"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@kekiplus1andonly
4 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏tanzania yetu...Mungu endelea kutufanyia wepesu,kutubariki na kutuimarisha katika maendeleo
@zefamange7281
4 жыл бұрын
KWELI MAGUFULI ANATISHA AISEE
@jackyroy2985
4 жыл бұрын
Hapa kazi tu
@mcsailas8328
4 жыл бұрын
Siasa mbaya sana ,wakufanya ni serikali kwa kushirikiana na viongozi hisika maana walipa kodi ni wananchi msitupiane mpira kwenye maisha ya watu
@mcshondelive
4 жыл бұрын
boti zielee kwa maji gani 😀 dah labda wasitupe taka
@zulekhaally3524
4 жыл бұрын
Ni ukweli huo anaesema anagombanisha hajielewi👇
@athumanidaudi1115
4 жыл бұрын
Hapo sw lazima wanyookeee
@ambrosdavid4484
4 жыл бұрын
Naona kodi za wananci zinfanya kazi,
@isayaezekiel2867
3 жыл бұрын
Hyu anafaa kuwa mkuu was mkoa wa dar es salaam
@victorjames3730
4 жыл бұрын
Jukumu mama na serikali
@michaelsiweya6500
4 жыл бұрын
Kaka Makonda. Jangwani kaka.. Hautuelezi mipango ikoje.. Huu ni mwezi wa July msimu wa mvua hauko mbali sana... Umetuambia kuwa uncle Magu amekupa mzigo mnene wa mapesa... Bora ungezigawa hata nusu zikajenge jangwani.. Mafuriko yanapomwagika jangwani tunakuwa hatuna hamu na Dar... Hilo halitakiwi kupoteza muda.. Lazima litazamwe kwa jicho la wepesi
@elisante6838
4 жыл бұрын
Tanzania bila wapinzani akuna maendelea namjuwe nisis wananchi ndotunajenga kwa kodi zetu syo CCM kwaiyo acheni kuwaponda wezio mkikaa wenyewe bungeni mtanyooxheana kidole au mtaficha maovu
@hamisimussa2228
4 жыл бұрын
Wapinxani wetuchelewesha sana maana kila kitu ni kupinga sasa wao wanapinga maendeleo tunayaona .unasemaje bila wao hkuna maendeleo
@shedadiabdul6585
4 жыл бұрын
Wapinzani wenyewe Wanakimbia bungeni Wanazira?
@frankd1156
4 жыл бұрын
mtoto ujenzi design mbaya maji yametwama...mbu kila kona
@husseinjuma8127
4 жыл бұрын
Mirad ayo mambo mangene sio ya kutuonesha huomto wameukosea sana kinachofanyika hapo ni kupiga pesa tu mto wenye ukorofi kama huo auwezi kujengwa kizahifu sana tutegeemee mafuliko makubwa sana tena
@ahmadjuma3816
4 жыл бұрын
Saiv munawambia mengine sio matatizo yao ni tabia ya mto muda mwengine mto hufuata nyumba sasa subiri kipindi hichi kipite utaambiwa umejengwa kwenye njia ya maji yaani tabu tuu na hii sio kampeni kweli na muda bado
@elisante6838
4 жыл бұрын
Jpm alishasema maendeleo ayana chama, sas inakuaje wewe uanze kusema ccm wakati nisisi wananchi ndotunapigika kuleta maendeleo kila m2 analipa kodi akuna cha ccm au chadema
@luluamri370
4 жыл бұрын
Ata trump anasema Republican..ndicho chama ambacho kipo madarakani
@hamisimussa2228
4 жыл бұрын
Sasa unataka aseme chama gani hta cdm wakiwa madarakani watasemea ccm
@dennisstafford450
4 жыл бұрын
Nani kama Jpm
@abdulseif4093
4 жыл бұрын
taarabu kibao
@mudhihirumikidadi6066
4 жыл бұрын
Viongozi wamyakayote ni ccm ndiowanaotawala myakayote tokea uhuru wataripuka ccm
@hpp3729
4 жыл бұрын
Acha kuchonganisha raia
@mateomasana9145
4 жыл бұрын
Kwani kampain zishaanza?
@thebossman4875
4 жыл бұрын
Is this the Coco Beach redevelopment?
@blandinamnyinga8318
4 жыл бұрын
No,this river ends at surrender bridge.
@thebossman4875
4 жыл бұрын
@@blandinamnyinga8318 thank you sir!!
@blandinamnyinga8318
4 жыл бұрын
@@thebossman4875 your welcome but I am female(Madame)
Пікірлер: 34