Oyaaa eee waliokubaliii usajoliii wa young Africans gongaaa likeee hapaaa kama zoteeee maana. Mwaakaa huu timu yetu itafikaaa mbalii au nyiee mnaonajeeee!!!!😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SophiaKilegu
Ай бұрын
Dua bro
@djmarveltzvampire4894
Ай бұрын
Usajolo😂
@TatuHusseni-hs7mu
Ай бұрын
Du nilikua nimemsi diara na Aucho anae kumbuka pas ya Aucho kumpasia gude na kuwafunga makolo aweke leki hapa 🎉🎉
@makabilatz9679
Ай бұрын
Leki yann tena au kuna majani humu 😢
@Andrewmyala-t1b
Ай бұрын
Tunajua kua mwaka huuu hakunatimu yoyote ya kuimuduh tim yetu anae bisha aseme wananchi mniamini mm gonga like hata mbili tuh naombeni muendereee kuisapoti tim yetu yangaa hoyeeeeeeeeeeee
@mwajumampokileomckapela7541
Ай бұрын
Nimefurahi kuwaona msonda na aucho 🔰💚💚💚💚💛
@SophiaKilegu
Ай бұрын
Nasijikia amani saana na hii timu jamn mungu wabariki wachezaji wetu wa yanga
@BoniphaceFelisian
Ай бұрын
Bigapu sana mtu wangu kwa usajili huu tutaendelea kupata rahaaaaaa
@JastineMakanyaga-bd6wi
Ай бұрын
Daaaaaaaa yani hata mazoezi2 niishalatosha kuwa sisi ni bigwa milele iloveyu yanga mwaaaaaaaaaaa😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@misambo7539
Ай бұрын
Kama unaamini msimu ujao tutamaliza ligi bila kupoteza mchezo wowote gonga like😊😊😊
@zigbrownmatthew
Ай бұрын
Huu msimu hata haito concede goli za ya tano
@yassinsaid-p4l
Ай бұрын
Hakuna kupotrz
@adamtanakhel8185
Ай бұрын
Inatosha kusema viongozi na wachezaji furaha yetu Iko mikononi vichwania na hata katika miguu ya wachezaji I believe all our technical bench
@abubakalimavumbi5846
Ай бұрын
I believe young is 💥💥💥💥
@samweledward7664
Ай бұрын
Yanga Bingwa ✅
@TatuHusseni-hs7mu
Ай бұрын
Max na nkane love nkane zidi kumfundisha kiswahili max
@kolosii4351
Ай бұрын
Nkane endelea na kazi nzuri.
@mansooralaisri5200
Ай бұрын
Makocha Africa Wana hofu kubwa kwa usajili wa Yanga. Umiza Kichwa.
@domisonrichman6499
Ай бұрын
Namuoma mdaka mishale amerudi Diarra😊
@MerkJaka
Ай бұрын
hiii timu ni nzur sana ee mungu bariki tubebe CCL
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Mnsheri🎉🎉🎉🎉
@BADAWY575
Ай бұрын
Yanga media vitu vingine edit video kama hii yakufichwa Baka kachelewa kuna namna ya uchelewaji leo katika zoezi .lazima mulinde video zetu .but tuko mbaaaaaaali decepline flan leo wachezaji wameinesha ambayo sio nzuri wapeni kisomo kuhusu umuhimu wa time
@Shine-minutes
Ай бұрын
Tuliomwona diara mkono juu!!!
@Mary-fs4mc
Ай бұрын
☝️☝️
@SalvatoryMbigili-m2f
Ай бұрын
Tumemuona ila kavaa jez number ilikuwaga ya guede😢😢😢😢😢
@SalvatoryMbigili-m2f
Ай бұрын
Tumemuona ila kavaa jez number ilikuwaga ya guede😢😢😢😢😢
@flavianajohn5250
Ай бұрын
@@SalvatoryMbigili-m2fndo unalia😅😅😅😅
@jei_maimu6957
Ай бұрын
😂😂Nimemkumbuka Mzizee...
@BasuleBasule
Ай бұрын
Nan Kamuona Bareke Na Leoo
@HassanIbrahim-dt9gs
Ай бұрын
Mimi
@barakawabuge5285
Ай бұрын
Bareke ni nani
@moviccreativestudio
Ай бұрын
Kibwana mmemuona anacheza komasava tu 💚🖤💛
@user-fi1qp7hv5t
Ай бұрын
Hao wazee hatuwataki, kazi hawatopata na uwanachama watauacha hatutaki masnich
@HadiaMohammed-ec2dn
Ай бұрын
Ss pacome nd vp kichwan😊
@neemaisrael688
Ай бұрын
MUDA YUPO SANA TANGU DAY 1. LOVE MY TEAM.
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Max🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@januarymlaki109
Ай бұрын
Usajili ulioenda yule safi sana
@adamtanakhel8185
Ай бұрын
Wafungaji wapewe mazoezi special ya kutupia tuu
@norooshabani8681
Ай бұрын
Jamani yanga raha sana gonga like hapa❤
@user-lf7sg1vx8w
Ай бұрын
Mnarupatia raha saaana asantenii viongoz wote GSM GSM GSM.
@SettyRukoloto
Ай бұрын
Ahaaaa Raha sana asee
@emmanuelbmaduhu3198
Ай бұрын
nimemuona Musonda Roho yangu imetulia sasa
@BoniphaceFelisian
Ай бұрын
Sisemi sana mana makolo nao wanaongoxa kwa kwa usajili wa wachexaji wengi wao nae wanasema mwaka huu wayarudishe
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Aucho🎉🎉🎉🎉🎉
@EdoMapipa
Ай бұрын
Wewe umemuona
@AhazyStanley
Ай бұрын
Huyo Mzize Hana Rafiki❤
@user-nc2me2ic9y
Ай бұрын
Unyama ni nwingiiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Baca🎉🎉🎉🎉
@kolosii4351
Ай бұрын
Simba wamepania kuzirudisha zile saba msimu huu. Halafu eti wamejiamini kweli!!!
@fettiemaganza1484
Ай бұрын
Waanze kurudisha Sita walizofungwa huko kwanza kabla hawajafikiria saba
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Yaooooo🎉🎉🎉🎉🎉
@shaibusaady2420
Ай бұрын
Allaah Akbar
@thandokuhlelatha-wi6vs
Ай бұрын
keep on going bafethu
@pambaboniface1199
Ай бұрын
Kazi njema
@scratcharico6223
Ай бұрын
Mwambie aduke aachekujitenga
@user-hk4hk4gd5x
Ай бұрын
Alhamdullilahi
@user-rz4mi8og1w
Ай бұрын
Gamond kasha andaa mitego na Mabom anangoja mtu ahingie kwenye 18 zake mabom yamlipukie na Mitego himnase
@richardelieza1001
Ай бұрын
Yanga makombe mpaka 2040
@chollejr_
Ай бұрын
😂😂😂aucho ilo li mwili akistafuu mpira wa miguu aende ruby
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Dube🎉🎉🎉🎉🎉
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Pacome 🎉🎉🎉🎉
@SophiaKilegu
Ай бұрын
Nje ya fensi ni watu jmn
@lonelypatientor7348
Ай бұрын
Raia kama woooote
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Kibabage🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Mzize
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Kibwana 🎉🎉🎉🎉
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Diara 🎉🎉🎉🎉
@abdulyshebby3018
Ай бұрын
Wakwanza
@HappySaid-n7b
Ай бұрын
Yanga tam
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Job🎉🎉🎉🎉🎉
@daudpaul-c7b
Ай бұрын
Yanga tamu
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Muda🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mpambanajitz7026
Ай бұрын
CHAMA aaaaaaa. Wota a goal ,, Dube eeeee waoo,,huu mwaka kuna TIMU hapo zitaumwa Utiai sugu 🤣🤣🤣🤣 Maana hujui utamkaba yupi 💪💪💪
@jackoboabunuasi-hb4qc
Ай бұрын
Tumetisha
@JafarishaibMachapaka
Ай бұрын
Juma kagom ndani yanga atu taki aondoke
@mikidadymanga1346
Ай бұрын
Bila kuchoka❤
@HadiaMohammed-ec2dn
Ай бұрын
Diaraa😂❤❤❤
@EdoMapipa
Ай бұрын
Kwani hayupo
@gabrielngei
Ай бұрын
Namba 11😇
@ErickDerick-q9x
Ай бұрын
Hatuzuiliki sisi mpaka uchoke makombe ndo tutawaachia la sivyo watasahau makombe
@allyabdullah9205
Ай бұрын
Awee
@GodwinPatrickMdaku-j7i
Ай бұрын
Wakwanza apa likes zangu
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Duke abuyq
@PttaMagel
Ай бұрын
🎉😢😮😮oy inatosha jaman
@simonmeruti
Ай бұрын
ni shidaa
@emanuelkazungu7058
Ай бұрын
Maisha ya mpira Bana watu wanayapenda ila magumu Sana Yani nikula kulala mazoezi
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Kapten mwanyeto🎉🎉🎉🎉🎉
@user-cu4mk4lp8v
Ай бұрын
🙌🙌🙌
@MoajGraphics
Ай бұрын
🔰🔰🔰
@Manilabonaangelo
Ай бұрын
Mafunguo simuoni 😢
@NestoryMapunda-gq3kb
Ай бұрын
Safiiii
@Sumaiyafisoo
Ай бұрын
Boca🎉🎉🎉🎉🎉
@radhiamussa1629
Ай бұрын
Kama ni kweli Simba wamepeleka malalamiko tff kuhusu chama ninachowaomba msijekutoka mchezoni watafanya Kila Hila hili wawatoe mchezoni tarehe 8 so kuweni sana makini tunalihitaji na Hilo kombe la ngao ya jamii kuanza nalo iwe hisiwe nawatakia Kila la kheri
@salemarahbi9171
Ай бұрын
Yanga bingwa😅
@BoniphaceFelisian
Ай бұрын
Kula kolo limoko lilisema kama chama atasajiliwa yanga nae anahamia yanga hatakubali kuendelea kupata tabu makolo
@SuhuurFarxaan
Ай бұрын
😂😂ligi ianze bhn mm kuna wakati siamin kweli chamaa na dube ni wetu
@chollejr_
Ай бұрын
😂😂😂😂nmemuona bacca nmekumbka penat zake😂😂😂😂
@MagdalineMambo
Ай бұрын
❤❤❤❤
@lamama.
Ай бұрын
hili club lina nipa rahaaaa da
@MkamiMavika
Ай бұрын
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
@herrysonk.edward609
Ай бұрын
Wapinzani kwa yanga hii hakuna rangi mtaacha ona😂😂😂
@Mloka_designer
Ай бұрын
Nimemuona baleke
@MarcoPius-gg9zn
Ай бұрын
11 imevaliwa na baleke
@faidha23
Ай бұрын
Kama naona watu watakavyo kuwa wanateseka
@ISSASHABANI-sw7lx
Ай бұрын
Kwenye page za vipapa mkojo utakuta wanaandika ooh mkude sio mwananchi tena shenzi huyu nani ma dako yao
@saidymengwa9996
Ай бұрын
😮
@KelvnShoo
Ай бұрын
Awajaamaa watapiga sanaa wana kila kitu kwenye kikosi ya anaye toka substution nisawa na aliye anza Mungu tuepushe na ngarika hii tareh 8/8/😢
@user-zx8qu1ym8y
Ай бұрын
Tunaomba haj manala ndo atutambulishie ao wchzaj sku ya mwana nch
@AllyMasangaluka-bm5ib
Ай бұрын
Musonda anakizizikweli
@farajamfaume7545
Ай бұрын
Kocha msaidizi yupo wapi?
@sebastiansalamba313
Ай бұрын
Jamani tujiungeni na yanga Kwa kuwa na kadi ya uwanachama kama kweli tunaipenda yanga
@victormkini2708
Ай бұрын
Ingekua rahisi sana kujisajili mtandaoni kuwa mwanachama ila ni ngumu hasa si wa mikoani
Пікірлер: 147