Baada ya kuapishwa rasmi kuchukua wadhifa wa Mkuu ya Wilaya ya Kigamboni, aliyekuwa mtangazaji maarufu wa Azam Media Fatma Almasi Nyangasa amesema uteuzi wake na waandishi wengine unadhihirisha kuwa wanahabari wanaweza. Kwa wakaazi wa Kigamboni, anasema - ''nakuja kuchapa kazi:'' #Kurunzi
- Күн бұрын
Fatma Nyangasa: Nakuja Kigamboni kuchapa kazi
- Рет қаралды 2,767
Пікірлер: 2