Ma Shaa Allah sheikh Mselem Allah akuzidishie ilmu uliyo nayo nmefaidika saana kwa khutba hii...Allah atuongoze soote jamiil Islam na atupe husunul khatimma indal maut
@ednamachocho3059
Ай бұрын
MashaAllah TabarakAllah ilmu yako labda mtu awe tu hataki kuelewa lakini unaeleza kwa ufasaha sheikh Mselem Allah atakulipa mema
@MaimunaSaidi-tu2hs
Ай бұрын
Nakupenda kwajili ya Allah shekh wetu Allah akuzidishie umri
@dottonkwabi9599
Ай бұрын
Allah akuhifadhi shekhe wang
@user-iy2kp2ol8i
Ай бұрын
Asalaam Aleykum sheikh mselem, ALLAH AKUHIFADHI,ALLAH AMEKUJAALIWA HIKMA YA KUFAHAMISHA WATU ELIMU YA DINI,MASHA ALLAH
@JamiraMaseneka
Ай бұрын
Mselem ww ni ulamaaa wa kweli jazaka llahu l kheri
@hassanmwalim3221
Ай бұрын
Ma shaa Allah ahsante sana kwa ukumbusho shekh wetu Allah akuhifadhi
@YussufHassani
Ай бұрын
Allah akuifadhi
@SalamaBakari-eh1mz
Ай бұрын
Allah akuhifadhi na uovu wa wale wanao kuchukia sisi tukupenda kwa akili ya ALLAH
@jumagora3462
Ай бұрын
Hakika mawaidha yatuingie pia tuyafanyie kazi inshaallah
@amissiabdallah5936
Ай бұрын
Alhamndoulillah, twa muomba ALLAAH aku jaalie afya nzuri ili sisi wana funzi wako tu elimike zaidi
@issarachide1474
Ай бұрын
Alhandulillah sheikh wangu Allah hakujaliye
@suleimanmsekeni977
Ай бұрын
Sheikh Allah Swt! Akuhifadhi na akujalie siha njema na umri mrefu wenye tija!
Пікірлер: 15