Kama mtu anakupenda kiukweli hawezi kuwacha kwa jambo lolote,pesa sio kila kitu huwezi nunua mpenzi,may God send u a woman who truly deserves u Clamvevo much love from Kenya ❤❤❤
@aishaomar2287
6 ай бұрын
Clam relax mkeo mwema yupo mahali Mola kakuekea in shaa Allah 🙏 🙏 🙏
@user-jj4id8vq2d
6 ай бұрын
Clam vevo you still have time relax God know more about your life,,,, MUNGU amekuwekea mke anayekukufaaa mahali pambana na Kasi yako❤❤❤ love from Kenya ❤❤
@MariamMbaruk-rk3vj
6 ай бұрын
Clam sikiliza brother, zuhura alikiwa ameletwa kwako kukufungulia maisha yako 2 pengine mungu hakupanga uishi nae
@OmaryMashimango-jd5jd
6 ай бұрын
Hahahahahaha..!
@user-up2ef7dc6k
6 ай бұрын
Kaka uyo kwa sasa sio wako waachie wenye ela jitaidin kupambana na maisha kazi zako nzuri utapata umpendae
@Alibabason
6 ай бұрын
CLAM VEVO really you inspire me to hustle and not going back again. May God bless you ❤❤❤
@user-jd6vr9xw1o
6 ай бұрын
Clam Kiana mpambanaji ,nakupenda sana from Burundi ,tunakufatilia sana
@sayhaanqudqud5799
6 ай бұрын
Ukimpata mwanamke wa hali ya chini mnyenyekevu mwenye bidii na upendo atakufaa. Zuchu angekupenda angekua naye hata kwa success yake. Kisha mwanamke mzuri ni mwenye dini na msimamo. Unajipa maisha ya kukukimbiza moyo mbio bure
@Mtazyinstrumental
6 ай бұрын
Clam kubali maisha yanapita tafuta watoto acha kulilia mademu
@muhammedkhamis2566
6 ай бұрын
Wa kwanza leo like japo 5 jamani😢
@samirshabani-yu4xu
6 ай бұрын
Wacha ushamba wewe mbona unaishi kishamba like uzipeleke wapi
@muhammedkhamis2566
6 ай бұрын
Nataka nimpelekee clam vevo mm shabiki yake namba moja❤
@user-pz4zp8bq2x
6 ай бұрын
Chukua mtt yule mondi ana wengi.... ......appreciate brother 🤐🤨🎧🎧🎧🔥🔥🔥🤑
@MohammedAli-yc2ek
6 ай бұрын
Achana na zuchu kaka pesa yako ndogo mtoto ashajua kutumia na ww bado mtafutaji utapauka bureee endelea na maisha yako
@mohammadoman8963
6 ай бұрын
Yy zuchu anamhusu nini ataka kiki tu
@mudysaid6602
6 ай бұрын
😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣%100 100
@ZaiduMtame
2 ай бұрын
Unamchukuliaje clam bro oya money kama alive anakulisha ww na familia yako ahaha usiongee ktu kuhusu uyo dog
@user-tc9ed5dl7s
6 ай бұрын
Clam sijapenda🏃we pambana wifi yetu tutampata....mzuuuri tu umeandaliwa na Mungu
@gogoloveofficial5666
6 ай бұрын
Clam pambana na maisha ma binti ni mengi utapata wa kwako.love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
@KwizerJackson-is7fh
6 ай бұрын
Nikweri mwezangu Mimi napenda watuwanasema kweri mimi piya ni wa Burundi rakini niko Zambia
@gogoloveofficial5666
6 ай бұрын
Hapo Sawa my brother.ama tujipendanie ega na mimi Niko star in Burundi🤦.tena nacheza filamu kama yeye
@KwizerJackson-is7fh
6 ай бұрын
Hapo sawa nakaribia kurudi kuona wajajiwangu vip ukowapi
@KwizerJackson-is7fh
6 ай бұрын
Kumbe urinimano ukinaneja naje sami me love you somuch musohohe imba ndayibonye kubera atamugore fise movie mukina nizo mugorewaje
@komlaakomlaa7465
6 ай бұрын
@@gogoloveofficial5666 gogo reka kuntwenza🤣🤣🤣
@zazalareine257
6 ай бұрын
Kisicho kuwa ridhi hakiliki😢 unaye mpenda hakupendi wanawo kupenda huwapendi😢 na imana kuna wenye wanakupenda clam wang🎉❤
@BizeddOfficial
5 ай бұрын
haaa ka nyiimbo yangutu
@fideliswambua3346
6 ай бұрын
I like the way u answer the questions Clam
@user-sj1ci7cf3s
5 ай бұрын
Upo kabisa kaka, usibanduke kwa uamuzi wako , hata asipomuacha we mnaendana sana kaka, tena unajibu maswali kwa uadilifu sana
@Kipngetich-KE
11 күн бұрын
God's time is the best Mr Clam so watch and pray
@user-ec1yd8mc7v
6 ай бұрын
Mwanangu clam achana na Zuchu unapigania nini pale ako na macho Kama kinembe chake si wakijuwa poa wechekelea acha zombi apige deki Mko wako 😂😂😂
@user-iu4ur3ob7v
6 ай бұрын
Nakubali sana kazi zako utafika mbali kisha mwika
@maryamhaji-mx8dm
6 ай бұрын
moyo ukipenda umependa mungu akipenda utampataa.🖒
@Officialabshry
6 ай бұрын
Kuna ukweli nimeuona na ndicho kilichoniachanisha na mtu niliempenda "kuombwa pesa ambayo hauna" 😢😢😢
@germainfola275
6 ай бұрын
Ndugu yangu clam vevo pambana na maisha achana namambo ya stress uata shuka kiwango cha uigizaji kk
@user-kj7om3gi8q
6 ай бұрын
Napenda sana kazi zako ,unajua sana nakuona mbali sana baada ya miaka 2, unakipaj sana❤❤❤
@RizhoWakingumba
6 ай бұрын
Clam achana na ayo bwana yasije yakakuaribia maisha
@aleyidukury8333
6 ай бұрын
Achana nae pumbavu atakuja kukufilisi tu endelea na maisha yako usipoteze muda kwa mpumbavu
@elizabethchabluma-zw5qz
6 ай бұрын
Mpumbavu wewe mwacheni b zuu
@aleyidukury8333
6 ай бұрын
Hahahaha duuuh hataree
@Director_tyson
6 ай бұрын
Bro don't forget a girl. Am proud of u
@NinahFyson
5 ай бұрын
Mimi navyo muona zuchu na clam vevo awawez kukaa tena kwenye mpenz.Nakuamba CLAM acha kumufatilia uyo binti na uangalia mkee watayipi yako 👍🥰
Claim ameumia.kama Makabila.Poleni sana.Nassibu Mke wake ni Tanasha na Zari wanawake hao 2 ndio wanawake bora kwake sio zuchu jaman.
@annechichi8574
6 ай бұрын
Diamond ako Uhuru kuoa mtu yeyote yule
@alimwadima254
6 ай бұрын
Kavuu sana...Huyo hakuwa anakupenda Ulipokuwa kapuku sasa utawezaje Kumshobokea sai Mambo yako kwenye mstari...Uboya huo Tafuta Changa changa Isiyokuwa Maarufu utulize Boli wewe namna gani vp!!!
@tomsijohni
6 ай бұрын
Clam tongoza zuchu bhana kwani shingapi huyo zuchu ni mvua chupi kama wengine 😂😂
@Pierjmkakule
Ай бұрын
Dada Mbengo hujambo, from DRC🇨🇩 tunataka Vevo atuburudishe kwa vichekesho(comedy) maana uku nikama amelala, basi naamini langu hili litafika🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mwanamisimwapula8392
6 ай бұрын
Mapenzi yanaumiza pole broo
@SarahMpagaze-fi1sr
6 ай бұрын
T'es vraiment décisive, j'aime bien ta réaction 🤗cleam,t'es un homme fort et sage!✨👌
@user-qx6xe7ew5p
6 ай бұрын
😂😂😂😂
@RehemaOmari-yi1io
Ай бұрын
Njoo kenya Clam ❤
@user-jq9rj4dm5u
6 ай бұрын
Mwenzako kalia dullah makabila...
@aginesmnaka4096
Ай бұрын
Kss😊
@FranciscaChari
4 ай бұрын
Relax kaka mola atakupa wako mzuri sana ww mwenyewe handsome bana
Kk love is better than money bas kma mwnamke ulitofautiana nae ksa pesa bas huyo niana true love bas huyo n atkusumbua Sana maisahan ila akae akjua tu ktkt maisha nkunakpnda nakuxhuka .kikubw bloo mim hpo naomba nkushaul kma mwanaume mwzangu kuw tafuta bnti mwingne ambaye ni atkuw nmzul zaid ya zuchu mbna walembo nwpo weng tu hpa dunian.kk najua niunaumia Sana mapenz hakka nyanaumiza Sana ilajtahd kuulazmisha Moyo wko kutokumwihtaj tena huyo zuchu hatimaye utazoea tu maana itafka htua n atakuhalbu ksaikolojia KABISa
@Malin2001
6 ай бұрын
Clam relax mke mwema mungu hupeana
@djafro1
6 ай бұрын
Niko huku leo nampenda Clam vevo pia mimi nifikisheni 1000 subscribers
Nakupnda Sana clam mungu akueke nafatilia Sana kazi yko
@channyanjen9047
6 ай бұрын
Pambana kipenzi cangu iko siku utapata inshaalah
@Peggybloodpeggy
6 ай бұрын
Mm na amini Clam 😊 Congolais 🇨🇩🫡🇹🇿
@Peggybloodpeggy
6 ай бұрын
youtube.com/@Peggykid_?si=GjvBgqZ_vemWgDg2 ni sapotini na mimi djamani 😢
@user-wi2td1lv6e
6 ай бұрын
Kaka clam nikushauli kitu kama mdogo wako watu huwa tunatafuta wanawake WA shida na raha SASA huyo zuchu ye hata akikubali kwasasa kwanini zamani asinge kuvumilia nakuomba achana nae jalibu kuuzuia moyo Wewe ni mwanaume tafuta make WA maisha
@KwizerJackson-is7fh
6 ай бұрын
Cram me love you rakini zuchu achananaye hakufai
@BarbaraPatience-qt9cc
6 ай бұрын
Fala
@KwizerJackson-is7fh
6 ай бұрын
Kudadeki ubwa mnfiki mkundu kenge mchawi
@user-ox9zz7zk5h
6 ай бұрын
Acha usenge ww
@KwizerJackson-is7fh
6 ай бұрын
Siongei na ubwa naongea na mwenye ubwa
@user-ox9zz7zk5h
6 ай бұрын
@@KwizerJackson-is7fh mbwa ni baba yako na mama yako fala ww
@lyidiajuakaly3335
6 ай бұрын
Mavi ya zamani hayanuki songa mbele
@user-qi7qs7qx1e
6 ай бұрын
iyo kweli
@user-km7rs7pe5d
6 ай бұрын
Swadaktaa
@kiondoTv
6 ай бұрын
Tunataka picha kukiwa nayeye
@jovialjuma7018
6 ай бұрын
😂😂balaa
@ebengapierre8826
6 ай бұрын
ivi WEwe unawaza zuchu kuna pesa apo ya kumleta zuchu kwenye mikono Yako uho ni ujinga kwanguvu unayo wewe unaweza kosa dike apo Tanzania mbona wewe unajina kubwa Fanya kitu ambacho kila mtu atakuelewa akupendi uyo 😭😭😭😭 nakupa pôle sn kwajina kako unafanya vitu vyakijinga tafuta mwamuke ambaye zuchu atashituka lakini wewe bado unashindana ju yamwanamuke
Clam utapata mwema na alie na kheri na wewe tatizo la watoto nyie usanii wenu upo mpaka ktk mapenzi
@RabanAmosy-ce7bs
6 ай бұрын
Pole xna clam Namm natambua ni jinsi ngan hisia za😢 mapenz znavyo uma Pole xna mwamba clam vevo
@roudhamahmoud763
6 ай бұрын
Claim vevo nakuelewa sana na naamini ipo siku zzuhura atakuja kwako
@user-lo6ok2wf9r
6 ай бұрын
Ww hujui kupenda😊😊😊😊😊😊
@user-kk7ck1ph7c
6 ай бұрын
Sijapenda naenda nyumbani kula chapat na marage
@tynahchitamu8675
6 ай бұрын
Nimekuelewa sana na najua unamaanisha aisee una upendo sana na ndio maana unatafuta sana pesa😢
@Dianaf774
6 ай бұрын
Clam just move on my your best fan from kenya
@HadijaHussein-rt3gm
Ай бұрын
Oyaaaaaaa bro usilazimexhe mapenz tafuta mwingine akupendaye
@soundmale
6 ай бұрын
Shenzi sijapenda unajieleza kama umefiwa😂😂
@user-iu4ur3ob7v
6 ай бұрын
Wewe ni Noma sana clam vevo
@user-eb7ys2sw4b
5 ай бұрын
Thanks vevo mm n fan wako
@AmourHaroub-lv8ll
26 күн бұрын
Huna hela ya kua na zuchu boss kubwa bdo sana jitafute
@user-ec2cj5om7v
6 ай бұрын
Pole kaka clam bt achana naye itakucost
@Zuu673
6 ай бұрын
Jamani kwani lazima?ndio unajiingiza km mtu umeachana nae yann umzungumzie?ushamba kweli😂
@vanessaemanuel849
6 ай бұрын
Jamani clam vevo wangu kaongea kwa uchungu hadi nimelia zuchu muhurumiee bxii mwenziyo😢😢
@farajrashidi4010
6 ай бұрын
Tafuta mungine usifosi mapenzi yatakutesa kuwa mkomavu
@user-le1gv4wb1n
6 ай бұрын
kijana wa hovyoo😂😂
@user-yt2ep1bp6p
5 ай бұрын
pambana kaka Allah atakubariki my brother
@Amisisahidi-j1q
17 күн бұрын
Clam vevo wanawake wapo wengi wazuri zuchu hana uzuri wowote mwaile kundi lako wanawake wazuri wapo zuchu ulimuona emo Nini zuchu mwenyewe anasura kama matope shepu kama ilipigwa napasi
@Mr_max_05
6 ай бұрын
Acha sifa,, zuchu sio level yako.
@user-gy7go4hk7j
6 ай бұрын
Bwana mdogo never give up
@mustaphamuslim1161
6 ай бұрын
clam mbona kama mda ushakuwa mwingi sana piga moyo konde iyo hali kila mwanamme yeyote dunian lazima apitie maumivu ya mapenzi kwaiyo na wewe zam yako ishafika piga kazi watu wengi wanakutegemea kupitia kaz zako na kipaji unacho kuwa makini usije kuwa mwanzo wa kupotea.
@SarahMpagaze-fi1sr
6 ай бұрын
Oooh!!!baba !kunbe wewe ni ex was zuchu?ila diamond hawezi kumu owa zuchu!ça je t'assure bro!🤗✨
@mudysaid6602
6 ай бұрын
Kupenda tabu jamani.🤗
@JohnBwija-xg5pf
6 ай бұрын
Clam vevo ni mwamba sana
@khamismgunya4519
6 ай бұрын
Umekuwa mjinga mbona kama mtu hakutaki nn shida
@aminaomary5567
6 ай бұрын
Mtangazaji hoyoo❤❤Clam atapata tu Ike mwingine men.
@elbaricktv1632
6 ай бұрын
Sio lazima kwasababu wewe superstar basi uwe na MWANAMKE superstar kama upo seriously na kutafuta mke mabinti wazuri sana wapo wengi TU unaweza pata hata wa4 kwa mkupuo
@Spagles
6 ай бұрын
UKIACHWA achika rafiki yangu 😂
@roudhamahmoud763
6 ай бұрын
Asante sana claim vevo upo sawq ila ikishindikana nakuomba claim muoe kim mnaendana kabisa
Clam Nimimi Hamisi Nyalinga usiwe nawas was zuchu niwako kwasasa ngoja uchukuejina kimataifa awe Zaid ya Tiwa saverji
@user-bf4rn2gx1v
5 ай бұрын
Njon mcoment jaman
@robertokari3736
6 ай бұрын
Nashndwa kuelewa nan kati ya hawa wawili diamond na clam vevo na mwizi wa mapenzi hasa juu mwingine aliachua juu ya umasikin 😅😅😅 sasa wana pesa wote😂😂😂😂😂 zuchu penda ex wako b4 uwachwe😊😊😊 Kweli mapenz ya pesa yanaumiza na yana raha yake
Пікірлер: 391