Nimeipenda iyo teacher nimekuelewa me mwanafunz wa umeme mwaka 1 unapatikana pande zp
@darasalaumeme7421
Жыл бұрын
Dar es salaam
@jumakidunda78
2 ай бұрын
Hii ndo maana ya kutumia mitandao vzr
@darasalaumeme7421
27 күн бұрын
@@barakazegezege8016 Niko dsm
@mondtd3854
3 жыл бұрын
Nashukulu sanaa umeniongeza kitu kwenye ufundi wangu , mungu akubaliki
@ushangabakari5801
3 жыл бұрын
Sasafundi hiyo looping uliyoifanya hapo kwenye mcb siitakuwa umechanganya saply moja kwenye socket na taa kwanini usingeweka kila mcb na waya wake 1.5 na 2.5 na mcb yake
@HelbethMlelwa
2 ай бұрын
Haichanganyi hiyo, hizo mcb ni kama switch
@barakazegezege8016
Жыл бұрын
Nashukulu unanipa vitu ambavyo cijafundishwa bado asante Sana Mungu akuzidishie ufundi Zaid
@emanueltheboss6598
2 жыл бұрын
Na jee kufunga wire wa 2.5mm kweny taa na kweny socket hii ni nzuri kwel
@engineertarimo7345
2 жыл бұрын
Una nia nzuri ya kufundisha, lkn huna lugha ya kiufundi, na hata cable arrangement sii nzuri
@callmenick8552
2 жыл бұрын
Asanti kwa hayo...from Kenya ..
@ignassululu7663
Жыл бұрын
Hapo kwenye matumizi ya taa umesema zinatakiwa ziwe taa nane ambazo zinaukubwa wa watt ngapi? Yaani kila taa iwe na watt ngapi?
@medykado
3 жыл бұрын
Kwamaana hiyo sasa connection za switch socket kwny junction box yake na za switch za taa j.b yake au
@khalfannguja9530
3 жыл бұрын
Umeme unaingia juu sio chini mwalimu
@salmaabeid8161
8 ай бұрын
Kwa hio hapo kwenye mcb ya ampere 10 inabid iingie wire ya 1.5 kwa sbb connection yake huko juu Ni kwa ajili ya taa si ndio??
@mussayahya9676
Жыл бұрын
Main switch ipi ni bora kuliko nyingine kati ya Tronic na Havells?
@jumakidunda78
2 ай бұрын
Swali zuri sana
@brooeddy8965
2 жыл бұрын
Mwalimu hapo waya unao ingia kwenye circuit breaker unakuwa na 10mm²,16mm²,n.k. je mwalimu hapo kwenye out let juu ya circuit breaker hizo waya za kusupply kwenye MBC zinakuwa na mm² ngapi.?
@ahmadifakii2727
3 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu unayotupatia👍👍 Nina swali mfano taa zikiwa chini ya 8 Soket zikiwa chini ya hizo 6 Kuna mazara yoyote na hizo taa8 ziwe Watts ngapi kila moja?.
@alsamali6964
3 жыл бұрын
Kila MCB inachukua taa ngapi au socket ngapi ? Msaada plz
@ahmadifakii2727
3 жыл бұрын
Kingine ambacho nimekiona ni changa moto kwangu hii Mfano MCB 20 ilinijue inabeba mzigo kiasi fulani natumia kanuni gani?
@user-dv3fi3tg7h
8 ай бұрын
Asante sana engineer kwa darasa zuri nililolipata toka kwako Swali langu ni kwamba mbona main switch yako haina isoleter
@kelvinchifuka6628
Жыл бұрын
Mungu akubariki
@dishonraphael111
2 жыл бұрын
Safi kabisaaa mwalimu mtema
@machejostudiosmramba5365
27 күн бұрын
Asantee kiongozi
@TumainiKyomo
3 ай бұрын
Asante teacher kwa maelekezo
@user-jq7yn7ug2f
6 ай бұрын
Yes
@EnthusiasticAtv-gn6pb
7 ай бұрын
Teacher mbona cct breaker umeigeuza by songoro jackson
@kevinnyasinga942
2 жыл бұрын
Ni aina vanilla za waya unatumia kwa main switch
@francismasha7286
Жыл бұрын
Asante mwalimu umenisaidia nitakuhitaji
@husseinmkwizu7549
2 жыл бұрын
nimekuelewa sana mwalimu
@barakagwau8636
2 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri lakini nilikua napenda kujua namna ya kufunga earth wire kwenye main switch
@innocentdavid9810
2 жыл бұрын
Shukrani mkuu nimeelewa sana somo
@user-pq8ph7fw4u
8 ай бұрын
Hayo ndio mambo ya kuelekezana kaka
@mbarakakhamis2180
26 күн бұрын
Main switch yangu haina socket breaker naweza kutumia isoleter peke yake?
@salmaabeid8161
8 ай бұрын
Kwa hio hapo kwenye mcb ya ampere 10 inabid iingie wire ya 1.5 kwa sbb connection yake huko juu Ni kwa ajili ya taa si ndio??
@goodluckjohnpaul1518
3 жыл бұрын
Safi braza shukrani san
@chaulafundiumeme7621
3 жыл бұрын
Mkuu mbona hiyo Circuit breaker umeigeuza
@stanslausmisana6938
2 жыл бұрын
Asante saaana kwa somo zuri. Nimeelewa vzr kabisa. Sasa kwa maana hyo taa zinatakiwa na mcb yake na switch socket na mcb yake yaani kila njia iwe na junction box yake au? Je huwezi kufunga taa kwenye mcb ya 20 au? Mfano mcb ya 10 taa nane je mcb ya 20 huwezi kuweka taa 16?
@luqmanabubakar6097
6 ай бұрын
Mwalimuu! Kwanini umetumia SP na hukutumia DP hapo kwa Circuit Breaker?
@essaumbewa1822
Жыл бұрын
Ahsante mwalimu Apo nimekupata
@hashimmahmoud4336
2 жыл бұрын
Asante nimeelewa ila nauliza ikiwa kwenye nyumba taa zinapwesa pwesa huwa ni tatizo gani
@omardogo3029
3 жыл бұрын
Mwalimu mi naomba kujuwa waya unaotoka kwenye mita hadi menswich please
@victormayobo3571
7 ай бұрын
good training lakini bainisha kama ni 3 phase or singly watching from Nairobi Kenya.
@zackypapla5511
3 жыл бұрын
Nice fundi
@user-hn7dv1zm7w
Жыл бұрын
Ahsante cn mwalimu nimepata kuelewa
@piusThomas-w9x
Жыл бұрын
Mwalimu ukiunga iyo N na 2 zinazotoa umeme kweny meter juu au chini ya sakit breaker uku kweny mcb haugeuzi kitu
@sadiiqsulle3715
Жыл бұрын
Asante Ila apo unaweza ukaongeza mcb nyinine ya 40 ampere
@AquelinaMayai
2 ай бұрын
mbona hamna cable za earth
@paulodesmoni6226
3 жыл бұрын
Kuna zile main switch ambazo huwa zinakuwa na kibati ambacho mcb zote hushikishwa pale je live itafungwa kwenye hicho kibati?
@chrisjay1337
3 жыл бұрын
Mcb itafungwa kwa moja ambayo italinl zote
@mrmeshack
Жыл бұрын
safi sana kaka natamani ningelikuwa karibu nawewe ili niwe fundi maridadi kama wewe.
@justinjq7144
2 жыл бұрын
Poooool kabisa ni uwongo mtupu, kazi chafu
@noelymahenge2774
8 ай бұрын
😂
@GodfreyMponda-rh9mo
Жыл бұрын
Mbona isolater aipo?
@GodfreyMponda-rh9mo
Жыл бұрын
Huusiano/Kazi ya circuit breaker na isolater ni nini?
@JobRutto
7 ай бұрын
Asante mwalimu
@lightinescharles5200
2 жыл бұрын
Som zuri fundi nimelipend nimeelew vzr
@djyunsijin4097
3 жыл бұрын
Brother wengi wetu pia tunaomba kujua jinsi ya kuchora ramni za wiring kabla ya kupeleka tanesco
@fadhiliemmanueli.147
2 жыл бұрын
@@darasalaumeme7421 nambazko please
@changarawemichael5556
9 ай бұрын
Asante saaana mwalim
@BarakaDionice
8 күн бұрын
Darasa zuri sanaaa
@gilbertcfc2959
3 жыл бұрын
kupitia hiyo namba uliyoweka hapo juu, naweza kukufuata whatsapp kwa maswali binafsi?
@mwanatz5980
2 жыл бұрын
Asante Mwalimu.
@scbrothersshadracknacosmas7964
3 ай бұрын
Good🎉
@HabakkukMbisse-zu1tp
10 ай бұрын
Asante nieelewa sanaa
@AbdullahMichael-m6t
22 күн бұрын
Kiongozo earth inafungwa hapo mbona sijaona ukifunga?
@alsamali6964
3 жыл бұрын
Waya wa taa 1.5mm Waya wa taa 2.5mm Je waya unaotoa umeme nje kuingiza kwenye main switch una saizi gani ? Na naomba kujua size za waya zote zilizomo kwenye main switch
@djyunsijin4097
3 жыл бұрын
Ata mm nilikuwa nataka kujua
@mondtd3854
3 жыл бұрын
Waya unaoleta umeme ni 4ml
@alsamali6964
3 жыл бұрын
@@mondtd3854 ml au mm² Then why 4
@mhamed2402
2 жыл бұрын
@@mondtd3854 sio 4ml ni 6ml
@michaelmnyeke9564
2 жыл бұрын
6mm
@JuliasJofu
5 ай бұрын
mm nataka kujuwa izo way unazitoaje kwenda kwenye jasheni box nazion zipo moja moja
@puresportstv9893
2 жыл бұрын
Asante sana mwl
@papiasmugabo6685
9 ай бұрын
Nataka nambayako yaws what’s up
@AbdallahAmor-vt7kk
Жыл бұрын
Nashukur mwalim umenifunza kitu leo
@AjuaeShekhe
4 ай бұрын
d͚u͚h͚ b͚r͚o͚o͚ umeua🎉🎉🎉🎉🎉
@fredmaru9495
2 жыл бұрын
👌
@stephenfelix5158
Жыл бұрын
mcb ya c 32 inaweza kutumia sockect ngapi
@user-od7op2ke9d
5 ай бұрын
Naomb utupe uwezo wa way kulingana na uwingi wa vyumba mfano 1,2,3,4,5
@stephenfelix5158
Жыл бұрын
pia mcb ya A16 inatumika kwa taa ngapi au socket ngapi
@EliaKija
3 ай бұрын
Jin's yakuunga circuit breaker na isolater
@mohdhassan3633
Жыл бұрын
Je ukiiweka saketbreka kutoka kulia jeitakua na tatizo
@user-vm7bc9sv7i
10 ай бұрын
mwalimu cjaona waya wa Earth inapofungwa kwenye main switch
@mussaalawi3490
3 жыл бұрын
Je waya ambaz znatoka kweny MCB ata kama znaenda kwenye taa je znatakiwa ziwe saiz gan?
@dicksonmisana8259
2 жыл бұрын
Kwenye taa 1.5 Kwenye socket switch 2.5
@aslamkhalilu6087
Жыл бұрын
Nawezaj kukupat kupat mafunz mengin tich ila naxhkur maan nime gain knowledge
@yeokambarage95
3 жыл бұрын
Teacher sorry naomba kuuliza waya wa eth unatoka kwenye mita ?
@yeokambarage95
3 жыл бұрын
@@darasalaumeme7421 OK shkran sana Mkuu
@aminimwazani9483
Жыл бұрын
Mwalimu mfano hiyo earth ukutaka kuieka pia unaieka kuanzia huko nje kwa meta box ama unaiunga hapo hapo ndani
@FabianHamis
5 ай бұрын
Engineer sijaona idolater hapo kwenye main switch je?hiyo haiwezi kuathiri mfumo mzima wa kiumeme?
@BenedictoNdaheze-lt5dd
Жыл бұрын
Sasa mbona main switch haipo Mimi navyojua waya ukitika kwenye socket breaker unaenda kwenye main switch hapo haipo mwalimu
@africanuchebe8989
2 жыл бұрын
Asante ila apo kwa neutral apo cjaelewa inapelekaje umeme na kuwasha taaa
@CharlesMalonga-zf7qd
3 ай бұрын
Thafadali nifunze quotation
@WilfredNyangwara-g8b
Ай бұрын
Hii namba haifanyi kwa what's up napenda kuzungumza nawe tafadhali
@darasalaumeme7421
Ай бұрын
@@WilfredNyangwara-g8b ipo au nitafute 0717159010
@leudkihanza898
2 жыл бұрын
Asante mwalim mtema
@jumakidunda78
2 ай бұрын
Dah! Madini adhimu alafu mwamba wala hana kinyongo anaytema tu
@David-ko6vt
Жыл бұрын
Sawa nimekulewa mwalim Sasa samahani nahitaji unisadie juuu ya waya hizo zilizo Toka kwenye meter Kuna live na neutral ambazo umesema tuna funga popote ukitaka Sasa kufunga unafunga upande mmoja to kama ni live ni live Kam ni neutral ni neutral
@MatronaDeogratius
5 ай бұрын
Ethi way inayotoka arithini inachanganywa na waya gani
@mussaalawi3490
3 жыл бұрын
Safi
@ibnmambotv5586
2 жыл бұрын
Samahani, mwalimu hiyo Amph16, inatumika katika nini? Pia kwenye Nyumba zetu zakupanga huwa waya mmoja wameunga taa na sakati hii inakuwaje? Mwalimu naomba ufafanuzi
@tikilodauresi8290
3 жыл бұрын
kama wiring ni ya chumba kimoja na umeconnet mfumo mmoja yaani taa na socket je MCB ya 20A inafaa?
@tikilodauresi8290
3 жыл бұрын
@@darasalaumeme7421 kwa hyo ili isitrip inatakiwa niweke kubwa zaidi ?na je nikiweka kubwa kwenye upande wa taa hapatakua na madhara?
@iamvavatz
8 ай бұрын
Samahani sijaelewa jinsi gani earth imepita
@mtelekaramadhani1582
2 жыл бұрын
Kazi chafu , jaribu kupanga waya vzuri....!!
@marcopendael1896
Жыл бұрын
earth unaanzaje kuunga kiongozi
@StoneMsaku-zb9ym
3 жыл бұрын
pa1 sana mkuu
@fanuelmagesa9326
2 жыл бұрын
kirefu cha MCB Ni nini
@raymondraphaer6172
3 жыл бұрын
Nice nimeelewa
@rizionesegeza9742
3 жыл бұрын
upo sawa xn lakni mbona main switch nyingi hazna msb ya A40 upande wa jiko la umeme au heater
@yeokambarage95
3 жыл бұрын
Msb ya A40 kwel haipo kwan tunatengeneza KTU kulingana na uhitaji wa mutu
@josephjuma140
2 жыл бұрын
mm sijaelewa hiyo waya nyeusi hiyo Nene yiyo yanini
@kajuakitu
2 ай бұрын
Wewe ni Mwalimu
@mariamatanas5088
3 жыл бұрын
Mm cjaelewa juu ya main switch
@omarihamisi4517
Жыл бұрын
Huo waya unaotoka ñje mwalim kweny blacket ni ngpi kwa ngpi unaotoka ñje kuingia kweny main ßwitch
@darasalaumeme7421
Жыл бұрын
10mm
@jmastory1820
2 жыл бұрын
Kwani live ya taa auwez ukaitumia kwe soketi
@chriskanguna7180
3 жыл бұрын
Mwalimu wangu kwaiyo hiyo MCB ya 20A inaweza kufunga switch socket nane?
@dicksonmisana8259
2 жыл бұрын
Nimemuelewa vzr amesema 20A inaweza kufunga socket switch 8 lkn ni bora zaid ukafunga kwa socket switch 6
@abuumagomba3394
2 жыл бұрын
Mwanang switch socket nane utaipa mzigo mzito sana hyo mcb maana duuuh sio poa mwanang
Пікірлер: 158