Huyu mwamba yuko vizuri Sanaa 💯 hata kuyajibu maswali yuko vizuri 🙏🙏🙏 pasha nimekupenda kakabraza huna upendeleo wowote, May Almighty GOD bless you 🙏🙏🙏
@scollantandu6278
2 жыл бұрын
Pasha kiukweli bado unaheshima hivo hivo mungu akuzidishie sana, nakupenda mnoooo ❤️
@milliamwega3069
2 жыл бұрын
Jamani pasha Mungu akuinue tena uludi kwenye mzki
@adolphyamin1245
2 жыл бұрын
Mwamba Pasha Mtepa namkubali sana huyu bro 🔥🔥🔥.
@wybzokizzy4416
Жыл бұрын
Pasha...ni soo🔥 favorite
@laurencelucas3931
2 жыл бұрын
Pasha nakukubali sana kimziki, bado tuna imani na wewe, kazi ziendelee
@yustinamartiny3224
2 жыл бұрын
Pashaa wa Ni sooo jamaniiii ❤️❤️❤️ludi ludi twakumisssss😘😘😘😘
@jeniferemmanuel4251
2 жыл бұрын
yaan bado yupo vzr...cute smile ..... Ana uelewa.... muonekano mzuri....yaan duuh wasanii weng wanaharibika na madawa ya kulevya lkn pasha yupo vzr bado aise ...Big up broo...mungu akulinde
@jovinathobias7163
2 жыл бұрын
sauti yako Pasha ni nzuri kimuziki , uliniburufisha sanavmpaka sasa nyimbo zako nazipenda hasa ,ni soo.
@mpundempunde1722
2 жыл бұрын
Jamaa yupo mature sana big up
@mohamedkitemwe3569
2 жыл бұрын
Nakukubali sana Pasha
@aishaissa2512
8 ай бұрын
Mashaallh mzuri pasha 🎉❤
@yonicdontah6392
2 жыл бұрын
Huzeeki Pasha You are real ✊🏿 Big up bro
@mugadimon3563
2 жыл бұрын
Huyu sio mzee ni kijana tumekua nae mtwara mtaa wa rahaleo.Huyu age ni 34/35
@mugadimon3563
2 жыл бұрын
Amemaliza form four mwaka 2005 saba saba secondary mtwara
@Nikita_8017
2 жыл бұрын
Ni Soo was beautiful song
@annaphilemon852
2 жыл бұрын
My fav song hidaya
@binamubinamu1151
2 жыл бұрын
Saf sana mshkaji bado namkubali sana yupo poa kabisa pasha
@kimzymamy6594
2 жыл бұрын
Pasha bdo namkubali snaa🔥🔥🔥🔥🥰
@jovinathobias7163
2 жыл бұрын
Nakuombea sana urudi zaidi ya mwanzo ,mimi mshabiki wako sana
@zenajafari7813
2 жыл бұрын
Jaman pasha nampenda sana
@twiserchaki6029
2 жыл бұрын
Humble
@midoletvonline4638
2 жыл бұрын
Pasha salut kwako
@annaphilemon852
2 жыл бұрын
Aww thaman ya penz💕❤️
@Best_tz
2 жыл бұрын
Pasha ulinibamba sana na #Hidaya Hadi leo hakuna aliekufunika kwenye ngoma ile
@jilalamaligisa4854
2 жыл бұрын
Nahisi management walifanya ndivyo sivyo kaka imeniuma sana, albamu NI SOO ilikuwa ya moto sana 2008 niko form 1 isingeishia kipato hicho lakini malipo yapo hapa hapa.
@annaphilemon852
2 жыл бұрын
Namuonaga dar maeneo yake ya kaz natamani kumjenga imani kua yeye bado ni star ndani yetu ila sna uwezo uo wa face to face ila akirejea humu tambua tunaimani na alichokupa Mungu still
@anybaby...3059
2 жыл бұрын
❣❣❣pasha
@jovinathobias7163
2 жыл бұрын
I liked most
@luludisniper2436
Жыл бұрын
We miss you pasha my crushy
@neemarupia1062
2 жыл бұрын
Pasha ni mkali kwa mziki
@salamanauthar5261
Жыл бұрын
Jamani Pasha
@peterassenga6169
2 жыл бұрын
Nisooooooo aiseeee nyimbo naipenda mpaka kesho
@tulisashire8570
Жыл бұрын
My crush❤ pasha
@issanuru2697
Жыл бұрын
Namkubali sana mwamba
@aziziwailu7531
2 жыл бұрын
Unaongea vizuri sana
@koperla8145
Жыл бұрын
mwanangu umetaja handeni nakubali sana kk
@imanimpenda6232
2 жыл бұрын
Umeuza magari halafu hujajenga broo😁😁😁😁😁😁😁😁
@mwanaidsalehe1109
2 жыл бұрын
Pasha alikuwa anaimba vizur sana.
@mugadimon3563
2 жыл бұрын
Jamaa anakipaji cha mziki ameimba sana shule ,mtaani kwenye matamasha mengi tu.
@merichomgonafivi1733
7 ай бұрын
Kubar Xana pasha,
@jeremiaherasto5893
2 жыл бұрын
Kuna muda kama unakosa maswali VIDO, unakomaa kuuliza vitu ambavyo unayemuhoji haonyeshi utayari wa kukujibu and sometimes hayana umuhimu ata kwa watazamaji.
@imanimpenda6232
2 жыл бұрын
Muuza urembo buza mzee kaza maisha yamebadilika
@nasekawanga1737
2 жыл бұрын
😂😂😂 wasanii wengi wanaishi kisanii tu hela akuna
@Mpakauseme
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mereyamhomesmariamhomes3464
2 жыл бұрын
Sana
@lovecutetz9668
2 жыл бұрын
One of ma fav artist😍😍
@mohamedkitemwe3569
2 жыл бұрын
Mr Mtwara inakuaje
@salumjumah5648
2 жыл бұрын
Pasha mtepa
@ndayushimiyerungarunga8712
2 жыл бұрын
Kujenga nikujaliwa
@King_Of_Everything
2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@leylamohamed9939
2 жыл бұрын
Vido anafuata nyanja za Ayo, anajua sana👌🏽 Nice interview
@kuruthumumkalawa763
2 жыл бұрын
Nyimbo zake zilinirewesha sana
@robertanold6846
2 жыл бұрын
Huu ndo ustaarabu tunaoutaka kwa wasanii, jamaaa anajibu poa sana atakuwa ni role model kwa wengine kwa ustaarabu
@shabanirashid7797
2 жыл бұрын
Nakumbuka kipindi kile unajiita Mr.Mtwara ilikuwa noumaaaaaa saaaaaana
Пікірлер: 65