Acheni kumtukana haya anayoyasema tusubili ligi ianze nd tumtukane sasa hiv msimtukane
@user-hp5zf2fw4o
21 күн бұрын
Wakipigwa kumi Tena watasema Mo kauza mechi
@user-mw6ym2vr9f
21 күн бұрын
Unajifanya unajua sana kumbe hujui
@user-gr6hz5oq2g
21 күн бұрын
Engineer alikiri kuwa kwa Aziz simba walitoa ofa kubwa kuliko yanga
@yunusimchala6569
21 күн бұрын
Ww sio mtu wa mpira tatizo hamtaki kusikia ukweli hauwezi kumshangilia wachezaji kabla hawajaingia uwanjani Yanga walileta balinya, sadney, moringa, sibomana, bigirimana wallcott, lamina molo, kalengo , Morrison,sonzo, safari balama mapinduzi na bui lakini waliofanya vizuri ni wachache
@user-rq4fq4pw4y
21 күн бұрын
Huyu mwenda ni kichaa na chizi mkubwa yeye kila siku maneno, wewe mwenda si ulipe umsajili Azizi K
@user-fx4pr4vp8p
21 күн бұрын
Ukweli unauma
@maxmia100
21 күн бұрын
Mwenda anajua ila mnaobisha ndo nyie makolo msiojitambua mo kila siku anawazingua na safarii hii Simba isipochukua ubingwa mashabiki msiojitambua mtashabikia yanga wote
@HABIBHASSAN-wf5mr
21 күн бұрын
HUYU MWENDA HUWA ANAONA MBALI SANA NA INASHANGAZA AMEKUWAJE YUKO SIMBA NA SIO YANGA ,.. KWSSB AINA HII YA WATU HUWA NI WATU WA YANGA...HATA MTU UKIKATAA SAWA TU ... AMJIULIZI KWNN YANGA ASHACHUKUA UBINGWA ZAIDI YA MALA 30 WATAKUWA WATAKUWA WANAWAZIDI MAARIFA KWA MBALI SANA SIMBA UHITAJI KUTUMIA AKILI NYINGI
Пікірлер: 79