Aisee hii kitu nilikuwaga najiuliza sana sana kuhusu gharama za ufunguzi wa radio 📻. Sasa nimeelewa naweza anzasha namimi hata ya mkowa mmoja aisee au miwili hivi.❤❤❤❤🙏
@millardayoTZA
Ай бұрын
all the best Joseph !!
@itstwinshi2179
Ай бұрын
@@millardayoTZA Kaka Millard shukrani kwa hii content! naomba utuletee na gharama za kufungua TV station!
@RamadhaniMwenyemvua-oi8ku
Ай бұрын
Ndio maan nasemega milard ayo uko pekeako tz
@buberwarugaiganisa5190
Ай бұрын
Chuma kama Chuma hicho na ni boss wangu siku zote. Muambie Mr.Jackson I do appreciate him always.
@ProDJayOnDecks
Ай бұрын
Nipo nafanya kazi radio jamaa kaongea mambo ya msingi sana...ukisikia radio inasikika hewani ujue kuna pesa imewekwa si ya mawazo na mwenye kituo kakubali yote kupata faida mapema au kurun kwa hasara kwa muda mrefu.. Mfano mdogo tu gharama za umeme sisi mnarani pekee kila siku 1 humalizika units 56 mpaka 64 za Tanesco.. studio units 24 zinatumika siku 1 na nusu.... Na hapa tunasikika mikoa 4 kwa transmitter ya 1KW
@johnmwandu2116
Ай бұрын
Millard umeuliza maswali ya msingi Sana, yaan umeuliza kumwakilisha mtu ambaye hajui kabisa chochote kuhusu radio, hongeraaa
@millardayoTZA
Ай бұрын
asante sana Ndugu yangu Mwandu
@johnmwandu2116
Ай бұрын
@@millardayoTZA 🙏🙏🙏
@milindiibrahim8285
Ай бұрын
mimi ni Ingenier Congo sehemu panaitwa uvira, tumemupandishiya mbunge wa apo na kumukabizi radio yake , ime coast 120.000$ ila ni radio ya kawaida .
@amisamaurid1882
Ай бұрын
Alikiba walikua wanamchukulia poa xana ndomana wengi hawaamini macho Yao mm namuombea Aishi miaka mingi mtaona mengi❤❤❤❤
@mtumeananiasjohachim8760
Ай бұрын
Nani alikuwa anamchukulia poa bro, aje tumsute
@malianonicass7029
Ай бұрын
@@mtumeananiasjohachim8760 😂😂 kwa kweli aje tumsute nani
@savageemperor2569
Ай бұрын
hakuna mtu alikuwa anamchukulia poa msanii ameimba toka zamani
@FettyMsuya-iw8sy
Ай бұрын
Kabisa
@assuatemanuel8785
14 күн бұрын
Uyou amepankua tu, Alikiba ana redio moja tu dar és salam, uweze kumlinganisha na Diamondi Platnumz, acheni ubueke
@arthurmakuluni4433
Ай бұрын
Ni kitu kizuri sana kwakweli brother Millard
@silassaitoti7689
Ай бұрын
Kva 50 kwenye mnara ni uongo ,20kva inatosha kabisa ndio nafungaga kwenye minara 😂😂😂
@allygoodboytzsdoneintanzan3970
Ай бұрын
Kumbe pesa ndogo sana kwenye Hesabu zangu hapa nikiwa na billion 2.5 nafunguwa nchi nzima mm mwakani
@GeorgeAkasha-zx2rj
Ай бұрын
Kaka ukiwa na mill 734 kwa sasa unamiliki radio ya masafa karibu nchi nzima.
@robertkisasa1346
Ай бұрын
Duh kweli Diamond n Kiba wanashahili heshim😂😂😂sio kwa hesabu hizo duh hizo hela zinarudije 500M+
@frankmussa2138
Ай бұрын
Ni zaidi ya b kaka maana bado tv
@magomakabanja480
Ай бұрын
Ningeomba Wasilinganishwe Kati ya Diamond Plz na Alikiba Maana Wote ni Wamba Maana Wote wana Redio na Media Wanazo na Pesa Wanazo na Wanajiweza na Kiba Ataeneza Redio Tanzania Nzima Insha'allah Kila la Kheri Kwa Wasanii Wetyu Pendwa Simba na Mfame
@ybmtaakwamtaaofficial3415
Ай бұрын
Natamani Sana kuwa na radio
@user-ij6eo6pq6z
Ай бұрын
Alikiba msani tajili sana
@Paplick9
Ай бұрын
Diamond is a don 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@its_khalidy_46
Ай бұрын
Radio ya kusaga😂
@savageemperor2569
Ай бұрын
@@its_khalidy_46Na hiyo ya alikiba ni ya nani?
@wisperfect5320
Ай бұрын
And me is a done bro😂
@user-kd6qq3fh7w
Ай бұрын
Safi sana blue wa kishua mr cowndown umereta majibu ya swali la necta
@JohnChedego
Ай бұрын
Diamond platnumz,,,ashavuka huko muda sana ❤❤❤
@JannatTahmid
Ай бұрын
Lkn Daimond Hana ata radio,sio yake ile mbona Kuna mama mmoja hivi ndo anamiliki
@PrinceBonnyTz8
Ай бұрын
@@JannatTahmid😂😂
@lovelovetv
Ай бұрын
Je wewe umevuka au ni baba yako uyo 😂😂😂 pumbavu
@PrinceBonnyTz8
Ай бұрын
@@lovelovetv Huyu hata Kuvuka korongo bado labda makorongo ya madem 😂😂😂😂
@waltermfikwa4361
Ай бұрын
Kuna kitu wa Tz washamba kukielewa, Cha kwanza mnakurupuka kucomment ushabiki, badala ya kutumia uelewa, coz kila mtu anamawazo yke na anamipango yke, maendeleo sio km mashindano kila mtu anafakiw kw wakat wake, na km mawazo bas kla mtu anamawazo yke na ayatimize Baad ya muda gan, so kutangulia sio kwmb ndo mtu anaakir sana au anapesa sana hyo Haina maana hiyo hata kidogo... Hvyo tumia uelewa wa akiri na WA kujua jambo msiwe mnatumia ushabiki mtabaki kuw mazuzu hvyo hvyo.....
@user-zw1vz7or8v
Ай бұрын
Follow from kenya
@mlamytz
Ай бұрын
Noma sana
@kawingasimkoko1391
Ай бұрын
Kweli usimzanie mtu alikiba ame pigaje pigaje mbona mkimya sana kumbe ana ma hela
@hoseanobocka7140
Ай бұрын
Kwani Alkiba amewaonesha hati miliki ya redio au mnaongea tu Sasa hivi hakuna tajiri anaetaka kufanya biashara yake 100% watu wanaweka share zao
@elizabethmasitsa6537
Ай бұрын
@@hoseanobocka7140bt he is the biggest shareholder wa hiyo radio
@halimahalima1488
Ай бұрын
@@hoseanobocka7140 it's true
@mustaphahassan589
Ай бұрын
@@hoseanobocka7140 kwani hawezi kuwa na hiyo pesa?
@TALLUBOY
Ай бұрын
Kufungua redio siyo gharama Kubwa imezidi million 900 tu Ngoma inakuwa tayl imewaka
Aisee ni hatarii kumbe clouds wanajitahid kusikika mikoa yote hongereni bwana 👏👏 mimi nilichukulia poa
@vi3ayo1622
Ай бұрын
Ela ndogo sana na mim naanzisha yangu😂😂
@HappyMwaigwisya
Ай бұрын
Wacha weeeee
@musajackson3289
Ай бұрын
😅😅
@halimahalima1488
Ай бұрын
Utaniajili na mimi😅😅
@Bobhov
Ай бұрын
😂😂😂
@user-ub3xh7ug6c
Ай бұрын
Shid cy kuanzish shid uendeshaji ulipaj mishahar nk
@EmanuelShayo-ke2hn
Ай бұрын
Ni memwelewa vizuri sana na faida itapatikanaje
@VitusEmmanuel-pe3yi
Ай бұрын
Dah xina neno kwahil inabid mtu ajipange
@beniardajuna2580
Ай бұрын
Sasa millard acha nisomeshe watoti niachane na radio maana nikujtafutia mawazo mbingun
@Kudonjoshow
13 күн бұрын
Tanzania is very expensive to start radio station but Kenya iyonikupesha watu jamani mbona sio kitu kubwa vile mnasema
@braystuskibassa3842
Ай бұрын
Ndo vile imeisha hiyo
@user-zh5lc4in9u
Ай бұрын
Ndoto yangu kuja kufanya kazi ayoTv kaka miradi nione mkuuu
@mrsinia3064
Ай бұрын
Duuh! noma Sana hapo ukute platinum ana share na mtu mwingine si kwa huo mpunga aisee🤔🤔
@abasilihundu200
Ай бұрын
Jamaa amekimeza kihaya
@amirisaid6341
Ай бұрын
😅
@pesaspy_tv
Ай бұрын
Huyu jamaa anataka kusema kuanzisha radio ni zaidi ya billion 1😂😂😂😂
@donkhan6841
Ай бұрын
Kaka Kwa kutulia
@munixpicentertainment
Ай бұрын
uyu n mwongo 😂😂😂😂
@empafricatv
Ай бұрын
😅😅😅😅 wanatutisha hawa hawana lolote
@empafricatv
Ай бұрын
Muongo
@geoufo2858
Ай бұрын
Unataka kubishana au
@halimahalima1488
Ай бұрын
Maokoto yanaitajika hasaaa
@user-ij6eo6pq6z
Ай бұрын
Alikiba ni msani mkubwa na tajili tz na Africa mashariki.yeye ni namba moja
@sebastiansappy5327
Ай бұрын
Haipingwi
@user-ij6eo6pq6z
Ай бұрын
Umeonaeeee ila baado vitoto vya elufu mbili havielewi tunaelewa sisi watu wazima
@jadenmsafi
Ай бұрын
Jifarijini
@hoseanobocka7140
Ай бұрын
Ukiona hivyo ujue hyo n partnership business@@user-ij6eo6pq6z
@user-wc6it2bb8n
Ай бұрын
😂
@RashidKauka
Ай бұрын
Ayyo mjanja sana ,Mimi naiona radio ya ayyyo 2027 haifiki
@GuzuraGuzura
Ай бұрын
Soon tutaisikia ayo fm, na ayo tv
@kapotei
Ай бұрын
Huyu Ally K. ni hatar sana yaan hana sofa sifa ye anafanya mambo mdogo mdogo hatak mbwembwe hana mayowe
@super_boy_tz
Ай бұрын
Huyo dada nampenda sana kiukweli NIMEJALIBU kukaa kimya lkn daah ❤
@daudiayubu4464
14 күн бұрын
Unampenda wapi we sema umemtamani tu hakuna cha kumpenda wala nini
@ivantompoo3420
Ай бұрын
Haya mnae sema king hana hela vyote anavyo
@user-uo8xw9kr4b
Ай бұрын
Kwani pia wanakopa kuanzisha biashara kisha unalipa taratib bora uwe na dhaman yakueleweka au mkashare na mtu mwengne pia ni uaminif wenu tu.
@mnazitv405
Ай бұрын
Mnazi fm tumetumia m 300 imetosha
@jastinedaudi-qi9vr
Ай бұрын
Nawe hyo media gn bhn w at aijulikan
@Lufuta33.
Ай бұрын
doo maana hatuijui hyo minazi fm
@aishaomary4498
Ай бұрын
😅😅😅
@Toptenherbs
Ай бұрын
umetisha sana tajiri
@GuzuraGuzura
Ай бұрын
Safi sana kaka, tunaomba pia utuambie mtaji wa ufaao kufungua petrol station. Utakuwa umetufaa sana pia.
@donkhan6841
Ай бұрын
Minimum 300M
@GuzuraGuzura
Ай бұрын
@@donkhan6841 OK safi sana mkuu, asante
@GeorgeAkasha-zx2rj
Ай бұрын
@@donkhan6841Hata mill 90 unafungua tu mkuu kwa pump mbili ukitoa eneo jengo na ujenzi
@magomakabanja480
Ай бұрын
Kiukweli Mwanzo ni Mgum Alikiba Atafika Kama Alivyo Fika Diamond Plz Maana Hata Diamond Alianzia Chini Mpaka Kufika Tanzania Nzima Radio Inasikilizika
@FredrickMatiku-xf2uk
22 күн бұрын
Joseph kusaga kama alitupiga na kitu kizito katika historia yake alisema alitumia 40 milioni kufungua mawingu fm Sasa hivi mpaka uwe na mabilioni Bakhresa nae eti aliuza machungwa na urojo kariakoo akawa tajiri bilionea ila nyie maisha yana siriii juuu ya mafanikio ya mtu kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake
@elvisoscar9912
Ай бұрын
Kuhusu radio station kuanzisha akuna noma pesa yake ni ghalama nafuu kiasi vifaa unanunua uk shida ni leseni na jinsi ya kuweza kuiendesha radio yako sababu sipo aina nyingi za radio station ila ya biashala kama clouds efm Crown fm zinatakiwa kuendesha kwa pesa kubwa sana na auwez wekeza peke yako lzm yawepo na makampuni mengine makubwa kuna radio zinasilizwa tu wilaya nyingi mkoa nyingine mikoa kazaa na nyingine nchi nzima ila radio yako iende mtaani wana wasikilize na upate matangazo ni lazima uwe na contents ubunifu njoo na kiti wenzako awana jamii ikikubali radio yako ishatoboa we utakuwa ni mtu wa kupokea matangazo na kula pesa za makampuni makubwa kama tigo Airtel bank's nk
@ElishaSolomoni-kc4zk
Ай бұрын
Napita tu
@ahmedkhator3968
Ай бұрын
Ayo unaisibir nn huanzishi ya kwako
@saeedmagoda9651
Ай бұрын
Uyu naye hamna kitu hap yaan umeambiwa jumla ww unaanza kuchambua HAPA HAMNA MALI KABSA
@hamidamussa-sy4fm
Ай бұрын
Unataka kufungua redio nini ayo tv
@RobertChacha-hb9re
Ай бұрын
Million 700 na watu wako kwenye mabilion mzee kwa kiba ni pesa ndogo saana
@TujuzeTv
Ай бұрын
Millard Ayo ipo siku utamiliki Redio na TV trust me . Alafu uwaajiri sisi ambao hautuishi Tanzania 🇹🇿 ili tushirikiane 🙏🙏🙏
@user-vb2nc5vn7q
Ай бұрын
Mililioni 300 matirio,mnara ni milion 150 mjengo milion 40 na mlion 45 janereta mimi nimepata milion 540 ila kuna vitu inaendelea duh
@ishengomamlangila4341
Ай бұрын
Nakuulila kyoma
@giztony2009
Ай бұрын
Yy konde boy ameamua awekeze kwenye mapenzi
@kissysimbaa2350
Ай бұрын
mzee kaeleza vizuri but hajaeleza k modern but yupo good
@LilyWembo-up3qq
Ай бұрын
Ase mnatudanganya hajafunguwa radio yeye ilo tunalijuwa yeye nibarozi waio radio munatudanganya asee
@PerfectGirl-dj7zq
Ай бұрын
Tajiri haongeagi et Ila vitendo ndo vinaongea
@nkuzotv6219
21 күн бұрын
😅😅😅aah bas io sio redio ya ali kiba
@ZakariaMachibula
Ай бұрын
daah
@mohamedshariffchanja8724
16 күн бұрын
50kva ni ya studio
@sebastiansappy5327
Ай бұрын
@millardayo nakuona unafungua radio mpya
@millardayoTZA
Ай бұрын
au sio 😃 asante sana kwa imani hiyo
@elvisoscar9912
Ай бұрын
@@millardayoTZAna Mimi nitakuwepo pale kwenye kipindi cha today's discussion asubui 😂
@harunamdogo19
Ай бұрын
Vp kuhusu faida..!wamiliki wa redio wanatengeneza vipi faida..???
@goodlucktemu3149
Ай бұрын
Kumbe gharama ya kawaida tu hata mimi naweza kufungua radio yangu
@giztony2009
Ай бұрын
Duu hongera ndugu yangu mm najitafuta ndo kwanza nimejenga nyumba sina hata gari
Kuna redio used ipo kwenye hali nzuri made in italy inauzwa milioni 25.
@user-td4le3xf7h
Ай бұрын
Tuache wivu wa kijinga tuache kuwa kadilia watu watu wana hela ila wameka kimya acheni zarau
@nsuriitv2468
Ай бұрын
Je swala la mapato likoje???
@olicendayihimbaze4074
Ай бұрын
Hiyi nikubwa kabixa Acha watu wasema wanavyotaka Alikiba ni Mtu muhimu🎉🎉
@hoseanobocka7140
Ай бұрын
Mashabiki mnavituko kwani nani asiejua Alkiba n mtu muhimu au we umejua Leo???
@olicendayihimbaze4074
Ай бұрын
Mbona mnamusema eti hana hela
@hoseanobocka7140
Ай бұрын
@@olicendayihimbaze4074 pesa anayo sema ukimlinganisha na nani??? Lakini pesa anayo tunachojaahau n kuwashndanisha watu
@user-pk1yl7zt8p
Ай бұрын
Gar moja ya Simba ndo utajir wa huyo malikia
@olicendayihimbaze4074
Ай бұрын
@@user-pk1yl7zt8p wewe Hakili huna tafuta hela mwanangu acha makasiriko wewe huna hela wewe unani huwo mbwa 🦁 lile gari ndo unalinganisha na Media wewe masikini kwli
@zclassicfashionz1573
10 күн бұрын
Si mchezo vijana wamejitahidi sana
@BAHATIAPALALEBernard-pd8xq
21 күн бұрын
Naimani kwasasa, diamond atapewa heshima yake.
@mkorinthomgalilaya6700
Ай бұрын
Wahaya wanaaminika kwele😂
@petercostakisoka
Ай бұрын
Kama unayo pesa ya mawazo utoboi wachie matajiri wenye ma b yao
@peterrogathe5756
Ай бұрын
Shikamoo kiba.
@user-hl9xu4vo1q
Ай бұрын
Mi nilijua ni mabillion!! Kumbe inawezekana tu
@user-by2gj2bw9f
Ай бұрын
King kiba is danger artist of africa
@ayobow56
27 күн бұрын
Tusimame kuowa tu bora
@hamisihassankengejr4375
28 күн бұрын
Kumbe ni hela ndogo kiasi hicho nilijua balaaa
@user-wl4ip6oe1r
23 күн бұрын
Kufanya collabo za nje na Kupeperusha Mziki wake kimataifa Sio Shida zake. Hapa Hapa East Africa na Hela anayo ya kuwekeza.. Kijana wenu anapambana Sana Kimataifa lakini List ikitajwa Alikiba hakosekani top 5😁😁😂😂
@WaziriRamadhan-ML
Ай бұрын
Daaah nilikuwa naogopa kumbe hela yenyewe ni hiyo kiduchu!!mwez ujao nami nafungua yangu puumbaavuuu
@ayobow56
27 күн бұрын
Umelogwa
@gaspergasper9830
Ай бұрын
😂SIO KWAMBA KING KIBA HANA PESA ANAZO SANA LAKIN HANA AKILI YA kujuwa azifanyie nini SIO MBUNIFI na ataendelea kuburuzwa NA Diamond simba apewe heshima yake wcb 🔊🔊for life 🥰
@BakariMohammed-sr9kd
Ай бұрын
Acha ushamba
@DattiKassim
Ай бұрын
Jidanganye
@gaspergasper9830
Ай бұрын
@@DattiKassim sasa kwanini asubir SIMBA aanzishe lebo nayeye afate yupogo nyuma sana alafu ilitakiwa SIMBA ajifunze kwa kiba lakin kiba ushamba na maringo kama demu atashika mkia 😂labda SIMBA afe na SIMBA akifa niamini kiba atakuwa Rei alivyo kufa kanumba hazingatiwi 😂🙌
@gaspergasper9830
Ай бұрын
@@BakariMohammed-sr9kd AKILI huna kusoma ujuw Picture huoni alivyo anzisha Wcb lebo uyo kiba akaiga SIMBA kaazisha wasafi radio kiba kafata lakin kwataaaabu sana anaiga kunya kwa tembo NGOJA SIMBA anajambo lake tena tuone kiba atafanya nn 😂😂 tunataka afanye kitu chake bila kuiga tatizo sio pesa tatizo Akili 😂🤝
@sunwizy608
20 күн бұрын
kwani umeongea nini
@adamhashim3352
Ай бұрын
Tumuulize na yule dogo wa kigoma alitumia bei gn😅
@NeemaChachaTV
26 күн бұрын
Heshima sana Kaka Alikiba na Diamond, Aisee leo ndio Nagundua kwanini Millard hajafungua Radio yake Mpaka leo 😂
@moradidaudi3463
13 күн бұрын
Alikiba ninoma alikuwa hapendi kujionyesha
@isayasanga4173
18 күн бұрын
Kwa uwezo wa MUNGU nitaweza na mimi
@hamidamussa-sy4fm
Ай бұрын
Namkubali sana simbaaaa
@michaeldoroleo4864
13 күн бұрын
Kupata hela bila kuwa na hela ni swlaa ambalo halipo😅😅,kama huamini kamsikilize baba level katumia shingapi kupata milioni 200
@collineedson9964
Ай бұрын
Wiki ijayo nilitaka nifungue redio yangu Ila nmeghaili wacha tu nisikilize hizhz bas
@user-fz9dw5zm1v
28 күн бұрын
Ali kiba hana ela nyie wenzake washafanya kitambo ayooo mamb
@mtafyatv
Ай бұрын
Zaidi ya B1 hapo
@zephaniazacharia519
Ай бұрын
Kumbe ela ya nyanya
@waltermfikwa4361
Ай бұрын
Kajisachi kwenye utupu uone km unaweza.....😂😂😂😂😂
@sadickjuma7264
28 күн бұрын
😂😂watu wajanja sana AYO ana kalamu anaandika tu namuona baada ya mwaka tutaviona vyote hivyo inshaalah
@Zahirshemweta-ln3cd
Ай бұрын
😅
@PrinceBonnyTz8
Ай бұрын
Kwanini mtu ataje pesa katika Dola hawezi taja pesa za bongo🤔🤔🤔🤔Au ndio ataonekana mjanja
@ismailahmed5133
29 күн бұрын
Kila hesabu zake ni dola na uro 😂😂
@asukulubashilwango1907
Ай бұрын
Mimi nataka muhihambiye mtu akafunguwa radio ana pata faida? Niko na nyumba yangu apa usa yenye samani ya $240k nikuhuza sitakosa M600 so nikifunguwa nitakuwa nakipato kizuri ?
@tinejuxfrancis729
Ай бұрын
Faida utapata kutokana na utakavyo ibrand
@HafsaShayo-iv5xh
Ай бұрын
Simba la masimba dangote
@ayobow56
27 күн бұрын
Hiii ni kujiletea umaskini tu
@jacklinelyimo7407
Ай бұрын
Shareholder ni lazima
@amosmahona433
Ай бұрын
NAOMBA kufahamu ni namna gani redio na tv zinaingiza mapato? maana kwa hesabu hizo ni shida sana..
@emazjassam2452
Ай бұрын
Mapato makubwa ya TV na radio ni matangazo
@user-xw3ew4jy5p
Ай бұрын
Apo ukiwekeza kichwa kichwa nakuhakikishia mwaka mmoja tu unafunga iyo radio maana naona gharama ni kubwa sana
Пікірлер: 299