Faiza uko tofauti na wasanii wote huwez kudanganya hujickii hongera sana
@farajaMezza-qn4be
Күн бұрын
Faiza upo very smart hata the way unajibu maswali❤
@nunuuali5316
Күн бұрын
Yaan Faiza uko tofuati kabisa na mastaa wote wa bongo,mambo ya uongo uongo au sifa za kijinga hunaga. Nakukubali sana
@EstarMichael
Күн бұрын
😂😂hayo ndo maisha fake life inatesa sana
@catherinecharlesshirima5867
Күн бұрын
Blessed woman❤faiza
@AminaMfinanga-nu6jl
Күн бұрын
Hii interview itaishi Sana,Nimependa Sana Faiza❤
@ashamagogo-i9z
Күн бұрын
kulea mtoto nakusomesha nivitu tofauti good point imenivutia
@jamilaathumani5481
Күн бұрын
Faiza umeniamasisha namim nizae jaman mana nimejifunza kitu apo
@AbeleBausingi
2 күн бұрын
Dr his good man bila ata watoto ni mkaka mstarab afu mwenye huluma awez kumuacha uyo na watoto
@AminaJuma-r4y
Күн бұрын
Nacho kupendea dada faiza ufeke mausha kama masta❤❤❤🎉
@jamilaathumani5481
Күн бұрын
Inshallah unifanya nifikirie namim nizae mana nimejifunza kitu inshallah
@rukaya-jg7hj
Күн бұрын
Jichanganye
@jamilaathumani5481
Күн бұрын
@@rukaya-jg7hj acha uchawi wako
@jamilaathumani5481
Күн бұрын
@@rukaya-jg7hj ushindwe Kwa jina la allah
@jamilaathumani5481
Күн бұрын
@@rukaya-jg7hj na mtume wetu Mohammad sw..acha kuwanga Bado mapema dada..ushindwe izo hasad zako zitakurudia mwenyewe na uchawi wako..uchawi tu kuoga aahh
@makiwainice3319
Күн бұрын
Hongera mtoto wa mjumbe wangu pale ILAZO madukani MTAA WA UHINDINI
@sevelinamartin7752
Күн бұрын
Mungu akutunze zaid kwa ajili ya watt wako,ni Baraka iliyo Kuu mnooo
@AnnitaMadaha
14 сағат бұрын
Nakupenda sana faiza,wewe ni mfano wa kuingwa unajitambua sana.
@GrolyMarcus
Күн бұрын
Mtangazaji wa hovyo ,,hajui maswali
@ndolehamisi5567
Күн бұрын
We ni mkweli saaana❤
@KissaMwaibila-xp7io
Күн бұрын
Kipenzi faiza❤
@salamamasaki2661
Күн бұрын
This girl yupo smart baba watoto mmepata mbegu nzuri❤
@user-jw8ym7du3c
Күн бұрын
Nakuwaga mvivu kusikiliza interview ila hii sijaruka kitu
@SaidAli-ti1lm
Күн бұрын
Faiza tunakupenda achana na maneno ya watu songa mbele
@habibaraphael6583
Күн бұрын
My love faiza
@esthermatisho2604
Күн бұрын
Nime, enjoy sana listening to you Faiza ❤ your smart and humble person ❤
@totonata5384
Күн бұрын
Faiza ni mfano bora wa kuigwa kwani wasanii wabongo huishi kwa kunyanganyana mabwana.
@rukaya-jg7hj
Күн бұрын
Yan mtihani sana kuzaa kila mtoto na babaake mungu atunusuru wallah😢
@SekelaJakson-ls7dd
Күн бұрын
Kumbe😢
@noelamilambo
Күн бұрын
Ni mbaya sana yaani ukubwqni wanabaguana mno😢
@rukaya-jg7hj
Күн бұрын
@@SekelaJakson-ls7dd oooh mungu amuepushie tu mana watoto wqnaweza wasikuheshimu wanakuwa na maswali mengi vichwani mwao
@LoretteM-xb9ls
Күн бұрын
@@SekelaJakson-ls7ddni mtihani kweli, sema kila mtu ana mapito yake kwenye maisha na km alivyosema yeye hakupanga ila imetokea. Sisi tumezaliwa hivyo, naelewa ilivyo mtihani.
@MwanaishaShattry
Күн бұрын
Hakuna shida yoyote inategemea jinsi ya baba alivyo na tabia yake. Mama kuzaa na baba tofauti hakuna shida lqbda kwako wewe tu.
@jenyyusuph4973
Күн бұрын
Kanenepa kapendeza
@mwantumkombo3014
Күн бұрын
Lv u bebe❤
@shamilafaraj5146
Күн бұрын
A very true woman❤
@SuzanaMpunji
Күн бұрын
Uzungu mwingi Faiza
@esthermatisho2604
Күн бұрын
Ningekuwa Tz ningekuja kusapoti end of the month,bless you and the kids ❤
@zariadunia6328
Күн бұрын
Mama Sasha wangu❤❤❤
@glammummy
15 сағат бұрын
❤❤❤yuko humble sanaaa dada Faidha
@AzaAzamhmod
12 сағат бұрын
Kweli maisha mungu ndio ANAPANGA❤❤❤
@EmmyNamoyo
Күн бұрын
Faiza ❤
@dotnatajoseph2620
Күн бұрын
Faiz ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@chunanachu2529
2 күн бұрын
I love faiza.....
@SelinaChares
Күн бұрын
Hiy Dada ni mweli sanaaaa mungu ambariki
@GraceTemba-nx3mw
Күн бұрын
Godbless you my sis
@happymaimu4330
8 сағат бұрын
Kumbe una akili😂😅 very intelligent
@agriparose3942
16 сағат бұрын
Faiza anaishi uhalisia sio kajala,
@infodigtechforcommunityemp4103
2 күн бұрын
Goood❤❤❤❤
@LuluAquai
Күн бұрын
Anajua kujibu maswali
@AzaAzamhmod
12 сағат бұрын
Ila faiza yuko smart sana ktk kujbu maswali😂
@SekelaJakson-ls7dd
Күн бұрын
Faiza nampendaga sijui ye why kanoblock insta dar😢
@divahcruz
Күн бұрын
nimependa jibu la mwisho apon, very smart❤
@vincej9275
Күн бұрын
Faiza chizzy tuu.
@dotnatajoseph2620
Күн бұрын
Ntangazaji ni mmbea kuliko umbea wenyewe du kiboko tuoneshe na wewe Maisha yako
@sporttz15
Күн бұрын
eti mimba ya mwanaume mwingine kuna neno sahihi kwa hiyo sentensi hamtaki kusema
@mcdonaldchrispinus8997
Күн бұрын
Saut bwana inakua ndogo …ila dada yuko pwa sana
@alsam4881
7 сағат бұрын
Kwa kweli haipendezi kabisa kwa mwanamke kuzaa hovyo na wanaume tofauti na kila mtoto na baba yake ,Yaani haileti picha nzuri na pia kuzaa bila ya kuwa kwenye ndoa, na watoto wake watamuona mama yao kama alikuwa hajatulia, na haileti picha nzuri kwa watoto wake kwasababu na hao watoto wanajifunza nini kutoka kwa mama yao, yaani kufanya zinaa na kuzaa hovyo na watu tofauti au kuwa kwenye ndoa?
Пікірлер: 72