Kuna watu hawawezi kupata maambukizi ya UKIMWI (VVU) na hawawezi kuona dalili za UKIMWI hata virusi vya UKIMWI vikiingia mwilini mwao. Tazama video kufahamu zaidi
im one of those ppo...me nmewai kuwa na mtu ako na ukimwi kabisa but akuna vle nmegonjeka na iyo ilikua 2012 nkiwa class 7 mpaka sai naitwa mama na adi nko gulf na suna chochote...aki mungu nu mkubwa..nko blood group O+ I thank God for that 🙏🙏🙏
@IreneWanyonyi-ul5yd
3 ай бұрын
Ukweli kabisaa Mimi pia Mme wangu aliaga miaka kumi na mbili iliyopita but nimepimwa mara kwa mara sina huyu mungu ni mtetesi kwa wanyonge
Exactly, Afrika tupo wengi tu kuliko hata hao wazungu
@janemumbua4683
2 ай бұрын
God have mercy on you my sister
@AnnaChambo-m4c
Ай бұрын
Nina amini hilo hata Tanzania yupo ambae ilitokea wanawake aliotoka nao baadhi walikufaga, na hata mke wake, lkn yeye aliumwa sana, tukajua na yeye amepata hilo tatizo, tulipoenda kumpima, ikaonekana hana hilo tatizo, hatukuamini, lkn mwisho wa siku Daktari alitupa maelezo kama hsya!! Oooh Mungu atubariki na wengine tuwe hivyo hivyo, atuepushe na maradhi yote makubwa ns mabaya, Amen.
@GodloveAloyce-qv2lb
Ай бұрын
Ni kweli kuna watu wapo
@makuach-u6f
Ай бұрын
Wenzangu na mimi mko wapi group 0+ kinga zetu ziko more powerful sijawai kwenda hospital wala kuumwa Mungu ni mwaminifu kwangu siku zote Amen
@SifunaIsaac-h3y
Ай бұрын
😂😂 hata mm hushangaa kwa hili swala la kutogonjeka
@ZarinaMziray-gl2vl
23 күн бұрын
Oyooooo asante mungu
@merymahu4500
8 күн бұрын
Mungu ni mwema.mno ila kuumwa kupo sema asilimia kubwa kweli hatuugui hovyo labda kuwe na shida nyingine kama vile pumu ndo inanisumbua pia nikikaa kwenye joto huwa nasahau hata pumu hainisumbui Mungu atupiganie sote
@marryafam2842
3 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe 100%
@beatricekitapk2265
7 ай бұрын
Nakubalii saana mi niko Tanzania, ila huyu Mungu aitwe Mungu tuu😢🙏🙏 mi niling'atwaa na pia nilishea mara mbili na mtu na pia kuna mifano ya watu pia wawili
Mm navidonda mdomoni na kimoja kinauma sna km mito ni kipele na vidonda vipo vingine juu ya ulimi lkn nishapima km mara 2 sna kitu sna maambukizi yoyote na nasumbuliwa na madonda niliumwa mda mrefu sna vidonda vya tumbo km mwezi je vidonda ni vya homa au
Mm nimezalisha mwenye ukimwi kwenye kupimwa mm sijakutwa na nilikaa nae miaka miwili adi najua kuwa ni mwasilika adi Leo mm napima Kila baadae ya miezi mitatu
@KennedyOwinyo
3 ай бұрын
Je kati ya vikundi vya seli za Damu O,A,AB, B Kuna isiyo weza kuambukizwa kwa uraisi?
@adinaneyassinefelicianofel8110
2 ай бұрын
O
@GreysonGasper
2 ай бұрын
Hata mi naskiaga hiyo kitu
@peterrobinson7093
3 ай бұрын
Tunaomba reference + evidence ya hao watu kwenye hizo nchi ulizotaja plz?
@emwanuelmapalala8099
3 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe
@saidmatikti2783
3 жыл бұрын
Nishawahi kabisaaa kuckia Habari hiiii
@erickkagisa833
4 ай бұрын
Nilifkr binadam wote ni sawa kumbe hamna!!
@erastoonesmo6109
4 жыл бұрын
🤔🤔
@MussaEnock-x8o
15 күн бұрын
Nikweli na Tanzania wapo wengi tu
@user-ux1mq4zq5m
2 ай бұрын
Kuna watu hata wakitomba hawana huo ugonjwa hta...🇰🇪🇰🇪
@robertphilip385
Ай бұрын
Wacha banaa
@chantalndayishimiye9233
4 ай бұрын
Nimekuunga mkono nina ushuhuda
@lutandulabahati4159
Жыл бұрын
Inachukua mda ngan kuonyesha kuaunamaabukiz baadaya kutoka kushiliki na muasilika
Ukitumia condom alafu ipasuke ,Na ukuwe umemwaka spams utapata kwa huyo mtu mwenye ako Na viruses
@robisonikadogo7371
3 ай бұрын
Siku ya kufa ikifika utakufa tu,Ata ukae ndani ya chupa, nikumuachia mungu tu
@MWINYIKADHI
Ай бұрын
Mbona unatoka nje ya mada mkuu?
@user-gq7ys5yh2y
7 ай бұрын
Ukikadiriwa kuwa utaupata haijalishi upo Sweden au Zimbabwe utaupata hayo ni makadirio ya muumba kondom haizuii wa huna ujanja wa kukwepa ikiwa umekadiriwa kuupata. Tumuombe msaada wa ulinzi muumba wetu
Wanaume si rahisi kuambukizwa hasa kama alikua hana michubuko au vidonda,wanawake ni rahisi sababu ndo ni rahisi kuchubuka
@elizasulle775
2 жыл бұрын
Mmmmmh 🤔🤔🤔🤭
@AshuraChamwana
2 ай бұрын
Nikweli ninaushuhuda. Kaka
@HabibaIslam-rf4ev
22 күн бұрын
Mimi ninaye nduguyangu amezanamutu ana ungojwa wawukimwi ilayeye muzimakabisa
@jgjf701
4 жыл бұрын
Niko na swali mm kama nilipima na mpenzi wangu nikapata tuko sawa kumbe yy alikuwa na mwengine ambae ana virusi je mm Niko hatarini ama coz nilimpima nikampata yuko sawa
@magynzioka1122
11 ай бұрын
Msijamiane Hadi miezi mitatu hihishe uku mkirudia vipimo
@GwakisaMwaisanga-th7uz
3 ай бұрын
Umuache maana huyo ni malaya
@andreamkono8028
3 жыл бұрын
Hiii
@happynelson1180
2 жыл бұрын
Ni kweli kuna watu hawawezi kuambukizwa ukimwi lakini hao watu hawawezi kujijua na kuwa baadhi ya hao watu wako nchi za scandnavia inaweza kuwa kweli maana kwenye hizo nchi hazina maambukizi mengi kama Sweden wenye ukimwi hata 10 000 hawafiki
@VeronicaMacha-pl3xt
5 ай бұрын
Hakuna maambukizi mengi kwa sababu ni watu wastaarabu mambo ya ngono hawana muda nayo.
@user-hy9hh1zg4y
2 ай бұрын
Kabisaa! True..Africa ngono wamefanya kama chakula..Tena wanakula hata kama hawana njaa!
@wiseproent8661
Ай бұрын
Kule maambukizi Ni machache kwasababu jamaa hawana utamadunj wa kutahiriwa
@hellaskarras1567
4 ай бұрын
sio nchi z ulaya tu hata duani kote wapo nikulingana na group ya damu aliyonayo huyo mtu wapo wote duani sio ulaya tu acha kudanganya watu
@segolinetingo2916
Ай бұрын
Hakuna cha group km 0 yako ina receptor ambazo kirus anafit kwisha kazi
@SANGOSAIDY
2 ай бұрын
Achaumbea brother huoni Toto Naupuuzi ukimwi niukimwi
@segolinetingo2916
Ай бұрын
Hadanganyi niliwahi kufanya kaz sehem flan ..wakaja wenza mke ana mimba ya 3 ..mume anao mke hana.baada ya kufuatilia mume alipata km miaka 7 iliyopita mke hana
@davidmguji4409
Ай бұрын
Je, hapa Tanzania wapo watu wa aina hii. Ni vipimo gani vinavyogundua kuwa huyu mtu hana receptors yaani sehemu ya kujishikiza virusi vya ukimwi. Je, kuna programu ya serikali ya kuweza kufanya sensa kuwajua hawa watu hapa kwetu tz
@JasmineDoa
21 күн бұрын
Hata Tanzania tupo
@happyjimmy7361
3 жыл бұрын
Nikweli Tanzania tupo
@masaganyambada4306
Жыл бұрын
Kwel happy au utani
@user-sj6rh6xl7t
2 ай бұрын
Hata mimi niliwai kuwa napenzi mwenye ukimwe lakini sikupata na yeye alikufa mwaka 2002
kuna watu hawawezi kuaota ukimwi. mfano watu wa group la damu O- HAWA NIWACHACHE PIA DUNIANI yani. ningumu wana damu kali
@AnnaJeremia-pz7ux
3 ай бұрын
Danganya watu sasa
@RonaldMuongere
18 күн бұрын
Ntajua nko hiyo kitu
@arcadomalik54
4 ай бұрын
Wanotumia dawa wanaweza kuambukiza
@abuuselemani6043
2 жыл бұрын
Hivi xax unaweza kujijua vip kama wewe cell zako azishiki maambukizi
@segolinetingo2916
Ай бұрын
Huwez juwa jilinde
@melichmahingule2896
2 ай бұрын
Acha uoga mwandishi, Afrika ndio tupo wengi watu wa aina hii ikiwemo namImi, tatizo mnatumia takwimu za wazungu wanawatisha.tu, mbona Yesu alikuwa mwafrika lakini tukafanganywa alikuwa mzungu? Amkeni
@MWINYIKADHI
Ай бұрын
😂😂kumbe yesu akiku mwafrica?
@MWINYIKADHI
Ай бұрын
Wazungu sio watu wazur wajua
@MWINYIKADHI
Ай бұрын
Naskia hata mtu wa kwanza adamu alikua mweusi
@user-mu9cf1dj2z
Ай бұрын
UWONGO saana.. mutufasiriye vizuri sana kusudi tuelewe. Kwa nini sasa munaanza towa siri zenu baada ya kuawangamiza maelfu ya watu wengi sana duniani ? Zaidi sana wa afrika ndugu wetu ? KWETU CONGO DRC TAYARI KUNA DAWA YAKUPONYA UKIMWI . MUJE WOOTE WA AFRIKA MUPONYWE MAGONJWA YA UKIMWI KWA GARAMA NDOGO SAANA. AHSANTE
@SANGOSAIDY
2 ай бұрын
Tena achakabisa upuuzihuo
@user-oz7fm3ss5r
3 ай бұрын
Mimi nikona swali,ukilala na mtu mwenye akona ukimwi,na akose kukumwagia,ni lazima upate ama
@JumaAlly-zl1ze
3 ай бұрын
Ukimwi haupat kwa kumwagiwa una upata mchubuko pale mnapo kuwa mnajamiana au kushea vitu vyenye incha kali na mtu alie hasirika
@emanuelconstantino7251
2 ай бұрын
Je mwenye gulupo o inakuweje
@DamasKamani
Ай бұрын
Kwanini wasioambukizwa wawe ni wasicandinavia wengi na sio wengine
@milkakeya5993
3 жыл бұрын
Na mtu akiwa na ugonjwa wa ukimwi ni lazima atambukiza mtu ana kuna wale hawawezi ambukiza mtu
@afyatips
3 жыл бұрын
Mtu ambaye hawezi kuambukiza UKIMWI ni yule ambaye ametumia dawa vizuri na kufanya virusi vipungue kiasi kwamba hata akienda kupima virusi vinakuwa havionekani kwenye damu
@joyceimani539
3 жыл бұрын
Vipimo vyote havionekan??? Au kipimo Cha pili ndio hauonekan???
@milkakeya5993
3 жыл бұрын
@@afyatips Asante sana coz mm nko nazo but huwa siambukizi mtu na ni muda tuko wote Kwani sasa hata tuko na mtoto naye but Jamaa anajua mm nko nayo
@suleimansalym7537
Жыл бұрын
@@milkakeya5993 Kweli????
@user-hy9hh1zg4y
2 ай бұрын
Uongo..
@ErickMollely-kp6jq
3 ай бұрын
Atari zana mungu awalinde watoto wake hakuna jis?
@rasmgz2367
29 күн бұрын
Lakini virus vimeingia..!!!! Unasema awezi kuzaliana.
@user-lx3zm3cq3n
4 ай бұрын
mm nakauka koo
@faridasallum9572
2 жыл бұрын
Je ukigusa dam ya mwasirika unaweza kupata
@fatihiyadossa375
Жыл бұрын
Jee ukingwatwa mtu mwenye ukimwi unaweza kupata
@SalumPius-xw4dr
Жыл бұрын
Kuna uwezekano wa kukakua mwili wangu una receptors au hauna
@user-hy9hh1zg4y
2 ай бұрын
Ili iweje?
@wilbatnyato4679
Жыл бұрын
Najuaje mtu ana hizo seli
@mikeotada1690
Ай бұрын
Mbona wawe ulaya tu
@TheePwaniFamily
2 жыл бұрын
Huu urongo mtupu... Ukipatikana kuwa wewe huwezi kupata ukimwi inamanisha wewe ni carrier
@is-hakayussuf9981
3 жыл бұрын
Asee sijapata kuona jitu jiongo km ili da
@zuriathdasilver810
3 жыл бұрын
Hahahahaha
@rukaiyamkiwa7865
2 жыл бұрын
😄
@celinejustine3930
Жыл бұрын
Huu ni ukweli moja wapo ni mimi.... ila naona si kisayansi. Nahisi kuna nguvu ya mungu hapo. Kma ni ukimwi ningeshapata ila ni nguvu kubwa ya mungu nipo nayo. Siamini kma kisayansi uchomwe sindano ya mtu wa ukimwi na usipate. Ninachoamin ni nguvu ya mungu
@RazaqMtei-d7u
Ай бұрын
Ni kweli mimi nilifanyanya mapenzi namwanamke mwenye ukimwi miaka 5 cjapatA
Kama unae fanya nae ameathilika wewe ukichubuka tu na kugusa Yale majimaji au Damu basi itakuwa umeathirika Cha kukuokoa ukiona una wasiwasi na ngono mliyoifanya na humwamini uliye fanya nae wahi hosipitali kabla ya massa 72 hayajapita.
@Hunchotreez
Жыл бұрын
Asa utajuaje kama umechubuka?
@FuraziaPaul
10 ай бұрын
Ivi kupata siadi ote mchubuane au
@mwinyimadk.longwa6327
5 ай бұрын
Wiki tatu tu
@topaviator
3 жыл бұрын
Dfh
@Boaz-hr9pf
3 ай бұрын
Hao watu ambao hawana izo sehemu za kutunza virus ili baadae waende kushambulia cells wao wameumbweje au nin kipo hadi wawe tofauti na wale ambao wana izo sehemu za virus kujihifadhi before kushambulia cells?
@omarijuma4115
3 жыл бұрын
Doctor Mimi huwa nawahi kuis njaaa afu mwili wangu unachemka chemka Sana yaani yaani takuwa na na dalili zipi
@sherabomar6681
2 жыл бұрын
Hahahahaa ww sasa unatak kujitisha, some time mwili unakua hivyo pale unapotaka kunenepa inatokeaga sana hivyo na kaucngz flan iv.
@MomEvance
11 ай бұрын
Kapimw
@prettyfetty3731
8 ай бұрын
@@sherabomar66814:20
@manchidomungik9865
3 ай бұрын
Nenda pima sukari ingawa sio dalili pekee ya sukari lakini kuna watu wamewah gundulika kwa dalili kama ya kwako
@scolaodeyo8110
Жыл бұрын
Je, kuna kipimo cha kujua kama una receptance au huna???
@VeronicaMacha-pl3xt
5 ай бұрын
Kwani hao wa Scandinavia waliwatambuaje Ina maana Kuna vipimo vilifanyika.
@DonDallas
3 ай бұрын
Unataka kujua upige Tako bila stress
@gracejonh4022
2 жыл бұрын
Utajuaje km auwezi kuambikizwa vvu
@user-is2vr2xo6m
5 ай бұрын
Unabidi ujaribu na mutu mwenye ukimwi
@gracejonh4022
5 ай бұрын
@@user-is2vr2xo6m jaribu na wewe
@user-hy9hh1zg4y
2 ай бұрын
@@user-is2vr2xo6m😂😂😂😂😂
@user-kz1qh4ds6p
29 күн бұрын
Wale ÷GROUP O
@abuuaiman9575
2 жыл бұрын
ungeelezea inatokana na nini mpaka asipate huku ukilinganisha na group yake ya damu au uongeze maelezo kindani zaidi kwani baada ya kusikia hii audio yako ndo mtu anazid kuwa na maswali meng
@scolaodeyo8110
Жыл бұрын
Haitegemeani na group la damu! Kutokuwa na hyo receptance ni uumbaji wa Mungu tu
@monicerz
4 жыл бұрын
🤒🤒
@fatumashehe361
27 күн бұрын
Durupu o
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de
Жыл бұрын
Je kwetu africa hao watu hawapo??
@sarabura8933
5 ай бұрын
Na zani ni MUNGU anatulindaga jamani mm niliishi na mgonjwa tena alikuwa anakoowa sana nimeishi naye miaka mitano na tulikuwa tunajubuana ila na mshukuru MUNGU sikupata nikaja nikaanza mausiano na mwengine tena na yeye alikuwa umekolea sana lakini MUNGU alinilinda jamani tena yule wa mala ya kwanza nilimpenda sana ataakawa anajisikia vibaya yeye anao mm sina nikaanza kufanya makusudi ili niupate na yeye alizike ikashindikana mpka badaye nilipo safili ndio tukaachana kwaiyo iyo ipo jamani MUNGU wetu ni mkubwa sana mm amenilinda kama ni yamini tulikula lakini wapi namshukuru MUNGU kwa kunilinda
@daudidaudi5342
2 ай бұрын
Nina mademu wawili na wote wanao rkn Huwa nakula kavu mwaka wa 5 huu
@user-hy9hh1zg4y
2 ай бұрын
Endelea! Ongeza wengine...
@deeneejm5846
Жыл бұрын
Na wale weny group 0 wanawwza pata
@afyatips
Жыл бұрын
Ndio anaweza kupata
@elizasulle775
2 жыл бұрын
Mbn Kama sikuamini vile na somo lako silielwi
@segolinetingo2916
Ай бұрын
Kasome namna kirus kinaingia kwenye cell utaelewa
@HellenMdogo-yj6bq
3 ай бұрын
In boxx nikwambie
@herminachrispas888
3 жыл бұрын
Ukilomance na muathilika Kuna uwezekano asilimia ngapi kuambukiza? Vvu?
@youngmoneyyoungmoney3487
Жыл бұрын
Kuna asilimia chache kwa sbb inategemea kama wote hamna michubuko mdomoni ambayo inatoa damu
@mfilipinomshana2405
4 жыл бұрын
Hivi kweli kondom inazuiya ukimwi?
@afyatips
4 жыл бұрын
Mfilipino Mshana ndio ikitumika kwa usahihi huwa inazuia
@miurenokomol6172
2 жыл бұрын
Je unaweza pata ukimwi ata kama mwanaume yeye hakumwaga ndani🤔🤔
@dadollary
4 ай бұрын
Ndio dada
@tboymanyota
3 ай бұрын
Darasa la ngapi?
@user-ic7felix
2 ай бұрын
Kiss ndio mbaya lakin mboro hakuna ,, sperm haina ungochwa
Пікірлер: 251