Kweli haikutarajiwa... Bado mengi yasiyotarajiwa yatashuhudiwa maana Mungu bhana,😂 mawazo yake si kama yetu na njia zake hazichunguziki hata!!!🙌🙌🙌
@TheresiaCasmir
3 ай бұрын
Kila mty ana njia yake katika maish so huezi linganish mtu na mtu mwingn HT wewe kuna watu wanakuzd mbaliiii
@ASHAKHAMISMUSSA
3 ай бұрын
Mtt ni baraka kutoka kwa Mungu😮 alishajiona hafahamu darasani so sio mbaya kujitafuta kwa upande mwengine
@fatmahraseid7019
3 ай бұрын
Maisha ni siri kinachotakiwa ni kufika uendapo kuna watakao panda ndege wengine jahazi wengine gari hata kwa baiskeli na miguu muhimu kufika
@surusuru1994
3 ай бұрын
❤❤sura mwanalisa mtupu kabisa dada 😘
@esterpaul5856
3 ай бұрын
Miaka 24 ni mtoto??
@nancyg8664
3 ай бұрын
msimfananishe paula na watu wengine bhn mbona ata uyo monalisa kaingia kwenye Sanaa akiwa mdogo, pia Amepata watoto na wanaume tofauti tofauti so mmuache paula kila mtu na njia zake.
@Abdallah2000Rahma
3 ай бұрын
Jmni tutaangaika lakin mwishowayote nikuzaaTu
@KADALAtv255
3 ай бұрын
Hi upo? My dear nipo Songea kwa muda mrefu sasa nauguza
Пікірлер: 13