RC makonda. Huyo ndio mkuu wa mkoa tunakulilia sana dua😭😭😭😭 ishaalah Mungu atakufanyia wepes huko uendako❤💕❤❤ love makonda💕❤
@geofreymlingwa2914
4 жыл бұрын
Nakukubali sana Mh. Paul Makonda hakika ww n kiongoz mahiri kabsa
@juliusjohn9453
4 жыл бұрын
Hongera, you are really a Leader kuna usemi unasema "Sheikh Hakosi Msikiti" Iko siku mtaniambia Ulisema!
@hajerjasem7981
4 жыл бұрын
Daah nimeumia kwel ila M/MUNGU hamtup mja wake Kwan ulifanya kazi bila kinyongo dua njema nakuombea Allah akulinde kila hatua kuna neema zaidi yahapo ulipotoka nitakupenda daima
@rmaryp6269
4 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kz njema uloifanya Dar.
@hapakazitu7364
4 жыл бұрын
To me, your the best
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
Thanks Millard Ayo!
@mohamedkagoma7066
4 жыл бұрын
Dah siamini kama utaacha ofisi jamani alie ingia hatoweza kuvaa viatu vyako usihuzunike kumbuka mti wenye matuna mazuri ndio unaopigwa mawe kumbuka wewe ulikua MTU pekee ila mungu atakusimamia kwa ulichokifanya
@danielbugwema6969
4 жыл бұрын
Tumwombee aliyebaki aweze Makonda bado anahitajika
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
Makonda is very good! he is truly a gift particularly in this post for sure..ooh goodness what a gem. he will be immensely missed. Dar es salaam has lost an icon for sure. our prayer now is the current RC to work with due diligence, effectiveness, quick deliverables and an outstanding outcome..may God crown him with efforts and make it easy for him in Jesus Mighty Name Amin!
@editorfrank7471
4 жыл бұрын
We nae kwan kafukuzw au kaacha mwenywe
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
@@editorfrank7471 hayo ndomaumivu..kaacha mwenyewe kakaangu..dah jmni angekaa kaa kidogo walau
@geofreynoah9458
4 жыл бұрын
Ulipewa nafasi ya ukuu wa wilaya ukatumikia nafasi yako vizuri ,mh. JPM akakupa mkoa wa Dar ukatumika kwa nguvu zote na ubunifu. MUNGU akupe nafasi nyingine ya juu zaidi. Tutakukumbuka kwa mengi mazuri .
@rehemakaijage1364
4 жыл бұрын
Mungu azidi kukuonekania katika yote. Nakuombea, natamani uwe waziri
@zainabtanzania6950
4 жыл бұрын
Safi sana makonda😍😍umeongea ukweli
@auntdorah9141
4 жыл бұрын
Mungu akutangulie ...nakupendaga kwa kuwa unajiaminigi sana... Huo sio mwisho wala usituage!! Umefanya mengi ila mimi lile la utetezi kwa wanawake na watoto ulinibariki sana...!!! Naamini ukikaa shm sahihi mimba za utotoni zingepungua kama c kutokomea! Wanafunzi wa kike wangekua salama kiasi fulani ..mfn ww waziri Jokate Mwegelo naibu...!! Wizara ya Wanawake jinsi na watoto!! Nina sababu kubwa sana ya kuwachukia wanaume wanaowapa wanafunzi mimba!! Hata wanaowazalisha wanawake na kuwatelekeza watoto!! Hawa mtawakomesha na pia ndoa zitapata amani...watoto wa mtaani watapungua.
@mmwaupete6265
4 жыл бұрын
Makonda ni kijana shupavu na mwenye uthubutu, mchapakazi, mtu wa watu na msimamia haki. Kwa vijana ni mfano wa kuigwa, mcha mungu na hakika ni kijana ambaye Taifa bado linamhitaji. Well done Makonda, Taifa linahitaji vijana kama wewe.
@amsiabbas3809
4 жыл бұрын
Safi sana Makonda ulijitahidi sana kupambana kwajili ya wananchi wa Dar na Mungu atakujalia sana katika Safari yako ya kimaisha Usikatetamaa isivunjike Moyo safari nyepesi ila nakuomba usichoke kugombea ipo siku utafanikisha Ndoto zako maana Nikitazama utendaji wako wakazi mamuona Magufuli ajae Bado wananchi tunahitaji uwepo wako katika tawala zetu Mungu akulinde kila sekunde (Amin)
@kassidpandu9806
4 жыл бұрын
Makonda safi sana kumbuka fadhila wewe ni binaadamu hasa
@rosemarychuwa8696
4 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema atakusimamia kwa kila jambo
@madundolucas4420
4 жыл бұрын
Mungu akubarik
@upendoamani8164
4 жыл бұрын
Mungu ana kusudi kukutoa hapo,, zidi kumtazama yeye kwenye maombi tu. Amekuandalia meza mbele ya watesi wako na kikombe chako kitafurika,.. Nakuombea Mungu akukumbuke wakati wa ari, sadaka yako ikapige kelele mbele ya Jehovah.
@stanleyjohn9992
4 жыл бұрын
Wewe ni mkuu wa mkoa pekee uliyefanya mengi mazuri hakuna asiyejua Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki ambacho watu wanakusema vibaya usikate tamaa kwa sababu maneno noooo utapata chance nyingine broo
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
eti eh Stanley? dah jamaa ni poa sana sanaa...DSM watamiss mno kijana huyu
@guloanjela2327
4 жыл бұрын
Hogera Nakupenda
@abbakariramadhani3705
4 жыл бұрын
We in kiongizi jasiri sana
@rehemaomary3267
4 жыл бұрын
Nakuombea kila la kheri
@enocknaftar2202
4 жыл бұрын
Mungu akubariki brother
@shangwekamando2599
4 жыл бұрын
Unaelekea Kuwa waziri wa wizara fulani nyeti
@shalomizrael667
4 жыл бұрын
Inawezekana unaondoka kwenye ukuu wa mkoa, Mungu akakupa nafasi nyingine nzuri na kubwa kuliko hiyo. Nakupenda bure kiongozi.
@waheedahtanzania5884
4 жыл бұрын
MashAllaah Allah akuongoze kwa hatua nyingine ilobaro zaidi,Mungu ndo huwapenda watu KamA ninyi msosahau ihsani na neno shukrani ndomaana mlielewana na MAGUFULI kumbe wote mlikutana wenye Imani na huruma anazopenda Mungu,by the way usikate tamaa kwa maneno ya mitaani na mitandaoni sisi binaadam ndivo tulivyo wanapenda sana mambo yasomfurahisha Mungu kwao ndo sahihi naulokuwa ukiyafanya sahihi aloamrisha Mungu wenye hukuchukia hao ndiyo wanaadam ni viumbe wazito sana na hawana shukrani zaidi yakukupiga mateke nakukuombea mabaya,Na Tatizo mwisho wa siku wanajikuta wanaumia wenyewe kwa kuto wa jibu Maana kukaa kimya kwako ndo jibu Lao mtu mpumbavu usimpe cheo cha kumjibu,Na sina mengi yakuandika kikubwa nakutakia kila la kheri na Mungu akuongoze kwenye sehemu ya kheri zaidi na tunashkuru kwa utendaji wako mzuri wa Dar
@waheedahtanzania5884
4 жыл бұрын
Tunamuombea dua na huyo ajaye awe jasiri kama wewe Dar es ssalamu ndo ataiweza Inshaallah Mungu awatangulie na awaepushie na Hasadi za watu wasokuwa na kheri nanyinyi
@sameraafreqe7964
4 жыл бұрын
Mimi huyu mkoa mpya cna iman nae nahs mkoa utamshinda,,
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
tumuombee tuu..nimapema kutoa maoni..maombi tuu Mungu Amtunuku na hekma..ila dah Makonda anaiweza DSM...angalia vile anavoongea jmni...mtu anaijua sana jiji hili
@hilmialjahdhami9787
4 жыл бұрын
Unataka kazi zake afanye kwa kutumia tv ndio uone anafanya kazi kitendo cha Raisi magufuli kumchagua tu juwa huyu jamaa ni mchapa kazi
@allymngwaya1369
4 жыл бұрын
Tatizo tumezoea watu wanaoongea sana. Huyu siyo mwanasiasa alikuwa RAS kwa hiyo ni mtaalam hawez kuwa muongeaji kama alivyo Makonda.
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
@@allymngwaya1369 yeah ila kweli umesema...tena yamkini akafanya mambo mazuri sana tuu baada ya kuchukua kijiti toka kwa Makonda wetu....safi sana
@geofreynoah9458
4 жыл бұрын
Mengi ulitenda
@aminaabdallah7702
4 жыл бұрын
Nenda kammombe msamaha MH rais manake yumekosea naumefanya kazi n'zuri dsm kwahio yusiharibu. bahati Yako nabado kijana
@deusdeditswebe8930
4 жыл бұрын
Awali ni awali... Hakuna awali mbovu... 🙄🙄
@bjzee1981
4 жыл бұрын
Sema tu unajuta. Sasa mkabisanie mtaani na gwajima
@damariszuckschwert9489
4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣umeweza💯🎤
@saimonmanyerezi7169
4 жыл бұрын
We mbeze tu lakini Makonda ni kiongozi shupavu sana.Cjapata kuona kiongozi katika awamu zote wakiopita Dar es salaam ni imara kuliko Makonda.
@ilonjemgogo115
4 жыл бұрын
mungu awe nawe
@taifaonlinetv.3670
4 жыл бұрын
I salute my brother Makonda, wewe ni alama baba atakusamehe, na utakuwa pazuri tu
Unazingua..Ila kaka unajua kujipendekeza xx mkuu alitoa mfano wa mkuu wa mkoa was tabora najua unakumbuka Sasa yatakukuta kaka nae alikuwa Kama wewe na uroho wa madalaka
@auntdorah9141
4 жыл бұрын
Kujaribu ni ujasiri.
@dicksonkilupa2258
4 жыл бұрын
Sasa brother unaondoka tuombe mkuu aone pa kukuweka uendelee kuchapa kazi ila kimyakimya bila kupambana na Magwajima
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
dah huyu mtu ni wapekee kwa kweli..zawadi kutoka kwa Mungu Mkuu jmni
@@rehemamost444 unishindi Mimi kwa kuumia basi haina jinsi Maana kafanya kazi kubwa sana juu ya kupambana na maadui wa DAR ES SSALAM Dhidi ya madawa yakulevya hatimaye akashinda vita hiyo japo walimchukia kwa kutokufikiria khatari ya biashara haramu hiyo,Lakini alivaa joho la ujasiri na kukwepa risasi za mahasidi kwa yote Allah atakulipa kwa kudra zake Inshaallah tunakuombea sana sisi wenye kheri nawewe Mungu azidi kukupigania Maana wewe zaidi ya jasiri Maana hakuna mji mtata kwa Tz kama jiji la Dar limejaa la wama sana sasa usipo kuwa ngangali wanakudondosha kwa mimacho Yao ilo jaa hasad na roho za kutu
@rechrontv2453
4 жыл бұрын
TAMKO KUTOKA KISUTU DAR ES SALAAM JUU YA KESI ZA TUNDU LISSU (gusa link 👇👇 kutazama) kzitem.info/news/bejne/0YqlyZaFhqafkoY
@danielbugwema6969
4 жыл бұрын
Nakupenda Sana unajiamini unazungumza toka moyoni
@malegesinyeura6897
4 жыл бұрын
Ulikuwa poa sana mkuu hatuta kusahau mkuu
@franciscoivo1591
4 жыл бұрын
Umlinde wewe Nani,acha hayo
@danielbugwema6969
4 жыл бұрын
Imekutachi siyo Makonda anajielewa kuliko familia yako
Ah makonda nna huzuni kubwa kwa kuondoka ujaliwe upate nafasi nyingine
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
amina kwa kweli!
@aishasmoni5881
4 жыл бұрын
Polesana kaka ilausijar mungu atakupa pengine zaidi insha Allah kuwanasubira MUNGU yupo pamojanawe penda sana
@prettynesspastory3111
4 жыл бұрын
Ubarikiwe Br! Tunashukuru kwa uwepo wako kipindi cha miaka mitano ilopita
@jacobmakono389
4 жыл бұрын
...Mag atakuchomeka mahali!
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
eti eh jmni
@bennymochiwa4800
4 жыл бұрын
ata ww anaweza kukuchomeka
@jacobmakono389
4 жыл бұрын
@@bennymochiwa4800 hata we we!
@bennymochiwa4800
4 жыл бұрын
wasiojulikana, nenda bwana weee
@hamidmohamed7806
4 жыл бұрын
Hana ishu ndo maana katumbuliwa na angekuwa na ishu angekuwa na ishu nzuri angeendelea kuwepo . Jikate zako unazingua wapishe wengine haupo peke yako we mda wako umeisha.
@bennymochiwa4800
4 жыл бұрын
wasiojulikana
@yohanaadam620
4 жыл бұрын
Nenda huko
@danielbugwema6969
4 жыл бұрын
Wivu tu Makonda nizaidi ya wewe
@shabanmedda6059
4 жыл бұрын
Aje kwako au nyau wewe
@mbarikiwambarikiwa3988
4 жыл бұрын
Ck moja utafumba macho ukimuona akiwa waziri.
@ramadhankayaya5484
4 жыл бұрын
Kazi umeifanya makonda ugumu upo kwa huyo anaekupokea kiatu kitamtosha?
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
maombi tuu kaka yangu..tumuombee kijana wa wenyewe...from ur sister
@jumaomary9087
4 жыл бұрын
Wewe unaesema mkuu was mkoa mpya utamshinda kwanini kwani wameshindwa wangapi yeye akishindwa ananinj
@shosemanjira9015
4 жыл бұрын
Mungu akutangulie
@mdl6463
4 жыл бұрын
Daaaah ila kwa ujumla ulipiga kazi kabisa olegosha sana
@jmnafaka9451
4 жыл бұрын
PETITMAN AFUNGUKA KUHUSU ESMA KUOLEWA TENA 💥🔥💥 LINK HII HAPA 👇👇 kzitem.info/news/bejne/zm9nm36IrmaJdqg
@pastorgodsonjohn8562
4 жыл бұрын
Viatu vya makonda sidhani kama huyu jamaa atavivaa ni vikubwa sana
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
kweli wafikiri hivyo? tuendelee kumuombea..DSM ni kubwa sana Mungu Amkumbuke kijana wake
@rechronsebisebi5043
4 жыл бұрын
WANACHUO KUHAMA CHUO NA KUBADILI MASOMO GHAFRA (gusa link👇👇 kutazama) kzitem.info/news/bejne/wIWIzWWHjYODmqA
@ernestsinje8693
4 жыл бұрын
Leo umeongea busara safi sana ,umekomaa kisiasa mh Mkuu wa mkoa
@eliahmwakasendeka8100
4 жыл бұрын
Anajisafisha
@jedidahbintidaudi8241
4 жыл бұрын
huyu Makonda ni madini makali sana kwa DSM...tutamkumbuka mno..tuendelee kumuombea RC huyu mpya
@ombennassary7438
4 жыл бұрын
Makonda umeacha alama utakumbukwa sanaaaa
@edwinsima260
4 жыл бұрын
Ww ni kiongozi wakuigwa tunaomba mh.rais wetu akuangalie kwa jicho la huruma umeibadilisha sana jiji la dar es salam ikibidi akurudishe madarakani sisi bado tunakuhitaji sana makonda.
@jamesmkoda1914
4 жыл бұрын
Mungu akilinde kiukweli hata Mimi nimeumia sana kwa kuondoka madarakani naomba Mungu raisi wetu akusamehe na akupe sehem nyingine tunakuombea jamani Rais wetu tunaomba utusikie bado tunamwitaji makonda hata sekta nyingine umweke tunashuru maana wewe ni msikivu asante
@ezekiambwambo3163
4 жыл бұрын
Nimependa kauli ya YESU ndie kila kitu saf san makonda kwa kauli hiyo unaenda viwango vingine vya hal juu
Пікірлер: 101