Kazi nzuri ila Mr Harris na Mwinuka mmetumia muda mwingi kuongea ninyi kuliko ...
@evergreenmushi2171
3 ай бұрын
Kwani mwenye nyumba yuko wapi?! These people can interrupt 🙄🙄 kwakweli sijaifurahia labda Sky airudie kha!
@stephennjama6828
4 ай бұрын
Kipindi kizuri sana ila kuna namna kwa hio flow ya huyo mama interruptions za ndugu harris na mwenzie zimekua nyingi.
@AbeidTasha
4 ай бұрын
Hawa jamaa sijawaelewa labda kama nitawazoea huko mbeleni wanaongea sana wana interrupt sana
@sophiakayumba5974
4 ай бұрын
Nadhani ni kwamba ufunguzi wao wa kipindi kabla ya kumkaribisha mgeni ni mrefu sana ( yani wanaongea muda mwingi sana wakati wa kumsubiri mgeni kwahiyo inawaboa wapenzi wasikilizaji , kwasababu wasikilizaji wanakuwa na shauku ya kumsikiliza mgeni, nadhani hicho tu, lakini kipindi kiko sawa, labda wangepunguza muda wa wao kufungua kipindi isiwe ni muda mrefu sana ili tusiboreke kusubiria sana mgeni)
@franklinbernard4367
3 ай бұрын
Yan watangazaji mmeboa leo! Yan watangazaji mnaongea sana kuliko mliyemualika😢
@Saidmarez
4 ай бұрын
Nice
@gloriamwanjali9371
2 ай бұрын
Kuishi nje unahutaji nidhamu na kujituma sana
@janetmagiri7511
4 ай бұрын
Haika umeongea the reality ya immigrants wengi kwenye hizi nchi
@jtheophil5499
4 ай бұрын
Haika umanifundisha kitu kikubwa mno.Pesa najua kuitafuta kasheshe matumizi
@kokusimabayona4179
3 ай бұрын
Too much talking.... mpaka mnaboa aiseeeee
@lilyanmongi1075
Ай бұрын
Kwakweli nimeshangaa Haika ametoka familia inayojiweza nimesoma naye IFM ckutarajia alifanya hivyo
@juliethmuro7654
11 күн бұрын
Somo zuri. Haika wewe ni jembe
@AbeidTasha
4 ай бұрын
Wanaongea utafikiri wapo redioni wajue kutofautisha na podcast kwa hawa jamaa sky embu fanya kitu
@ronniemalima6325
4 ай бұрын
Mngemuacha aelezee mara nyingi mumemu interrupt sana imekuwa inaharibu flow! Afu she is a fast speaker iliwabidi mumsome mapema saana ili kuenda nae vizuri
@ZainabJolie
3 ай бұрын
Mnaongea sn vitu havina maana . Nlitaka kumskiliza huyo mama kama kipimdi cha sky cha bismnes duary ila mnaboa sjui mnaongea nini .
@focus140
4 ай бұрын
Maneno mengi,bundala huu mfumo badilisha
@homeandaway2811
3 ай бұрын
MNAONGEA too much,its so unnecessary, mnaharibu mazungumzo, please badilikeni
@jacqueisaac8155
4 ай бұрын
What a brain!!!. Nimepata madini ya kutosha inabidi nichukue hatua
@haikalawere2002
4 ай бұрын
I'm happy to hear this💪👏👏👏
@swahiliwithZita
4 ай бұрын
I love chimbo school of thought ❤ keep up 🎉😊 sns only the best for us.
@JacksonKepa-x2i
4 ай бұрын
Nimejifunza sana kwa huyu mama
@haikalawere2002
4 ай бұрын
Asante sana !
@faithnalitolela834
4 ай бұрын
Dah anaeleza madini muhimu sana ila mmemkatisha katisha sana sijui kwanini
@ereswidamoshi7404
3 ай бұрын
I wish sky angefanya hii enterview
@homeandaway2811
3 ай бұрын
Ingekuwa poa zaidi
@yama_virginhairthequeen1065
4 ай бұрын
Men don't like confrontation 😅😅😅
@johnmunishi255
4 ай бұрын
She sounds very strong and smart 👏🏽👏🏽👏🏽 Congrats Haika.
@haikalawere2002
4 ай бұрын
Nashukuru sana kaka!
@edsonnelson4464
4 ай бұрын
Kurithisha watoto wa kiume , kiuasilia kiafrika wanasema mtoto wa kike anaenda kujenga familia ya ukoo mwingine kwa maana kwamba ataolewA na atapata watoto kwa mume wake na jina ni lingine siyo la huyo mwanzilishi
@haikalawere2002
4 ай бұрын
Naelewa kwanini watoto wa kiume, wana-rithishwa....my point was....kama hawana uwezo....wa kuendeleza...hizo Mali zitapukutika tuuu! Ni Bora m-rithishe mwenye uwezo wa kuziendeleza na ziwanufaishe Familia yote , watoto wote hata kizazi cha 4....muhimu ni Proper sucess is succession za Wealthy regardless of Gender....hata km mwanamke ameolewa so what? Mali za familia ya Baba yake &Ndugu zake ....and this is what I'm doing na iko poa kbisaaa
@happyfashionista1325
3 ай бұрын
@@haikalawere2002Asante mama mimi pia ni mtoto wa kwanza.Asante kwa kunikumbusha kuwa sisi first born ni goal getter.Thanks dear mama
Пікірлер: 34