Tanueni barabara kwanza ndo kwanza mnaongeza mizigo vibarabara ulimi wa nyoka magar yashakuwa mingi mnawachia watu wanajenga kiholela tu njian hamsemi chochote badae muje wavunjia wakat mumewausia nyie
@suleimanbadru819
Жыл бұрын
Mheshimiwa bomoa upande wa kariakoo mpk kwalinatu kwahani jenga maduka soko nyumba nk kituo hicho kitafunction vzr ajira itaongexeka kwakua enjoy hilo ni mradi ulioanxishwa na Dr shein
@rauhiyasaad5384
Жыл бұрын
Mukajenge kituo cha mabasi kijangwani wakati mji unaanza forodhanii, mabasi watu walikuwa wakipanda darajani mkahamisha, leo kijangwa hamuoni huo ni usumbufu kwa sababu nyinyi mnamagari yenu mnasimamisha sehemu yoyote. Wengine wazee anamizingo akapande kijagwani. Au mimi ndio sijaelewa.nieleweshwe yaniingie .
@user-lk1ok5zs9m
11 ай бұрын
Hongera rais wetu
@bekabeka-ww2mn
Жыл бұрын
sawa
@margarethpolepole7438
Жыл бұрын
Nyie wote wanzanzibar ni wanyamwezi usiwaseme vibaya kuwa ushahidi wa kinyamwezi
@abdulhalimhassan7057
8 ай бұрын
Hahaha
@SA-xj8hc
Жыл бұрын
Ujio wa mabasi au kituo cha mabasi? Kasomeni uandishi msiige tu kazi za watu.
@rafaelmarquez9396
Жыл бұрын
Mimi nauliza mji umeanza kijangwani au stand tu pale yatafanya kazi mpaka darajani au ndio uburure mizigo mpaka unapokwenda
@mwanaishaabubakar5013
Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Subiri utaona June July utaburura mizigo mpaka mjino na wagomjwa mpaka MMmoja Hospital. Madalala mabovu na matinga Tanga ya mbao yatafutieni pa kuyapeleka wakubwa wanaleta moradi yao. Tupo na tutafika mwisho
Пікірлер: 12