Hongera sana Mpina ! Nchi hii tunapigwa sana.Mbunge Tabasamu analijua AMEKUUNGA MKONO MPINA ILA AMEKWEPA KUFUKUZWA BUNGENI. Mpina WANANCHI wenye AKILI TUKO NYUMA YAKO. (NCHI HII TUMEPIGWA NA TUNAENDELEA KUPIGWA SANA.) (NDUGAI UKO WAPI???)
@ROBERTMGOGOSI
3 ай бұрын
Tanzania inatuua kwa uchawa Hawa wote wanaosimama kinyume na mpina wote wala siyo kwa akili zao bali ni kwa shinikizo la kutetea matumbo yao na njaa zao binafsi Mpina chukua form ya urais 2025 Nakwambia samia atasubiri sana❤❤❤
@mokeya
2 ай бұрын
Natamani kutukana ila duhhh au bas tu. But mpina tunakuelewa sana na tunakupenda achana na hao manafiki . Mungu atasema nao
@johnmalembo6464
3 ай бұрын
Tabasamu Mwislam unaomba Bashe achongewe sanamu yake nzega..,.....hujui kama hujui..Umemkosea Mola wako....
@Kaka_Rambo
3 ай бұрын
Hili zee akili linazo kwl et limeumia sana😅
@richardmessayi9578
3 ай бұрын
Huo utetezi wa wanyonge umewauliza wananchi ni nani wanaona yupo upande wao kati ya wewe na Mh.Mpina??
@LucianSanga-q8j
2 ай бұрын
RUTO Ali nunu Bunge kupitisha Bili yana Mutokea puani Hivyo chonde chonde ogopeni yasije Wakuta Tuka umia na wengine Tusio na Hatia Muna jua Mpina yupo kwa Masilayi ya Taifazaidi
@haggaikinyau1395
3 ай бұрын
Kichwa cha habari tofauti kabisa na kilichosemwa. Mwandishi ni mjinga sana anatumia jina la Bashiru visivyo
@bockerNyarusahi
3 ай бұрын
Mwandishi kanjanja
@gregoryogweyo4598
2 ай бұрын
ametuchota akili
@yasiniSwedi-qg5oc
3 ай бұрын
Kama kuna mbunge mnafki mbunge mjali njaa yaketu na c njaa ya wtz basi tabasam ni1jawpo
@jdanny497
3 ай бұрын
Hafai kabisa tapeli
@adeltuszakumuha9618
3 ай бұрын
Hovyo sana huyu
@omaryyusuph7877
3 ай бұрын
Kabisa
@edmundphilemon3054
3 ай бұрын
Na jina lake ni lakimchongo tabasam
@jedidahbintidaudi8241
3 ай бұрын
@@edmundphilemon3054 jmni Edmund😅😅
@davidmalogo7100
3 ай бұрын
Watanzania kwahili lampina ndomjue kuwa bunge Huwa ni kandamizi kwa wananchi Yani ndomjue kuwa bunge sio linatetea wananchi ila linakandamiza wananchi hilibunge nila mchongo ,Yani wamekaa kupigatu ,Yani hilibunge nibola tuludi kuongozwa na mchifu sio Hawa mafisadi
@iddrashid7054
3 ай бұрын
Unamaana Sukari isingeingia nchini kwa wakati kati ya Bashe na Mpina nani angelaumiwa kwa uzembe?tuwe fair Mpina kwa hili anatetea wawekezaji na Bashe amesaidia wananchi
@ellymaz2187
3 ай бұрын
Mpina hajashikwa na kosa lolote kuhusu Bashe. Kosa Lake ni kusema na vyombo vya habari tu.
@sophiemsuya6507
3 ай бұрын
Jamani hapo chama kinajitetea. Walio upande wa.wananchi wataendelea kueleweka. Mungu atabaki kuwa mwamuzi wa haki.
@TimoJoseph-g5b
3 ай бұрын
Mpina tupo na wew huyo tabasamu Mnafiki sana
@barnabasmsamwel4292
3 ай бұрын
👑machifu tupo 😂😂 😊
@shukurukihwelo3084
3 ай бұрын
Mzalendo nimpina 1 hiyo nimiipango ya kumdhofisha , bunge la sasa rinataka mtu awe anasifia wakati wananchi wake harinngum .mpina hakuwenda bungen kumsifia mtu nimkweri daima na mungu amsimamie
@jedidahbintidaudi8241
3 ай бұрын
amina baba
@godwinkileo7702
3 ай бұрын
Sasa kwanini sukari imeletwa kutoka Brazil na inauzwa 3000, hivi mnakumbukuka issue ya Iddi Simba? Alijiuzuru kwasababu ya sukari, wakati Raisi ni Mkapa, Mpina yupo sahihi kabisa
@yasiniSwedi-qg5oc
3 ай бұрын
Hapo bungeni wabunge wazalendo wachache sijui Kama wnafka 5kwasasa mbunge mzalendo no1ni bashilu Ali kakulwa alikuwepo polepole no2wkamuondoa no3mpna no4kunambi
@beatricemhongole8852
3 ай бұрын
Mh. mpina ni mtetezi wa tz
@DealDeskPro
3 ай бұрын
Fanya reseach ya ghasia hii..ukweli uko wazi mbona..Mh. Bashe anajitahidi sana kwenye kilimo..we should say the truth sometimes
@SaidKilango
3 ай бұрын
@@DealDeskProAcha uchawa mzee zungumza na njaa zako mpina anatutetea sisi wanyonge
@juliuswantere6864
3 ай бұрын
La ajabu ni kuwa watu kama Mpina hawatakiwi nchini kwetu!!!!!
@jimmysameji3602
3 ай бұрын
@@DealDeskPro bashe alikuwa mchapa kazi enzi mzalendo J P Magufuli.Sasa hivi anarimotiwa na vibaka we nchi.
Bunged gani lisiotaka kukosolewa, mpina ni mtetezi wa wanyonge
@KwiniJoel
3 ай бұрын
Kama nyie wabunge mnajifanya watetezi wa wananchi, sukari inapopanda Hadi elfu Tano mlikuwa wapi?????? Kwa nini mnamfukuza MPINA WETU anayeibua hoja zenye mantiki. TUMECHOSHWA NA VITENDO VYA KUWAPA KESI NA ADHABU WANAOTETEA WANANCHI. Sasa bunge lipo KWA AJILI YA NANI?????? IPO SIKU WATANGANYIKA TUTAAMKA .
@KwiniJoel
3 ай бұрын
WATU kama MHESHIMIWA MPINA watakuwa na maana pale tu WATANGANYIKA wakijifunza Kwa KENYA na KUJUA KUWA LINDA watetezi wao. MPINA ANAPASWA KUUNGWA MKONO NA WATANZANIA wote wenye akili timamu.
@Mklindi5624
3 ай бұрын
Sasa hilo Bunge la 2026 kwa akili ya kawaida sana maana halisi ni kwamba Mwaka wa uchaguzi kwa mujibu wa katiba ya Nchi yetu ni mwaka 2025,Je ?anawezaje kusimamishwa vikao ambavyo hatuna uhakika kama atachaguliwa kwa mara nyingine tena.Kwangu naona swali hili ni matumizi mabaya ya muda na akili. Nchi yetu kwa mujibu wa Katiba yetu ni Nchi ya Kijamaa,Nenda kasome katiba yetu.
@victorkisenha5933
3 ай бұрын
Bunge hili wapo wawili tu, GAJIMA NA MPINA, WENGINE WOTE, SIJUI WAPO WANAMWAKILISHA NANI, WANALINDA MAWAZIR WANAO VUNJA SHERIA? SASA NI KATIBA MPYA TU,WATANGANYIKA TUPAMBANENI KWA HILO,
@florencemeza6540
3 ай бұрын
Tabasamu we vipi wabunge wa kanda ya ziwa WANAFIKI SAAANA mwenzenu anatetea wananchi ninyi mnatetea matumbo yenu?? MPINA OYEEEEEEEEEEE
@henrynjovu9147
2 ай бұрын
Huyu Mbunge ni Bogus. Kama hajui maana ya Vikao 15 mwaka wa 4 Bungeni for sure hawezi elewa hoja ya Mpina. Huyu ni Chawa, Mchumia Tumbo.
@GavyoleJonas
3 ай бұрын
Tatizo hawakuchaguliwa na wananchi mh.magu alichagua wengi wao mbumbumbu ili wakubali kila kitu kusudi mipango yake ifanikiwe,sasa ametuachia mizigo kweli kweli,kazi makofi,kusifia ujinga,na kutengeneza chuki kwa wasema kweli.kama huyu tabasamu angekuwa mbuge wangu ningemgoja siku aje kufanya mkutano nimhoji vizuri.sijui elimu yake kiwango gani?au ndio wale wenye alimu zisizo na akili!
@AthanaseKiyoja
3 ай бұрын
Wabunge koko na spika wa mchongo,hamuwezi kumchafua Mpina na kisha mkamimi ika kumlinda na kusifia huyo Musomali wenu mlaghai..Tunajua wabunge wengi mnajikomba kwa mawaziri ilimpewe shukrani kwa njia ya bahasha.mtukome. nyie na njaa zenu.
@halimamwingu4478
3 ай бұрын
Dume zima linajikosha kwa Tulia Ackson! Eti “mi nimeumia sn kutukanwa spika” 😂😂😂😂
@zabronmwaipungu2212
3 ай бұрын
Haya majitu ni majinga tu. Anacho kisema mpina baada ya kutolewa bungeni yuko sahihi kabisa, kama vile wachangiaji walipangwa vile!
@MkJj-m7g
3 ай бұрын
Kama viwanda kutimiza wajibu, serikali imechukua hatua gani dhidi ya uonhozi wa viwanda hivyo? Nani asiyejua karibu asilimia 80 yenu ninyi wabunge na mawaziri ni wafanyabiashara? Ishu iliyo hapo ni kwamba mmelindana, basi!
@Mima-cl2im
2 ай бұрын
Amewakandamizaje wanyonge? Wabunge wengi hamuelewi. Mpina hajageuka ni kutomuelewa. Mpina amezungumuzia kuhusu wasiokuwa na hadhi na uwezo wanapewa tenda, na waziri Bashe. Munatetea uwongo na kujipendekeza. Hakuna mutetezi wa haki za watanzania kama Mpina
@securityatkizikula
2 ай бұрын
Una mchango wa hovyo Sana, tena wewe na kundi lako ndio wasaliti wa wananchi. KURA ZOTE KWA MPINA
@RobertKaaya-e6b
3 ай бұрын
Mpina is the real patrote.Most these wapiga makofi na meza are thieves and fortune seekers.Had it not been mwalimu to provide the real free education wangekuwa wanachoma mkaa porini na wengine wengekuwa waganga.
@tumainiellyimo4657
2 ай бұрын
Huyu mbunge anayetaka Mpina apewe adhabu kubwa zaidi na anajiita mzalendo..Nadhani wapiga kura wake wanamwona na sisi tunawatathimini,na ashauriwe kuwa hata TZ Gen Z wanaweza jutokea na yakatokea kama yaliyotokea bunge la Kenya.
@tumainiellyimo4657
2 ай бұрын
Mpina wananchi wanakiangalia,ukiomba radhi basi tutaona hyo radhi unayoomba ni ipi. Mpina hakukataa kuagizwa sukari bali ni utaratibu uliyotumikq kwenye utoaji wa tenda hyo
@Mjeda-q1m
3 ай бұрын
Hata mumseme vp mheshimiwa mpina anakubalika kuliko hata huyo spika awewe mheshimiwa tabasamu huwezi kimfikia mpina hata robo sisi wstanzania tunamuelewa mheshimiwa mpina anayo elimu ya kutosha pia ni mzalendo wa kweli pia sio mnafiki anayejipendekeza kama ndio maana cc wstanzania tunawashangaa mnavyojitekenya na kucheka wenyewe
@IsackMkalimoto
2 ай бұрын
Kazungumza fact wazalendo wachache sana .ilimuuma sana mpina kutolewa nje na alizani kwa kipindi kirefu.kumbe ni kipindi kifupi.n a ilimuuma sana tulia akson kutukanwa
@IsackMkalimoto
2 ай бұрын
Kazungumza fact wazalendo wachache sana .ilimuuma sana mpina kutolewa nje na alizani kwa kipindi kirefu.kumbe ni kipindi kifupi.n a ilimuuma sana tulia akson kutukanwa
Huyu mbunge ni mpuuzi kweli yaani vikao 15 ni vichache kwa kosa lipi Sasa, hivi mnacho jadili ni nini hicho? yaani mwizi anaitwa shujaa hii ni aibu kwa nchi na hili bunge, cc wananchi tunaamini Bashe ni mwizi na fisadi kama mafisadi wengine
@OscarBethel
2 ай бұрын
Hivi wewe Tabasamu akili uzoo au unataka kutufanya watanganyika ni hatuna akili wewe huna utetezi wote Kwa watanganyika wewe ni chawa niadui ya wananchi mpina ndio mzalendo peke pale bungeni
@tanzanitetv
3 ай бұрын
Huyu naye ni Mbunge ,Magufuli alikosea baadhi ya maeneo
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
3 ай бұрын
WABUNGE WETU NILICHO WAKUBALI SIJUI MLIKAA CHEMBA MKAKONYEZANA KUA ACHA TUDILI NA MAISHA YETU MAANA HATUTA LUDI TENA TUKOLOGE KISAWASAWA ILI TUSIPO LUD IWE KWELI TUMEKOLOGA NASISI TUNASEMA HAMUCHELEWI KUSAHAU MUTAKUJA MUJE?
@InnocentJohn-l5y
3 ай бұрын
Malizeni muhula wenu mlichaguliwa na magufuli hamkuchaguliwa nawananchi ndomaana mnateteana sana kulinda chama na serikali ya ccm tu hamna jipya nyie bunge limekosa mvuto
@hassaniulende-sp6io
3 ай бұрын
SASA HUYU TABUSAMU KAONGEA NINI HAPO ? HIVI WENZANGU MMEMUELEWA? YANI KAONGEA UKINGA MTUPU, YANI ILIMRADI WAKUONE UNAONGEA , AAA NI KWELI NCHI HII WAZALENDO NI WACHACHE WAJINGA NI WENGI ,
@MarkoWMichael
3 ай бұрын
Wabunge wa Tanzania nyie ni wanafika sanaa mnajifanya mnapendana lakin mwenzenu akiwa kwenye shida yaan mnamshambulia atari niliona kwa Gwajima kipindi cha korona niliona kwa Ndugai duh sijui tuwaiteje
@paulnsabi3779
3 ай бұрын
kumbukeni waamuzi wakubwa ni wananchi bidhaa zote ni juu hamna mwenye uthubutu wa utetezi kwa madhira ya wananchi uchumi,bei za mazao chini havina uwiano na maisha kuanzia afya,nk hongera rip JPM katiba maamuzi ni 2024,2025 wananchi tuweke uthubutu kwa watenda haki serikalini.mungu ibariki tz
@geofreympemba7831
2 ай бұрын
Sanamu la Jambazi. Hivyo viwanda vimewakwepa. Mpina ni Shujaa wee tabasamu kwendraaa huko na njaa zako
@donaldbenedict5761
2 ай бұрын
Tabasamu wewe ni mnafiki wewe sio mtetezi wa wananchi kama kweli wewe ni mtetezi wa wanyonge mbona husemi sukari ishuke bei mungu mwenyezi atamuinua mpina na nyie wanafiki mnaowatesa wenye nchi hii siku zenu zinahesabika
@mkondomkondo4721
3 ай бұрын
Huyu mbunge mpumbavu ajitambui,mpiga debe huyu hilo jimbo analotoka mko na mwakilishi mzigo
@omariSaliboko
3 ай бұрын
Jadilini matumizi ya mipaka mwongozo wa upatikanaji wa sukar hapo mbona hamsemi mnaenda kwenye kuongea na wandishi
@tumainiellyimo4657
2 ай бұрын
Mbunge sijajuwa kama nafahamu sifa za nchi za kijamaa na ni ibara ipi imetamka hilo.Mwache Moina awe mzslendo
@Magilebasu
3 ай бұрын
Tukutane 2025 tabasam, msukuma na bashe naamin watakuwa wabunge wote walio mkosoa mpina wote wataondoka wananchi tunahasira nao tena sana tu
@LushugembeMboje
3 ай бұрын
Ww ni jitu kubwa lakini hovyo kweli unamuuza hivyo mpina wewe hata wa nchi wa sengelema kama watakuchagua tena hawatakuwa na hakili.
@HusenNdwata-yb6nw
3 ай бұрын
Ccm inawabunge wajinga san mwaka kesho sengerema utapasikia kweny redio zee jinga San hili
@abdukhalnyerere8993
3 ай бұрын
Wakuchongewa sanamu kila mkoa ni mpina na sio mwingine anagusa maisha ya watu wanyonge naona magufuri bado yupo kwa mpina binafsi mimi nasimama na mpina
@marandoruzali1946
3 ай бұрын
Ww ndiyo adui wa wanyonge hujajibu hoja za Mpina unafurahisha bunge huku tz balaa tuna viongozi waoga sana ni wachache tu wa maana kama Mwalimu Nyerere, Magufuli, Mpina, Makonda,Bashiru,Sokoine,Ndugai,Anna Makinda,Tibaijuka,Sabaya,Hapi,Siro, wengine ni wahuni tu machawa na mafisadi wakubwa
@ramadhaningulinga217
2 ай бұрын
Acha unafiki ww mzee ww umechangia nn kama mbunge kazi kusema watu tuu ukweli usemwe achani kupiga makofi tuuu
@LushugembeMboje
3 ай бұрын
Ujikombe nini ww tabasamu kwa sipika? Jitukubwa hovyooooooo.
@OmarMohamed-bs2hf
3 ай бұрын
Kwanini hamja msikiliza mpina mkampa siku kumi na tano huu ni unyanya saji
@zakariasengo8930
2 ай бұрын
Aya masenge yanageuza narrative ionekane mpina anatetea majambaz wakat wao ndio majambaz
@stephenwakunyala4004
3 ай бұрын
Bunge la ndiyo Mzee linatutesa Watanzania,
@selemsigala4771
Ай бұрын
Mwili mkubwa kichwani hewa Mpina ndio Mzalendo alie bakia tutasimamanae
@GeofreySenka
2 ай бұрын
Nao watu wa jimboni kwake wanasema wana mbunge puuzi kabisa nae spika ameliachia muda
@George-jz3jg
3 ай бұрын
Kanuni zenyewe hizo ni za kijinga tu ni kanuni za bunge kuitetea serikali inapoiba
@AmosKachatiro
3 ай бұрын
Sisi yetu macho ,lia msidhani sisi ni wajinga kwa kuwa hatuinggii bungeni
@Jeremiatitomawala
3 ай бұрын
Mpina yuko sawa ss tunamuelewa jmn wabunge msitufanye ni mambumbu ss
@abdukhalnyerere8993
3 ай бұрын
Katukanwa na nani wewe au unazani sisi hatufatilii kinachoendelea huko
@PeterMaonga
3 ай бұрын
Mpina sio kubwa la maadui maadui wamebaki ndani mtetezi yuko nje
@JamaliAmour-jp9dd
3 ай бұрын
Huyu muheshimiwa tabasam hoja zake ni upotezaji wa mda tu
@monicamwita7865
3 ай бұрын
Mjinga toot. Njaa tu Jana lolote.
@HaulSidney
3 ай бұрын
Huyu tabasam kumbe na yeye ni walewale tu, kapewa asali anamsaliti mpina,
@HamzaHeri
3 ай бұрын
SASA KAMA HUYO BASHIRI NI MSHENZI WAKATI WAO WALIJIONA MUNGU WATU
Umesema kweli kabisa. Nani myonge! MAGU alituaminisha kuwa sisi ni matajiri tutembee vifua mbele.
@NdageKitahama
3 ай бұрын
Huyu tabasamu hafai Tena kuwa mbunge anatetea ufisadi uliotajwa na mpina anampamba bashe kwa lipi? Mpaka Sasa sukari Bado ipo juu Hana hata aibu kwamaneno yake ya upambe twambie sukari kilo bei gani?au unatuona cc wananchi ni wajinga sukari Bado ipo juu alafu unasimama bungeni unaongopea wananchi mpina yupo sahihi tupo pamoja nae wananchi
@KwiniJoel
3 ай бұрын
Asante sana Kwa swali zuri laiti tungekutana ningekuzawadia. SWALI zuri sana. Hawa CCM Kila siku wanawaita WATANZANIA ni wanyonge, nani aliyewanyonga???? .Anayetunyonga kwenye sukari siyo CCM???? Anayetunyonga kwenye bandari siyo CCM??? Anayetunyonga kwenye madini siyo CCM??? Anayewafanya NGORONGORO wanyonge siyo CCM????? Gaesi nayo je nani anatupandishia?????? Umeme tulikuwa tunaingiza Kwa sh. 28000/= na kaipandisha Hadi laki 300000???? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nicodemuswidambe5132
2 ай бұрын
Hakuna watu Wanafiki na waongo kama wanasiasa. Angalia hizo taarifa!!
@selemsigala4771
2 ай бұрын
Mzalendo ni mpina pekeake wewe ni njaa na nibendera kichwamaji.
@SurprisedFullMoon-gg9vu
3 ай бұрын
Yaaan nchi hii,"ukitetea tu wananchi lazima ubambikiziwe tuhumaaa
@jedidahbintidaudi8241
3 ай бұрын
yaani nimeligunuda hulo pia..kazi kwel
@johnmalale3860
2 ай бұрын
Wananchi wakichoka na huu upuuuz wenu,' mstafute mchawi
@kamalabuberwa2001
3 ай бұрын
Mpina yupo sahihi, tabasamu nyie ndo maadui wa wanyonge
@victorphilipo
3 ай бұрын
Mimi sija mwereway tabasamu kwa maana Yuko upande upi
@GeofreySenka
2 ай бұрын
Huyu hamisi tabasamu hana hoja za msingi amejaa ushabiki tu
@Aziz-p6s
3 ай бұрын
Nadhani wananchi mnaona aina ya wabunge mlionao sasa 2025
@PartySekemi
3 ай бұрын
Mtetezi mpina shikamoo wewe tabasamu ndio chawa
@yasiniSwedi-qg5oc
7 күн бұрын
Kichwa kikubwa ubongowako wa panzi
@mabondolawrence1812
2 ай бұрын
Ujinga ni pale unapoamini Mpina hayupo upande wa haki!
@sanaanimaisha4072
3 ай бұрын
Huu upuuzi gani? Kwa nini tunabadilika na kugeukana haraka hivi kama jumapili ya pasaka? Malcolm X, Mwl. Nyerere, Dkt. Magufuli na Makonda n.k. walikuwa na wanaendelea kuwa sahihi.
@smallscaleminingsupplies9670
3 ай бұрын
Ila Wabunge Tz ni nchi ya kijamaa tokea lini,
@hamidabarraball3162
3 ай бұрын
Hatumitaki nyie wabunge mjiuzulu, mpo hapo kwa maslahi yenu tu
@phchouseprintmwanza8123
3 ай бұрын
"Nchi ni ya kijamaa Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Serikali ya Tanzania" By Bashiru. Ujamaa upi hasa unaouongelea ndg muheshimiwa? Ujamaa wa wawakilishi wa wanyonge kupitisha Tozo kandamizi? Hivi ukilinganosha maisha yenu ya anasa yanaendana na maisha ya watanzania? Watanzania ni watu wakimya. Wamekubaliana na Hali Ili amani iwepo. Ndio katiba ni ya kijamaa lakini nyinyi wawakilishi mnapaswa kujipima kama huo ujamaa mnao ndani ya mioyo yenu.
@MirajiMbolile
3 ай бұрын
Umeongea poit kubwa , lakini mimi naonaga viongozi wengi wa hapa kwetu , akiwa anaomba kula anakuwa na akili timamu , akipata uongozi , anabadika nakuwa tofauti na alivyokuwa akiomba kuchaguliwa je kwa nini ?
@walidmgonja3644
3 ай бұрын
@@MirajiMbolileunamuuliza nani?
@MirajiMbolile
3 ай бұрын
@@walidmgonja3644 hata wewe unaweza kulijibu tu kama uelewa unao na macho yako yanaona hayo yote
Na kwa hekima na ufahamu wake hawezi kuomba msamaha kwa weledi wake ana mtaji wa wananchi ambao ni wengi kuliko hao wabunge 300 ana wafuasi milioni 59,700,000 wa CCM,Wapinzani na tusio na vyama long live Mpina Mungu husimama na wenye haki si unamwona Lisu risasi 16 mwilini lakini yu hai wewe vikao 15 ni kama upepo tu unapita
@deusNjimba
2 ай бұрын
Sengerema. Hatuna kila kitu wewe. Vipi
@kisinza6077
3 ай бұрын
Mbw.. kabisa una uzarwndo gani? Aiseeee!! Kupeana ulaji Kifisadi unasema wewe ni mzarendo? Sasa hatua gani za kisheria zilichukuliwa baada ya kuona watu 7 wananyanyasa waTz? Aiseee tuna watu wabaya sana hii Nchi. Mungu awanyooshe Kila mtu Kwa nafasi yake.
@JAPHETJOSEPH-b6e
3 ай бұрын
Tabasamu kaongea ila hoja yake mm sijaelewa ,
@ibrahimabdul8257
3 ай бұрын
Hivi huyuu sio ndio mbunge wa Lushoto?
@augustinoevarist6754
3 ай бұрын
Nimeshangaa sana Mbunge kusema hii sio nchi ya Kijamaa.
@Aziz-p6s
3 ай бұрын
Ujamaa tulishautoko toka enzi za mwalimu. Tusijifiche kwenye ujamaa
@Mima-cl2im
3 ай бұрын
Ni kwasababu wabunge wetu wamekuwa mapepari wenye kutetea wawekezaji bila kujali interests za watanzania. Bado tutajionea biashara za waarabu na wahindi ndizo zitatawala Mwafirika atakuwa mtumwa
@emanweljohn1240
3 ай бұрын
Kwetunmpina ni mtetezi tabasamu wewe uelewki
@hamudshabani7801
3 ай бұрын
This is bogus mp, huyu mpuzi tena na tena
@winnesakara6957
3 ай бұрын
Mpina yuko sawa nyie wachimia tumbo
@MusaJuma-jr7wb
2 ай бұрын
Tabasamu hunalolote wewe achana na mpina
@rahimsadru-ct4ot
3 ай бұрын
Shida bunge lina wabunge mbumbumbu weng san
@Mima-cl2im
3 ай бұрын
Mpina ni mutetezi wa wanyonge. Mpina ameongelea Bashe ametowa vibali kinyume cha sheria. Bashe kątowa tenda kwa watu ambao sheria hairusu wawo Kuagiza sukari. . Munampaka Mpina matope kwa kuweka wizi hadharani unaofanyika. Kwa bunge kama hili, Tanzania is doomed
Пікірлер: 411