This is the only woman i know who is desparetly in love with diamond...akimuoa uyu ndoa itadumu atanyenyekea sana uyu dada...aolewe tu
@nellyflo9736
4 жыл бұрын
I love this girl alot she is pretty hardworking Keep it sweetheart.😍😍😍😍my lord protect you alot
@nuruhmnyota2482
4 жыл бұрын
Nimesoma comment nimegundua mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzake,yaani wanawake walivyotoa mapovu humu unagundua tu tumejaa unafiki,roho mbaya,na vijiba vya roho,@Hamisa songa mbele mama,wewe ni mchapa kazi waache hao wasio na kazi siajabu hata kula ya shida waendelee kupiga Domo,go baby go,Mungu akurinde
@lemikimola950
4 жыл бұрын
Binafsi nakupenda Sana mobeto hunaga mda wamajungu piga kaz mama natamani niwe Kama we😍😍
@cherysantary9943
4 жыл бұрын
Na kupenda mbetto bibi ya simba, hebu nipe support mm ni dance poa👌👌♥️
😂😂😂😂 Kingezera yote siyo lugha yenu... hata mkiwa mnakijuwa.
@healthwealthsecrets3580
4 жыл бұрын
#ELIMUKWAKIJANA
@saeedmassoud256
4 жыл бұрын
Kwani kizungu ndo nn wewe acha ufala ata akikosea sio lugha yke kwaio no Sawa tu watz sio wajinga km wakenya , wakenya kiswahili hamjui mnapapatikia kizungu wakat sio lugha yenu acheni utumwa fala wewe
@aamyaamy8504
4 жыл бұрын
Mbna mwahangaika jaman mm nimesema tu nahuo ndio ukweli kizungu hamjui kubalini tu😂😂😂pia nyinyi mwapea kiti wa🇰🇪🇰🇪ndio maana mwatoka uko mwakamu kutafta mabibi uku nyoooo🤣🤣🤣rusheni mawe pia n comment sijali mm ni mzaliwa wa mitandaoni nimezoea🤭🤭pia niko na jengo hunda mkanisaidia tu sana ikiwezekana leteni kila mtu lorry 2 alaaah
@aamyaamy8504
4 жыл бұрын
@@saeedmassoud256 lugha ya nyumbani tuifanyeje sisi hio n lugha yakula sima so watu wanangangana na kingereza kumbe nyinyi mwangangana n kiswahili🤮🤮ata mtoi wa miezi 2 yuaongea kiswahili ss sisi wakubwa tubakia apo tukisubiri nn😏😏amkeni😂😂mm sitakutusi lkn hizi n comment tu ukijisikia kesha ama lete matusi Lorry 6
@khadijakhadijaboniphacemol2453
4 жыл бұрын
Viur Sana Mama mobeto kikibwa maisha ajakukata mikono
@reyyannassir1530
3 жыл бұрын
Tanasha so beautiful mashallah
@patiencenimmoh3956
4 жыл бұрын
Mobeto kama Mobeto penda weee sana maama😍😍
@aishashaban3651
4 жыл бұрын
hongera sana my mfanyakazi sana nawala usiwaskilize watu my nimependa aidia yako hamisi
@nasrihussein4293
2 ай бұрын
Zuchu mrembo kuliko hanisa from254 kenya
@magephilimoni9806
4 жыл бұрын
Zuchu mama kula bata mpaka kuku waone wivu hahaha
@gracemgoloka2306
3 жыл бұрын
Safi sn hamisa haunaga unafki nakupenda sn
@ireneinnocent4128
4 жыл бұрын
Safi sanaa yupo smart sana
@rafbrownmose4310
4 жыл бұрын
Nakupenda bure mobeto
@susan-ku5py
4 жыл бұрын
Her english is good leave her alone 😌🇰🇪🇹🇿
@aminasalum1954
4 жыл бұрын
Mmmh umebadili mpk saut uzungu mwingi ulizaliwa ulaya eee khaa
@elizabethzacharia9616
4 жыл бұрын
Et anajifanya hajui kiswahili duuuuh
@fridasky1019
4 жыл бұрын
Binaadamu kazi kweli looh
@kasimuabdalla1840
Жыл бұрын
Tulia dada iposiku utaishanza tanzani 😎😎😎
@omaryrajab9862
4 жыл бұрын
Nimekupenda hamisa majibu yako ni ya busara sana tungepata wanawake 50 tu kama ww tanzania tungekuwa kama ulaya full maendeleo
@beatricesima3021
4 жыл бұрын
That is true
@beatricesima3021
4 жыл бұрын
That is true
@innocent__tz
4 жыл бұрын
Truthfully
@beatricegunga4473
4 жыл бұрын
Mubete mzee kweli unahitaji sasa kutulia ushakuw mtu mzim wachie akina Lulu na Tunda wagombanie umekula sana ujana kabla ya umiss mpk sasa inatosha
@bettynana1806
4 жыл бұрын
among Diamond's Ex Tanasha and Hamisa are the best to answer questions in interviews
@faithnasambu5133
4 жыл бұрын
And the younger one's, warembo pia
@momotimz4202
4 жыл бұрын
Well they all learnt from Mama Bear Zari.. She told them but they didn't listen..🤷. But now they know.💪
@billysamz3260
3 жыл бұрын
Ila Zuchu siyo mdogo ako anakuzidi umri sana
@maureenachieng2345
4 жыл бұрын
Good girl love your story
@TopTop-vo6pe
2 ай бұрын
Anatapatapa hamisa hatulii na mume mmoja
@theresiaclement9391
3 жыл бұрын
Ongera mysister hamisa
@joshuakinabo6861
4 жыл бұрын
Hamna Mziki hapoo Fanya mitindo
@ibrahimdabo7163
4 жыл бұрын
Muacheni zuchu ale kazi na bata acheni ushamba
@officalhellen691
4 жыл бұрын
Nice mrembo wangu
@bramuel7719
4 жыл бұрын
I love that voice😜
@magrethrugemalira5126
4 жыл бұрын
Love you 😘♥️♥️♥️ Hamisa
@jackylinemoraa1750
Жыл бұрын
Beatiful
@linetnato4199
4 жыл бұрын
Ila nyie watangazaji muwe straight you don't put things in the right way, mnaongezea sukari na chumvi aki, amesema tu wote ni wadogo na a nawapenda, anazipenda kazi zao
@leilaramathan7467
4 жыл бұрын
Beautiful
@erlindabernard9878
4 жыл бұрын
Cant these reporters concentrate on work of these celebrities and not their personal life,sooo annoying wallahi
@beatricegunga4473
4 жыл бұрын
Mond na Mubeto hawafanani muombeeni Mondi apate mke wa Umri wake
@erlindabernard9878
4 жыл бұрын
beatrice gunga ajiombee mwenyewe 😊
@johnwilliam5677
4 жыл бұрын
Chuki za nn.....wambie hao
@pendomasawe163
4 жыл бұрын
Ur strong woman mobetto
@maryamambar7080
4 жыл бұрын
Yaani dd yangu nakukubali
@sifahkalyohe7253
4 жыл бұрын
Wanyamwezi Mara nyingi uwa tuko bomba
@rahmasaidi6708
4 жыл бұрын
Kumbe ni mnyamwezi
@naimafaiz5274
4 жыл бұрын
Zuchu kula bata wachana na wanafiki
@subiradalabu6616
4 жыл бұрын
Haaaa
@mariamalongo8803
Жыл бұрын
Kerp it up Hamisa
@masturaabdulla5860
4 жыл бұрын
Unajibu vzr lkn English mbovu
@habibtyismailhassanismailh714
4 жыл бұрын
God protect u dear sister
@hidayaamir2894
4 жыл бұрын
Upo poa my 😍😍😘😘😘
@shatabumwalyw6096
2 жыл бұрын
Diamond
@khadijamwarabu900
4 жыл бұрын
Mashavu mmmhhh
@hadijahashim
Жыл бұрын
Naikubali sana hii pisiii
@esterkibabe9518
4 жыл бұрын
Munaosema hamisa mchawi je munaendaga wote kuwanga au unauwakika gani vijuso nyinyi mkifatilia yake yenu yanaingia chini fateni yenu bas acheni kufatilia yawatu sawa
@azizayassin3623
4 жыл бұрын
Ata wewe mchawi mwenziwe😂😂😂😂😂😂
@jacklucas7788
4 жыл бұрын
Anawanga na mama yko
@zuenakhalfa2386
4 жыл бұрын
@@jacklucas7788 hahahahahahahah
@zaitunijuma7831
4 жыл бұрын
@@jacklucas7788 😁😁
@nicerjoseph6535
4 жыл бұрын
Aijalish km zuchu humuwez lkn CFA zako xiachi kukup your so cute mummu
@shemsamohamed7784
3 жыл бұрын
Good mumyy
@cutenaa6984
4 жыл бұрын
Km kikorea😍
@fatumakashind4317
Жыл бұрын
Love
@mariammbelwa8259
4 жыл бұрын
Wooooi huna lolote we bado unampenda mond nakuitwa kote mchawi bado unagandana tu
Пікірлер: 214