Lyrics
Verse1
haya mapenzi yamenishinda
kila naempenda dem anaigiza
naemuona rafiki kumbe ndo chee
tah
km maisha ridhiki yangu itafik
ndomana, nikizipata nimitungi (t
ungi)
yamaana, ukizipata rusha vumbi
(vumbi)
Binadam bwana
mbona wagumu kwishi nao sana
Kikulacho kinguoni mwako
(kikula)×2
Verse2
Intro
Walio sema atuta fika Mbali
Apa ni wapi
Gad Breezzy on the beat
Binadam ni hatari
Hawapendi ufike mbali
wanapenda sana money
ndomana
ukiwanazo watakujali
mi washaga niumiza roho
niliowaamini ndo ma bro
kweny shida wakakaba ko
ndoman friend fake sitaki no
Kula nao cheka nao
Ila kuwa taifa lao
Wana ni ita babalao
Küba dida msemo wao
Binadam bwana
mbona wagumu kwishi nao sana ×2
Much thanks to DJ sungula & Sbm on the beat
Негізгі бет Gad Breezzy - Kikulacho & Zed Boi (Official music Audio )
Пікірлер: 74