Amazing football interview for this 2024. Ubarikiwe sana Manara, umeongea ukweli mchungu
@williamsaulos8769
15 күн бұрын
Haji,Haji,Haji,ishi miaka 100 plus.Mwenyezi Mungu tunakuomba ututunzie mtu huyu mwenye maarifa makubwa mno na facts za kutosha za mpira(football).💪
@ZuhuraDaniel
3 ай бұрын
Nice brooo umemwaga madini yakutosha
@hopcolet6179
3 ай бұрын
Bro. Alie kufunguia kutojiusisha na mpira miaka 2, yeye afungiwe milele. Kwanini tunashindwa kuone umuhinu wa influence, impact, ability na passion, knowledge na amazed thinking capacity yako kuliki kuangalia mapungufu yako? Mchawi wa Africa ni sisi wenyewe.
@hopcolet6179
3 ай бұрын
Superman. Wewe ni hazina kubwa ya mpira Tanzania. Ila Tanzania tunashindwa kukutumia.
@bminawandu
3 ай бұрын
Wahandishi wabongo wajisahau huu kubwa caf wanaipa Tanzania sio Kwa sababu ya timu ya taifa miaka yote tushiriki mashindano atujawai kufanya la mahana heshima hii imekuja kwajili ya klabu tuwache wageni wa sajiliwe ata timu mzma
@mutsdimkami6677
3 ай бұрын
Hawa waandishi wangetafuta akiri ya kuwashauri local players wetu uongeza bidii ili kushindana na wageni , Kitu ambacha hawa waandishi wangeonekana wana akiri wangetoa fact kwamba wageni wanaokuja hawana kiwango kuzidi local players lakini kama player wa kigeni wanakichafua kuliko wakwetu basi acheni wajifunze hata kwakutazama wakiwa benchi😂😂😂
@HassanKubwito-uv7jv
3 ай бұрын
Kama wanataka kuirudisha ligi yetu nyuma tulikotoka na wajalibu kupunguzq wachezaji WA kigeni
@masumbukomaganga438
3 ай бұрын
Asante sanaa kaka haji kwa kupaza sauti maan nchi hii tuna wasema ovyo wengi sana
@iddiali8057
3 ай бұрын
UNAJUA MR. MANARA . WEWE UNAONEKANA HUFAI KWASABABU UNAZUNZGUMZA UKWELI.
@KagomaMoses
3 ай бұрын
Umeongea vizuri saana haji
@emmanuelmwendo2073
3 ай бұрын
Manara you know facts about football .🎉🎉🎉
@SaidSaid-ef8md
3 ай бұрын
Huyu ndo google inayotembea. Point after point. Mama samia eee hebu tia nguvu apa kidogo hili jitu lirudi kazini, unatukosesha burudani mamaaaaaaaa
@zariadunia6328
3 ай бұрын
Labda mama naye aliiafiki adhabu halafu manara angekuwa mzanzibar angeshafunguliwa
@makalasamweli9570
3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤xafi xana unajua
@rashidibrahimshemlugu7845
3 ай бұрын
Brother unafaa kuwa katibu mkuu wizara ya michezo
@davismwape7500
3 ай бұрын
Huyu simkubaligi tuu kwenye mambo mengine ila kuhusu mpira sinaga doubt nae manara anaujua mpira in details....
@petrobukerebe215
3 ай бұрын
Hii ndo brain ya football❤❤❤
@ismailmasoud6001
3 ай бұрын
Hawa wachezaji wetu wa kuwaokota mitaani, vichwa vishakula BANGE huko miaka kadhaa, halafu tuseme wataleta MAKOMBE Kwa timu ya Taifa..? Manara uko sahihi kabisa, kipindi hiko hatuna wachezaji wazawa tulifanikiwa wapi..?
@SaidAlly-uh4qw
3 ай бұрын
Haji manara kweli upo sahihi
@anamsaid8610
3 ай бұрын
You nailed it brother Bugatti
@erickganira6324
3 ай бұрын
Uko sawa haji
@amisamaurid1882
3 ай бұрын
😂😂😂 manara kapigilia msumari wa moto
@saidmbarouk3553
3 ай бұрын
ATOKE MCHAMBUZI WA BONGO ATOWE HISTORIA KAMA HUYO MANARA NJA WAKUMBWA NYINYI HUYO MANARA 😂😅
@suleimansalum4049
3 ай бұрын
Ufinyu wa mawazo na ubinafsi tu Kwa mwenye mawazo na fikra za mbali hawezi kutoa hoja ya kipuuzi km hyo. Wachezaji wa kigeni ndio wameifanya ligi na timu yetu ya taifa kuwa bora,
@simonIbrahim-hc8vm
3 ай бұрын
Huna baya kaka ❤❤🎉
@chisongastephen7299
3 ай бұрын
Upo sahihi Brother
@majutojackson5718
3 ай бұрын
Manara nakukubali %100, wachezaji wetu wagangamale kupigania namba na wageni,hata hivyo sio timu zote zenye uwezo wa kuwa na wachezaji wageni, ndio maana miaka ya hivi karibuni timu ya taifa imeshiriki afcon
@mohamedjuma-n8d
3 ай бұрын
Kuna watu wamezuka wanajifanya wanaujua sana mpira kumbe ni njaa tu zawasumbua.Mpira hauna mipaka wacha waje hata 30.Kwani maziezini si Wanafundwa wote ? Wageni na wazawa ? Sasa kama wazawa ni wazuri kocha anawaachsje kuwapanga ? Waonyeshe viwango mazoezini bana sio kutaka kubebwa.
@vinny.morales
3 ай бұрын
Huyu jamaa anaujua mpira mpaka anaboa❤.. chukua bustani yako
@thoniusjskanyango9076
3 ай бұрын
Good job
@farajibuteta6258
3 ай бұрын
Leo bana umeongea kweli
@JosephTibu
3 ай бұрын
KWELI KABISA
@deomusyebi9930
3 ай бұрын
Manara ki ukweli uko vizuri sana na unajua sana hao wengine wanakurupuka tu hawajui kitu na ukifuatilia ni watu wa makolo hao sasa utawapa wabongo nafasi hizo academy za maana hapa TZ hakuna utawapata wapi hao wachezaji acheni ujinga watanzania wengi huwa mnaongea vitu ambavyo mara zote havina mashiko na msijidanganye hatuna mafanikio bila wageni huko nyuma hatukuwa nao tulifika wapi acheni ujinga
@phabianmagesa1039
3 ай бұрын
Huwa nampenda manara kwasababu huongea ukweli mtupu naanajua mpira to the fullest your the best Manara unatakiwa kuwa kiongozi mkubwa sana wampira hasa raisi wa mpira Tanzania unaongea facts tupu
@Yusuphlalusa
3 ай бұрын
Honger
@emmanuelmwema8081
3 ай бұрын
Miaka kadhaa nyuma mechi ya kwanza ya msimu wa epl kati ya Manchester city v Newcastle United vikosi vyote vilivyo anza mechi(line-up) hiyo hakukua na mchezaji wa wingereza hata mmoja. Wote walikua wa kigeni. Leo wingereza kila michuano ya kimataifa lazima wafike hata nusu fainali. Kuondoa wageni hakuwezi kutupa timu bora ya taifa. Waangalie angle nyingine kabisa
@AbbasPuyaga
3 ай бұрын
Huyu ni mtu wa maana kabisa Haji Sande Manara
@deusjoseph8554
3 ай бұрын
We nihazina yetu kwenye footbal ,wengine wajinga tu hawafikilii mbele
@subiriabdulrahmani2343
3 ай бұрын
Ndiyo maana nakupenda xana wewe mkweli
@mouhamedmody1931
3 ай бұрын
Hadji mi nakukubali sana 😅
@KaidiMajengo-sv7dd
3 ай бұрын
Ushauri WA bure rudisheni mashindano kuanzia Ngazi Kata. Wilaya.mkoa kinda taifa.mpirautakua mashuleni MAshirika.mbalimbali.....mpira. utakua
@francismwilinde2237
3 ай бұрын
Na hayo yote yanaibuka baada ya makolo kufanya vibaya wachambuzi wa makolo hao
@CalvinTemba
3 ай бұрын
Ifike mahala Shirika la mpira liangalie Mchango wa manara ..na litambuwe Hata kumpa Tuzo ya heshma
@paciencemaumba7022
3 ай бұрын
Ukweli umeusema , wazo lao haliwezi kusimama wakati huu hapa nchini
@AliMkumbukwa
3 ай бұрын
Naomba nisaidien siku nikutane na manala
@ramadhankitambi7908
3 ай бұрын
😂😂😂 maaudi wa muda
@RajabuKaoneka-b7h
3 ай бұрын
Mchezaji wa kibongo akishindwa kupambana kupata namba ni bora akatafute kazi ya kufanya maana kazi zipo nyingi sio mpira tu
@songombingo108
3 ай бұрын
Bughattttttt ni mmoja tu
@kevinalpha4716
3 ай бұрын
👍
@MichaelNgowi-nc3vn
3 ай бұрын
Lini wata kufunguli aisee uje uwa chachafwe
@AliMkumbukwa
3 ай бұрын
Kwel manara
@MudyMchewa
3 ай бұрын
Mkuuu mm sikupingi
@OmarySefu-se1qr
3 ай бұрын
Azabu yako inaisha Lin?
@MalinoKadwame-u1c
3 ай бұрын
Sidibe anakaa bechi kisa msindo zimbwe jr miak 10 akun mchezaj mgeni anamchalenchi baka job mwamnyeto hakun beki wa kimataifa anatia mgu tatzo ni ubora sio kupat nafas
@AhmedAdan-po5ps
3 ай бұрын
Huyu naye anajioji mwenyewe
@vinny.morales
3 ай бұрын
Hujui kitu ww
@IsaacNkonu
3 ай бұрын
My lol model
@theafricanprincevivecongo8632
3 ай бұрын
😂😂😂😂sio lol : role model
@vinny.morales
3 ай бұрын
Role Model bhn😂
@mohamedjuma-n8d
3 ай бұрын
Mpira ni Biashara atakae fanya ujinga huo wa kupunguza wageni wataenda wao viwanjani.Viwanja vinajaa kwa hao wageni.
@raphaelkessy7360
3 ай бұрын
Nonda Shabani Papiii wa Yanga ali toka ZAIRE CONGO ya sasa ali enda Ufaransa aka ongoza kwa fungaji
@jimmyhabarugira4232
3 ай бұрын
@raphaelkessy7360. SHABANI NONDA hajatoka Congo ila ni mkongomani kazaliwa Burundi alikuja Tz anatoka Burundi
@lumistarboy8499
3 ай бұрын
Point sana kaongea Haji maana ukiangalia tu hata usajaili wa Ndani now ukiambiwa tafuta nammba 6 Bora tu unawatafuta kwa tochi bodo hatujawq na wachezaji proper kiasi hicho
Пікірлер: 84