Miti sijainunua ila fundi nilimlipa shilingi 70000 yaani wa kuweka sakafu na kujenga banda
@DonataIrigo
Ай бұрын
Bei gani kanuni
@KingoFarm1
Ай бұрын
Elfu tano
@AnethKauzen-yz1ws
Ай бұрын
NAMI niunganishe pia
@KingoFarm1
Ай бұрын
Tutafute 0712188239
@RenaldaMunishi509
Ай бұрын
Naomba vipimo vya banda la kuku100
@KingoFarm1
Ай бұрын
9 foot × 9 foot
@shilangiabbas7830
Ай бұрын
Kazi nzuri sana mkufunzi lakini Vipi kuhusu chicken perches zile mbao au miti ya kuku kukaa kwa juu yake ndani ya banda lako.?
@KingoFarm1
Ай бұрын
Hiyo tumeweka kwenye Manda ya kuku wakubwa, ukiweka kwenye Vifaranga watakuwa hawali, maana wanapenda sana kukaa kwenye Ile miti , na humu tunaingiza Vifaranga
@DonataIrigo
Ай бұрын
Sakafu itabaki mchanga
@KingoFarm1
Ай бұрын
Unaweka rafu
@DonataIrigo
Ай бұрын
@@KingoFarm1 Asante sana barikiwa
@ayubumitiakimitiakikivuy-fo3yp
Ай бұрын
kingo farm niunganishe basi kwenye group la WhatsApp nilipie chap ili unipe proses ya ufugaji wa kuku
Пікірлер: 22