mimi kaka gb msimu huu ulio kwisha nime nunua jens tano nyeupe nyekundu bluu supe ligi na nyekundu ya mke wangu mwisho wa msimu tume hambulia kibegitu kwenda mlima wa kilima njalo na glup la mitandao kwa wana simbatu
@PaulGrigory
4 ай бұрын
Kwanza zinakua nzito kuvaa mzee wangu
@JosephTibu
4 ай бұрын
MUNGU IBARIKI SIMBA 😢😢😢😢😢😢
@mejertv8684
4 ай бұрын
Gb 🎉🎉🎉🎉
@DeoMkali
4 ай бұрын
Kazeni wapenzi wa Simba muwe na kauli Moja kama hiking chuma gb 64
@MalikiKavindi
4 ай бұрын
Waumbuliwe tuu wajinga hao wamefanya timu ya baba zao hao maboya sana hao
@TomasiklistophaMwinuka
4 ай бұрын
Gb 64 mwamba unaongea ukwer kabisa ila wachumiatumbo wanachukia wanapoambiwa ukwer ila najua imeenda
@BhizzyAidani
4 ай бұрын
Vunja bei arudi jamani
@fatumasophu5855
4 ай бұрын
We gb hapo kwenye jezi si ulisema mashabiki wanaokununulia heeeeh ila kwengine uko furesh unaongea kweli❤❤❤❤
Пікірлер: 14