Magoli mawili ya Feisal Salum dakika ya 34 na 58 na mawili ya Jhonier Blanco dakika ya 37 na 82 kwa penati yameipa ushindi wa 4-0 Azam FC dhidi ya Zimamoto katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye Dimba la Amaan, Zanzibar.....
- 25 күн бұрын
Highlights | Azam FC 4-0 Zimamoto FC | Mechi ya Kirafiki 12/07/2024
- Рет қаралды 69,943
Пікірлер: 52