*JE UPENDI CHAT ILA UNATAMANI KUPATA LINKS KWA GROUP?* Usijali sasa tumekusaidia njia Mbadala ya Wewe kupata Links kwa wakati bila kupata usumbufu wa Chat 1. Tuna Group maalum la links. Group hili la Links tumelifunga ni admin pekee ndio utuma links za episode mpya hivyo hata ukiwa hauupo online unaipata link kwa wakati. Bonyeza maandishi ya blue kujiunga group letu la Links pekee. Pia tunatuma na links zetu za movie nyingine 👇🏻👇🏻 chat.whatsapp.com/Jf3PLbJkKbTLEiNFD1aJ3o Lakini pia tuna WhatsApp Channel... Hii itakusaidia zaidi kupata habari zetu zoote bila usumbufu wa aina yoyote. Na hakuna Mtu ambaye anaweza kukuona kama ume follow WhatsApp channel yetu 👇🏻👇🏻 whatsapp.com/channel/0029VaEXYzkEVccPBP347F2c *KARIBU BUSATI TV BURUDANI BILA KIKOMO*
@mvinyo99
2 күн бұрын
Natak group la kuchts na mamb mengn
@FatmaRajabu-qv2yv
2 күн бұрын
❤❤❤❤
@mvinyo99
2 күн бұрын
@@FatmaRajabu-qv2yv fatumaaa vipi join kweny hiyo link afu tafta namba yang jina naziri99 unicheki sawa
Kama unahiman kama bib zuuh atamasaidia zuuh asipate uchizii tujuane kwa like zakutosha ...😂😂😂😂😂❤❤❤
@mohamedlopa8410
2 күн бұрын
😂😂😂😅
@mohamedlopa8410
2 күн бұрын
❤❤❤
@user-gr8sf8jz3k
2 күн бұрын
atapitia tu lakini atapona nawaza tu lakini 😂😂😂
@mohamedlopa8410
2 күн бұрын
Ngoja tuone ila inaonyesha kama atapata uchiz
@JackrenEmanuel
2 күн бұрын
Kwa kwel 😂😂😂
@user-bp6br5yo1l
2 күн бұрын
Anoniamini kuwa candy utamrejea uchizi na talaka juu anipe like basi
@user-xo7ns7bc8c
2 күн бұрын
Mwanzo hayo ndio maombi yngu umpate mwenyewe ndio akachekelee chooni
@RizikiZiki
2 күн бұрын
😂😂😂😂😂@@user-xo7ns7bc8c
@user-eb2me3xn1l
2 күн бұрын
Candy uchiz unakurejea
@user-fk7sw1iu9g
Күн бұрын
Sahihi
@sadequeentyra8513
2 күн бұрын
Wanawo kimbiliya kusoma comment kama Mimi naombeni like apa😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@user-ey5mv1yz3s
2 күн бұрын
😂😂
@stelajana9487
2 күн бұрын
❤
@zaitunibendera7988
2 күн бұрын
😂😂😂😂
@nipaeliombeni4729
2 күн бұрын
Nip apa
@user-bf3ij2ie5k
2 күн бұрын
Zuu ako na kinga nyie bibi yake kiboko hahaa
@Norah-dee
2 күн бұрын
Wanaotaka candy apewe talaka ni wng tujuane 😂😂bhn candy goo
@user-hq1rn2zi8i
2 күн бұрын
Awe kichaaa
@user-rm2lk8se3w
2 күн бұрын
Kendi aendee
@maysaghjii5058
2 күн бұрын
Muongo ww
@maysaghjii5058
2 күн бұрын
Mume kakushinda wendaroga
@youthmediatv1
2 күн бұрын
Nataka candy atembeee hana lolote
@JumaAmani-uh4vq
2 күн бұрын
Afadhali mana leo nnaona house girl ya mchongo kama umeyiona tujuane plz kwa like 😂😂😂
@UmmyZakiah
2 күн бұрын
😂😂😂kumbe tumepigwa wengi
@Saumu-vr4bc
2 күн бұрын
Mmeona eeeee😂😂😂
@JumaAmani-uh4vq
2 күн бұрын
@@UmmyZakiah wallah nimeudhika sana watu tena wana tuma link kwa grp
@JumaAmani-uh4vq
2 күн бұрын
@@Saumu-vr4bc sana tu sandio nn busatitv kuacha watu watume link zao kwa grp yetu
@JumaAmani-uh4vq
2 күн бұрын
@@Saumu-vr4bc webwana we
@lydiahkalume7195
2 күн бұрын
Mm nae n wa pili kucoment leo msininyime likes team strong
@coolboymicky3651
2 күн бұрын
❤❤❤
@lydiahkalume7195
2 күн бұрын
@@coolboymicky3651 ❤️
@johariabdalla3099
2 күн бұрын
❤❤
@Asma-hn1jk
2 күн бұрын
Team kai atuna baya km unaamin bibi zuu atamsaidia zuu asipate uchzi tujuane❤❤❤❤🎉🎉
@mohamedlopa8410
2 күн бұрын
Ww asma umekopi commenti yangu ila big up sana
@JudyDee-dt2fe
2 күн бұрын
Wauuu wapi likes zangu ❤❤❤ leo nimekua wa pili wadau msininyime😢😢😢 nipee ata 5 tu,😊 team zuuu mko wapi
@alexjapheth2698
2 күн бұрын
Mambo cutie
@user-tw6gb7xz5i
2 күн бұрын
Wakwanzaaaa jmn like ap kma unaikubali house girl
@user-xr1ru9li5t
2 күн бұрын
Naomba mungu mabaya ya mganga yasimzulu Zuu na huyo Baba wa Kai
@Rehemajumanne-qy5mk
2 күн бұрын
Mpumbavu mwenzang ana mke mzur❤❤❤❤❤
@HAJIKILINGA-ip8il
2 күн бұрын
Kwani ukiwa wa mwisho ndo atupati like 😢
@FestusJuvinary
2 күн бұрын
Kai maneno yamurudie anayo taka kufanyia zuhuuuu au mnasemaje wadau apo.
@user-zm8wo1ue7e
2 күн бұрын
Pamoja saaaaan 🎉🎉🎉
@Messia-ws4er
2 күн бұрын
Wadau team zuuuuh Mnaonaje kwa siku wawe wanaachia vipande viwili au mnasemaje🎉❤💪
@LoyceAyoub
2 күн бұрын
Waachiy vipande viwili maan Ina noga san
@irinemmasy8387
2 күн бұрын
Hata vitatu ikiwezekana
@KhadijaAbdully
2 күн бұрын
Wakwanz jmn leo nipen like
@CarolyneNyanchama-yk1gf
2 күн бұрын
Huyu bibi wangapi tulimwona kwa boss mchawi,tena kwa wrong house alionekana na sahii hapa kwa house girl bibi mzuri kazi yake nzuri I really love you guys ❤❤ keep it up
@Protais-Tv
2 күн бұрын
Watu wa Burundi 🇧🇮 munipe like❤
@oman1oman179
2 күн бұрын
Tupo kama kawa❤❤❤
@NijimbereTeojene-uf8ns
Күн бұрын
Ok
@MoureenTendwa
2 күн бұрын
Mm sipo hapa Kwa sababu ya like lakini ngonga 10 pekee kama Kai anabamba😂😂
@brayoomontana5011
2 күн бұрын
Mm wa pili kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 let's take it to the 🌍🌎 nipeni likes
@Queengifton
2 күн бұрын
Niko dani mm watatu kwa comments plz team zuu naomba like plz apa ndo nilifika karibu nifunjike migu nikitorokea vifaranga za waiguru 😅😅😅😅😅😅team single ma am proud to be single ma mapezi shikamoooo
@user-vb2co6cs9k
2 күн бұрын
Nan anakumbuka episode ya 1 candy alimwambia zuu kuwa hatokuja kuionja ndoa maixhani mwake... Alafu leo anaangaika yeye maana anakalibia kuionja ndoa alaf yeye anakalibia kuitema😂😂
@user-mv1qs6vj1z
2 күн бұрын
Nakumbuka my
@IreneMwachaa
5 сағат бұрын
Ni hatar
@user-is8om2nk8k
2 күн бұрын
Team strong mkuje huku kumenoga tupunguze stress za waiguru na waititu
@Marim-sj7oi
2 күн бұрын
Tupo kipenzi ❤
@LatiffahHassan
2 күн бұрын
@@Marim-sj7oitup wng❤
@MaryamMaryam-ru1qt
2 күн бұрын
Hahaha kila cku waiguru wana2pa stres ila mi nikiangaliaga movi kma hzi huwa zinaniliwaz xna
@LatiffahHassan
2 күн бұрын
@@MaryamMaryam-ru1qt uko kama mm kbs
@ummyjux
2 күн бұрын
kweli😅😅😅
@zainabumtego5873
2 күн бұрын
Mpo chapu wapenzi wangu hatarii wapi team zuuuh
@tausimct
2 күн бұрын
Nawakubali sana hamna baya like kama zote❤
@SalomeNkwabi-jy4nu
2 күн бұрын
Candy hao waache mama huwawezi 😂😂😂like kwa bibi zuuu na baba kai❤❤❤
@sanunimnene
2 күн бұрын
❤❤❤
@JacobKonyelo-sb6ln
2 күн бұрын
Kazi nzuri tumeipokea ❤ likes 👍 zangu kutoka Kenya 🇰🇪
@user-wk2lm2ud3u
2 күн бұрын
Kesho asubuh tuamke na nyingine tamu sana🎉
@user-el3kf5uo2u
2 күн бұрын
Jmn kwani namimi mukinipa like mnakifaa 😢😢
@kihongolebaby-ku6vl
2 күн бұрын
Mh mganga anaimba kihehe eti iyenA😂😂😂😂
@mumfaraji5034
2 күн бұрын
Sasa House girl na kenya kuangamia inahusiana vipi kwamfano,tafuteni like kwakujadili thamthilia bana
@user-cg8ti1re1t
2 күн бұрын
mm naona huu uchizi utamrudia mwenyewe huyu candy🎉🎉🎉 munipee like bx
@EstherSidi-n5t
2 күн бұрын
Mm wa sita naomba like pia mm😂😂😂😂😂
@BiterAthon
2 күн бұрын
Kwanza nimefurahia hii kitu inapoelekea ni patamu kuliko inapotoka wew bibi nimekuoenda bure♥️♥️👍👌🙏
@HabibaBakari-u1x
2 күн бұрын
Iko vizuri wapenz ila Leo Niko happy kwajili ya zuu ❤❤😂😂
@jacklineshayo3962
2 күн бұрын
Jmn nmechelewa lakin naomben at likes 10 ty. Kwa niaba ya busat tv🎉🎉mambo n 🔥🔥
@user-yd6xh1mr1k
2 күн бұрын
Naipenda hii movie nimeisambasaza kwa rafiki zangu walagh wameikubali❤️❤️❤️
@user-wp7uk5mb1m
2 күн бұрын
Wa kina burundi tunatazama hii mtupe like❤❤❤
@ministerlightnessrobert5342
2 күн бұрын
Na mimi Leo wakwanza naombeni like zenu tunao mkubali kahi
@user-qv4kw4bq1s
2 күн бұрын
Nawapenda mnawahisha move mpak rahaa
@LassonDominick
2 күн бұрын
Wale wenye wapenzi wenye mahaba tukutane apaaaa🎉! Ninapenda mahaba hadi nazimiaa!!! Naomba nitafte baby anicheki kweny comment please namhitaji😅😅😅 am sirious please
@irenestephen399
2 күн бұрын
Subiri candy anakaribia kuachika umchukue mpeane mahaba na si alisema kazi anayoweza ya kitandani tu 😅
@LassonDominick
2 күн бұрын
@@irenestephen399Aweeeee! Hy anaweza kunichapa makofi weeeee simtaki
@zuleykhasaid967
2 күн бұрын
Ewaaaaaa Mambo ndo haya bhna 🎉❤❤❤❤kwa wote
@NiyoFrancine
2 күн бұрын
Wa5 na like zenu sizitaki 😂
@hadejamohammadi9824
2 күн бұрын
ALIHAMDULILAH Leo wa kwanz ❤❤❤❤
@eunice1808
2 күн бұрын
Wakwanza naombeni likes zangu please
@Marem-xu5xx
2 күн бұрын
Namm Léo nimewayi😂😂❤
@user-hb2nn6ud2d
2 күн бұрын
Hahaaa nan mwingine kaskia mganga anaimba kiha❤❤❤
@SalamayahayaJuma
2 күн бұрын
Waoooh leo nimekuwa wa kwanza hongereni sana busati tv movie nzur sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@coolboymicky3651
2 күн бұрын
Enjoy❤
@PillysalimSengo
2 күн бұрын
wa pili jmn nimepni ata likes 10
@user-cz2um1ti2g
2 күн бұрын
One love from kigoma 🎉🎉🎉🎉🎉
@esterester3628
2 күн бұрын
Candy Mapenzi hayatafutwi Kwa waganga dadangu jirekebishe uishi vizuri
@saydathyhakizimana9348
2 күн бұрын
Asante Dj ❤🇧🇮🇧🇮
@RizikiZiki
2 күн бұрын
Mungu wangu zuuu anakua cizi ndomana bibi macale yame muceza sana maskini Candy unajisumbuwa zuuu atapona na bb mkwe atanusurika insha Allah yamekushinda mwenyewe sasa unaanza kutapatapa
@Mwanajumahassan-tg3zg
2 күн бұрын
Hongera kai na wengine wote sooo nice move
@sadahamad6158
2 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 team zuu tupo chonjo
@Jacintah681
2 күн бұрын
Waaaah but zuu awez kuwa chizi in the name of jesus
@AliceBensoni
2 күн бұрын
Huo uchawi anaorogea wenzie na umrudie yeye mwenyew
@user-xo7ns7bc8c
2 күн бұрын
Kabisa
@AliceBensoni
Күн бұрын
@@user-xo7ns7bc8c ngoja tuone
@janethmkumba8904
2 күн бұрын
Zuu awezi pata uchiz washindwe na uchawi wao uwarudie wenyewe wakina candy
@alexjapheth2698
2 күн бұрын
Wakenya wenye tunafyatilia tupeni like sisi jamani
@gracerichard7189
2 күн бұрын
Movie nimeipenda lakn candy jamn natamn nikuone kwenye maisha kawaida ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@SmilingBoombox-qk5uo
2 күн бұрын
Leo mmumeweza mm na familia filamu hii nikiwa kenya
@FurahafutakazaGloria
2 күн бұрын
Wa congo 🇨🇩 tulio Anza kuifata tokea ep 1 tujuane kwa like 👍 zetu
Пікірлер: 804