizo uwaga awamtembelei akaeleza mambo yake l kwahyo hapo ndo kapata pa kueleza baada y kutangaza biashara anaongea n mengine. Ili watu wajue anapendwa kapata sehemu ya maana hzo ndo tabia zetu z uswahilin mtu akimpata bwana w kumpa vocha z 2000 na alikua ajapata bas akipata hyo vocha aitoki kinywani 🤣🤣🤣
@glorianikiza3940
Жыл бұрын
Esha unampenda mumeo ili upunguze kumuongelea
@alicekisanga8004
Жыл бұрын
She's proud of her husband, be proud too.
@smartonlinetv5144
5 күн бұрын
Wewe esha fahamu wanaosikiliza baadhi ni watu wa afya, huwezi kupelekwa op na damu tatu. May be una matatizo ya kusahau. Alafu acha kuweka mambo yako ya ndani adharani, Tena unatangaza na afya yako sidhani kama kulikuwa na haja ya kuongea hayo yote.
@kabwelasutiviraka4765
Жыл бұрын
Yaani mshukuru sana Mungu kama alikupa akili. Huyo mchezaji ni mpumbavu wanawake wenyewe wa kiswahili hawa, mwanamke wa mjini aliolewa na kuachika, then ni stupidity eti biashara yote ameandika jina lake hela yote umempa hadi mshahara wako ana umanage mwanamke wa kiswahili 😢, kuna Leo na kesho angeandika jina lake kama a share holder kwenye hiyo biashara
@diyembarak5506
Жыл бұрын
Wacha roho ya korosho kama wewe huwezi wapo wanaoweza.
@kabwelasutiviraka4765
Жыл бұрын
@@diyembarak5506 upumbavu mtupu huo nani asiyejua wanawake wa Kiswahili hao eti biashara yote jina lake na unampa mshahara wako , huyo zuzu siku atakuja kulia , si tumeona kwa Haji manara wanawake wa Kiswahili
@diyembarak5506
Жыл бұрын
Mwaenzenu kanogewa mahaba tamu
@nareensaleh4957
Жыл бұрын
hii ndio mijanaume yenye roho za ubinafsi na roho mbaya
@lytwilliam7050
Жыл бұрын
achana na mapenzi ya watu. wewe ishi na mwanamke wako unavojua wewe.maisha hayafanani.
@happinessmtalika16
Жыл бұрын
Sasa unajisisifia kuhatarisha maisha Yako alaaaa.eti nimedraivu dar mpaka Tanga kidonda kibichi kisa pesa.unacheza na uhai wako we dada.
@aishaabrahaman9957
Жыл бұрын
Mjinga sanaa huyu
@ruthp8684
Жыл бұрын
Et Kiwanja kikizurumiwa 🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ZERO BRAIN
@rogathengowo1099
Жыл бұрын
Kwakweli hapo sijamwelewa
@ruthp8684
Жыл бұрын
@@rogathengowo1099 Umri wake na alicho ongea apo ni vitu tofauti.Ametuonesha wazi Jinsi gani Akili ake ni kisoda
@christinaonditi9341
Жыл бұрын
Mjinga kabisa mzuri bt like 0 brain. Unaongea ndg zake wanakusikia tayari unakaribisha vita
Пікірлер: 166