Watu wanakupenda kweliiiii mikono yote juuuuu.ni upendo mkubwa kuwa kazi unafanya unawasaidia wananchi Alllah akuhifadhi na kuzidbkukupa nguvu ya kuwasaidia wanyonge kazi eindeleer Mama Samia suluhu president of TV hongera sana ❤
@NaomiKauzeni-zq9rs
3 ай бұрын
Kazi una fanya makonda maaduwi awakosi wakwamishaji mungu akukumbuke
@janembalinga7074
3 ай бұрын
Hapo katibu haonekan tunamwona makonda bhna hongera sana
@aseelaisaa428
3 ай бұрын
Mashallah Mashallah Alllah akubarikie Makonda
@aminashayo9263
3 ай бұрын
🙋♀🙋♀🙋♀🙋♀🙋♀🙋♀🙋♀🙋♀🙋♀🙋♀🙋♀🙋♀
@santebnassary7411
3 ай бұрын
Angekua mwingine angewaza kupewa cheo kingine cha juu ila yeye anataka kuwatumikia wananchi mpe mkoa mwingine ataunyoosha ili wananchi wapate msaada na hiyo ndo sifa ya kiongozi
@JohnstoneMwamatenge
3 ай бұрын
Huyuu jamaa anafaa sana wamlete ata tunduma
@geofreykayoyo5196
3 ай бұрын
Apo umeongea aje songwe
@jofreyfungo1112
3 ай бұрын
Kweli❤
@aaa64sa13
3 ай бұрын
Makonda ❤❤❤🎉🎉🤜👍
@danielmadale7710
3 ай бұрын
makonda MWANZA kumeoza njoo home urekebishe. mama tuletee makonda mwanza
@exaverysimon1064
3 ай бұрын
KWEL KABISA USIKAE MKOA MMOJA BALI TEMBELEA MIKOA YOTE MAN
@EshaMichael-zw7zi
3 ай бұрын
Nataman uje Mara
@tungarazalaurent2602
3 ай бұрын
Kila mkoa wanakutaka
@exaverysimon1064
3 ай бұрын
❤❤❤
@yonathanbanyikwa1813
3 ай бұрын
Aletwe kigoma, atusaidie kutatua migogoro ya ardhi.
Пікірлер: 18