Nasubili kwa hamu kubwa bro...maana stress NI ugonjwa wa watu wengi hususa ni money stress na love stress ziongoza sana
@beatricemabula4783
Жыл бұрын
ahsante Joel. wewe umeletwa kwa ajili ya watu wengi
@samohazakwani6899
3 жыл бұрын
Habari za leo brother. Shkrn sana kwa somo zuri sana. Somo la leo linatusumbua wengi, points nyingi hapo zimenigusa.
@chrissbudode
11 ай бұрын
Ahsante kwa elim nzuri Nina rafikiangu anabaadhi ya dalili ulizozitaja nimsaidieje ili aondokane Na hali hio....
@nelsonmpolochacha5035
3 жыл бұрын
Asante sana kaka. Hapo kwenye Maamuzi Umenikamata.
@jemimasibonike-gn8gh
Жыл бұрын
Asant sana kaka mm nipo kwenye kusahau na kujiona nimeibeba Dunia Yani mambo meng utulivu nashidwa
@reginaldchrisent9632
3 жыл бұрын
Asante bro Ila nataka kujuaa au kupata clip ambayo inahusu jinsi ya kuondoa tatizo la kupotezaa kumbuku
@EstherNicodemus-db1sl
Жыл бұрын
Am watching this video when I have all the symptoms 🥹and I don't know how help myself Mr Joel🙏
@fikabmwakabungu1128
Жыл бұрын
Very true. Nina dalili kama nne hapo. Asante sana kwa somo zuri
@nancychiberenge3811
Жыл бұрын
Ni kweli ukisemacho nami ni mmoja kati ya watu waliyo athirika na stress had kupelekea mda kichwa kuuma na kupatwa na kizunguzungu!
@fedharmmark6398
3 жыл бұрын
Ahsante kwa Elimu hii mkuu, Ubarikiwe sana.
@chabaally2817
17 күн бұрын
Asante doctar,sasa basi tusaidi nini tufanye ili kuondokana na hizo stress
@aminajuma1435
3 жыл бұрын
Yaani najiona kabisaaaa… hizo dalilizote ninazo kwakweli… hadi najihofia kwakujiuliza hivi kitokea nikaingia kwenye ndoa nitaweza kudumu mudamrefu kweli.
@mumanyimulyowa8361
3 жыл бұрын
Yawezkan stress zako zinasababishwa na kutokuwa na mahusiano ya kueleweka Maana wakati mwingine akili au mwili huwa vinapata pumziko kwa kukaa kubadirishana mawazo na mpenzi wako na hasa pale umri unapokuwa umetimia
@ahz6907
3 жыл бұрын
@@mumanyimulyowa8361 true
@jacksongilbert3212
Жыл бұрын
Kwakweri solo zuri sana ,nasumbuliwa naugonjwa wakusahau
@stabilityh2423
3 жыл бұрын
Bro ii topics is so important.
@marymrema3815
Ай бұрын
asante kwa somo lako njia ipi rahisi ya kudhibiti stress
@francissamcky4496
Жыл бұрын
Kaka me nashukuru sanaa kwa somo lako kwasababu nilikuwa nasumbuliwa sanaa na tatizo la kuwaza kupita kiasi nilikuwa naomba suluhisho lakuacha kuwaza kupita kiasi
@FatmaHaji-j3q
2 күн бұрын
Naomba unisaidie kuepukana na tatizo hili
@nevagasmsamba5060
3 жыл бұрын
kweli kabisa hizo dalili na watu hao wako wengi sana nakutana nao hospital na wakat mwingine mm mwenyew najistukiaga sana nikianza kuona baadhi ya hizo dalili
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI
3 ай бұрын
Allah atufanyie wepesi
@juliusmusyoka1857
6 ай бұрын
Thanks for...
@mohammedmohammed7334
2 жыл бұрын
Asant sana kaka, nikweli mm Nina tatizo la kupata usingizi
@aminasalim7571
11 ай бұрын
Asante sana Binti yangu anahizo dalili na Yuko kidato Cha 3 na imepelekea mpaka sasa anatabia yakuangu na kukosa uwezo wakiongea.. pls naomba msada wako kwaajili ya bint yangu
@mariamayoob8734
3 жыл бұрын
Asante kwa somo
@mohammedrashid2906
2 жыл бұрын
Ahsante sana
@rosemarysulle9288
5 ай бұрын
Astress ni ugonjwa niko naumwa,tena naelekea kwenye shida ya afya ya akili.nasahau sana,siwez hta kuendesha gari .umri mdgo matatizo mengi
@GetaryAyera
Жыл бұрын
Mimi nimekabiliana na shida hio kazini kwasababu ya mdosi na kelele zake Hadi nasikia ndani ya roho yangu naumwa nasikia kulia punde tu namwona😢😢
@joycehaule4520
Жыл бұрын
Karibu zote ninazo
@levinanolasco1807
3 жыл бұрын
Aiseee.najiona Kama hizo dalili zote ninazo labda tu sijakosa usingizi Wala kuugua Ila hizo nyingine nimekumbana nazo naomba unisaidie nifanye nini Joel maana Ni kweli Nina stress sana
@zuwenaabdallah7748
3 ай бұрын
Dooh mie ndo kwisha habar😢😢
@FatmaHaji-j3q
2 күн бұрын
Dalili zote ninazo
@SimonMwangi-kc2ht
4 ай бұрын
Yes
@FatmaHaji-j3q
2 күн бұрын
Mm nasumbuliwa na tatizo la stress
@NyangiKaniki-dj7kb
11 ай бұрын
Nakosa ucngz,,,kwa mchana ndo umeisha kabisaaa,kuumwa sasa mwili hauna nguvu shingo mabega, yaani kichwa kizitooo
@SizzoSela29-sh8nz
7 ай бұрын
Upo kama Mimi hivo hivo
@godfather6769
2 жыл бұрын
Brother uko sawa
@Aki10Frankly
Жыл бұрын
Kweli kabx ❤
@remymukosa7928
5 ай бұрын
Nitumie Namba yako kaka joel
@davismagafu4732
3 жыл бұрын
Aisee kwa upande wangu almost dalili zote nakutana nazo kaka joel
@MusicBongo255
2 жыл бұрын
Daaaah Mimi zipo kama mbili hivi zimenipata hapo kwanza kukosa usingizi pili baada ya kazi kidogo nahisi kichwa kimevulugika yani naona maluwe luwe2 na pia hata katika kazi yangu mala nyingi makosa huwa hayakosekani pia usahaulifu pia ingine hujaitaja kujiona tofauti na wengine yan wao ni bora kuliko mimi
@zuhurakituyi3542
2 жыл бұрын
Mimi nina miaka 33kwa ndoa nanimedundua mume wangu ana mke mwingine bila idhini yangu, nifanyeje maana ninaumwa na kichwa none stop najiuliza maswali mengi sana.
@ErickKimaro-bf8zs
10 ай бұрын
😭😭😭😭dah izi dalili karibia zote ninazo😭😭😭ndugu yangu nisaidie please 😭😭😭
@praxedamsoma8545
6 ай бұрын
Ntaoataje no yako
@praxedamsoma8545
6 ай бұрын
Ntapataje no yako
@evansmomanyi8144
8 ай бұрын
Mimi . Evans momanyi Niko na shida ya usingizi.tafatari naomba dawa ya usingizi. Juu nalala kila mala.
@vailethkilewo2480
11 ай бұрын
Dr mm napitia izo dalili mpaka nahisi kuchanganyikiwa
@zanzibartotheworld7826
Жыл бұрын
Dalili ninazo na pia nina tatizo la kujishtukia nikiona watu wanaongea wanacheka nahisi wananiongelea mm nateseka sanna dokta naomba unisadie akili yangu haiko sawa
@mukreemhassan7347
2 жыл бұрын
Asa tufanyaje ili kumbukumbu zetu ziwe fresh na ilo la Kilala sn kweli pia ninalo kabisa asa tufanyeje na ilo ttz la kuumw pia kweli kutwa kutumwa sn Kila siku naumwa mie JE nifa nyeje asa please
@ThomasOmarymnyampanda
6 ай бұрын
Mimi Doctor kichwa kinauma sana na wakatimwingine napata.bardi kali wakati juwa lina waka
@Annha-lt7hh
Ай бұрын
habar anko.yani mimi nina Dalili zote hizo yani hasira ndo usiseme wakati mwingiine najaribu kujizuia lakin nashidwa jaman
@janethstephen7869
8 ай бұрын
Nimekutana na kukosa usingiz na nikienda hospital nikipima tatizo hakuna ila najiona siko sawa
@HpHp-vo7pu
Жыл бұрын
Mimi imenipeleka pabaya sana hata kujikwamua nashindwa
@albertinemacimu1247
3 жыл бұрын
Nasubiri sana kaka
@samsonmdemu6067
Жыл бұрын
Sana yani Mimi za kuzidi
@EmmanuelZumba-t4w
6 ай бұрын
Mwalimu apo yote yapo yananitesa sanaa
@eliabjohn3798
Жыл бұрын
Daaaaah
@evansmomanyi8144
8 ай бұрын
Mr Joel please mimi nalala sana ni saidie na sawa please
@peterjanuary7567
3 жыл бұрын
Kaka nakubaliii👏👏
@MercyJulius-e3h
Жыл бұрын
Dalili zote ninazo na ninateseka sana nimechoka mpaka mkono wa kushoto unamaumiv na shingo na moyo naomba nisaidie kaka angu😭😭😭😭
@zulpharashid3376
Жыл бұрын
Mipia hadi kichwa upande wa uso unakua namaumivu ya mkazo 😭😭
@sunwizy608
5 ай бұрын
polen woteee jamn
@rosemarysulle9288
5 ай бұрын
Mm ninasahau nahis km siku si nyingi nitaanza kuongea peke yangu.nina stress mno,natamani nihame niende porini sitaki kumwona mwanadamu machoni pangu
@sunwizy608
5 ай бұрын
@@rosemarysulle9288 pole mwangu mtangulize mungu kwenye izo changamot zako
@rosemarysulle9288
5 ай бұрын
Mm ninasahau nahis km siku si nyingi nitaanza kuongea peke yangu.nina stress mno,natamani nihame niende porini sitaki kumwona mwanadamu machoni pangu
@mohammedadam8261
Жыл бұрын
Hapo hizo dalili zote naon nimeshapitia kwakweli hospital nimeenda san lkn ndo hvyoo chanzo kikbwa n mahusiano yang
@vailethandrew2113
Жыл бұрын
Dalili Zotee ninazo hapo naishi naisha tu😭
@AdelaKauki
11 ай бұрын
Ndiyo nimeshawahi kuona baadhi ya.dalili hizo na ninaumwa tumbo mda mrefu lakini animeshaenda hospitali mbili tofauti nikaambiwa Sina ugonjwa wowote.
@maelezomaelezo9057
3 жыл бұрын
Strees yagu mm nasizia balaaa sijui akili inafanya kaz sana ata sielew
@lydiaseventy5509
2 жыл бұрын
Asante sana mimi nina dalili mbili kitabu nitakipataje?
@sadathkawambwa3828
Жыл бұрын
Mm Kila siku kuumwa jaman nishachoka hata kwend hospital naona namalz hela tyuu
@shaniaking7525
2 жыл бұрын
Mimi zote hizo ninazo na zaidi.tena nahis kuchanganyingiwa kabisa.
Bro hizo dalili zote ulizo zizungumzia mm ninazo please bro utanisaidiaje kk
@BrigitteRachel-gf9zz
5 ай бұрын
Yani uyo ni mimi sio muongeaji sahivi naongea sana
@faudhiasalum7279
Жыл бұрын
💜👍
@alimatambwe3402
3 жыл бұрын
Ndoyo Mimi stress imenifikisha mbali sanaa,maisha yangu natumia dawa za stress
@danielnjowoka9412
3 жыл бұрын
Daaah pole Sana
@lameckjohn3257
3 жыл бұрын
Do you know that you have MIND? Kama utajifunza namna yako MIND inafanya kazi ni rahisi sana kukabiliana na tatizo la stress. Kama uko interested 0718 54 50 56 By the way stress ni kitu kizuri sana kama utajua namna ya kukitumia kukupa matokeo mazuri.Stress means changes or something has to change
@HildarMenac
Жыл бұрын
Ninazo dalili 4
@Morine_kn1lt
4 ай бұрын
Hapo zote ninazo😢
@MonicaMmari
9 ай бұрын
Ndio ni mimi mwenyewe kitukidogotu nachukia sana
@MohamedMohamed-fc7vh
2 жыл бұрын
Ni kweli doctor Ila nisaidie namba yako pls Nina Jambo private
@stabilityh2423
3 жыл бұрын
Bro ndio hyo frequent bad decision ebu nishauri bro
@alecelenyau3144
3 жыл бұрын
Msaada plz dalili zote ninazo hasa hasira nisizoweza kuzicontrol siitaman hiii hali nisaidieni jaman
@Madam255
2 жыл бұрын
Mimi najiona hapo No 2
@lindajoyce5666
4 ай бұрын
Hi.mimi naumwa nakichwa sana
@khamisjaffar2094
Жыл бұрын
kuna dawa Gani ya kuondoa ili tatizo !?
@KhadijaHamis-ro3uo
10 ай бұрын
Mimi naona nina ilo tatizo utanisaidiaje dokta
@matridamahundi2090
Жыл бұрын
Mm Nina mawazo mengi adi nawaza nachoka natamani ata nilie sijui nifanyaje apo kila point imenigusa 😢😢duh tena kichwa kinaniuma upande wa kulia kila siku
@SizzoSela29-sh8nz
7 ай бұрын
Natamani kupata namba yako
@hasanihamisi555
3 жыл бұрын
Joel nakukubal
@nelsonkalembe6640
3 жыл бұрын
Asante sana Joel mungu akubariki somo hili umenitoa mbali kila nikiangalia video zako zinanifanya nakuwa naujuzi
@emilianapunda5117
2 жыл бұрын
Pole na majukumu unafanya kazi zuri nimetoka kusikiliza video Sasa hivi kweli nimegundua Nina stree kweli naitaji msaada haswaaa
@hashimumchalo7613
7 ай бұрын
Namba zako napata wapi
@hussenabdi3775
Жыл бұрын
Mimi niko na hali hiyo 😢
@SalumPius-xw4dr
Жыл бұрын
Mh mie dalili zote hizo ninazo
@Anjellyloveness
11 ай бұрын
Duuh na kupungua pia ni moja ya stress et
@kobelochamanga9757
3 жыл бұрын
Namba tano apo
@omanjalan582
Жыл бұрын
Mi stres yangu nkukosa uzngingiz
@suleimannjama6308
10 ай бұрын
Nisaidie namba yako kaka
@joyceemmanuel6217
2 жыл бұрын
Kaka Joe STRESS Vs PSYCHOLOGICAL TROMA inakujae hiyo
@saumuseif9189
3 жыл бұрын
Mimi nnatatizo lakusahau
@Furaha-Dokela
7 ай бұрын
Mimi zote hizo
@barakamwaka561
Жыл бұрын
Mimi ninakabili Hali hiyo
@joselyneninkunda8702
2 жыл бұрын
Dalil zote niko nazo.sijui nitapona vipi maana anae ni fanya niw na stress hata nikiongea nae vip hana mpango wa kubadilika nifanyeje kaka?
@suzanaagustinookelo4953
3 жыл бұрын
Me nakosaa usingizi usiku
@suzanshayo81
3 жыл бұрын
Nina dalili hiyo ya kukosa usingizi jmn Naweza nkakesha hata usiku kucha Au hata nkilala sina usingiz wa mda mrefu
Пікірлер: 114