Naomba sana Lissu akishinda arudishe Kodi ya Kichwa, Ada mashuleni watoto wanasomaje Bure aisee, Ushuru wa Baiskeli, Ushuru wa wafanya Biashara ndogondogo na makusanyo mengi ili serikali ipate fedha nyingi kwaajili ya Ujenzi wa Ofisi za Chama kwenye Wilaya zote Tanzania na Mikoa yote. Tulipe ili tuweze kujenga nchi yetu, #Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Lissu💪
@Ben-kc1om
4 жыл бұрын
Watu wote Hawa wanahudhuria mikutano ya chadema kuona Kama mgombea anafananaje, aliponaje, basi. Ila uraisi chadema hampati.
@kivuyomollel5337
4 жыл бұрын
good good good good good good good good good good good good good.
@evansmlalo4049
4 жыл бұрын
Watanzania fanyeni mabadiliko tuko nyuma yenu tutawalinda. Acheni kutishwa na hawa CCM hawana msaada wowote nchi hii. Wananunua Ndege hazina pa kwenda wanaacha kufufua viwanda vyenye kutoa ajira kwa vijana. Boda boda zikichakaa mtafanya kazi gani sasa ndugu zangu. Kura zenu ni za siri mchagueni mtu atakaebadili nchi. Toka Magufuli aingie madarakani afya za Watanzania wasio wa CCM mbaya sana. CCM wananenepa tu lakini Watanzania wenye kuzalisha na kulipa kodi wanakondeana tu. Wakati CCM wanataka kuongeza ndege CHADEMA fufueni viwanda na kuwajengea Watanzania huduma muhimu.
@farajibaswaten7507
4 жыл бұрын
Hakuna kitu humpati mtu hapo
@ommyd5517
4 жыл бұрын
Kwani hawa waliopo hapa ni panya au
@rukiaiddyyahaya9506
4 жыл бұрын
Umetumwa na bill gates
@bashirmohammedi7524
4 жыл бұрын
Wanakudanganya bado sana hatutaki machafuko
@vicentsanga3046
4 жыл бұрын
Ukweli
@PeterMaurice-y4f
7 ай бұрын
Atakuwa Rais wa kwanza kuondoka "madarakani" Mmmmm! Unabii au??
@BMGOnlineTV
7 ай бұрын
Siasa tu
@googlegoogleac9475
4 жыл бұрын
Pamoja
@johnjuma3345
4 жыл бұрын
Hahaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@johnjuma3345
4 жыл бұрын
E jamani
@zabronkalulu9388
4 жыл бұрын
Wew mwehuuu
@yonamhumba2080
4 жыл бұрын
Mamako
@festochimulimuli8229
4 жыл бұрын
Tazama lussu Akinukisha Leo makambako Leo kzitem.info/news/bejne/rqCYzpycf6yJdWU
Пікірлер: 20