Una masimulizi mazuri sana lakini tumia mji wa kibiashara siyo kifedha.
@NurudiniBashiri
Ай бұрын
Nurcsh from Tanzania I you sure.
@charlesager8360
2 ай бұрын
Zuerich ni mji wa kibiashara, mji wa kifedha ambapo kuna mabenki mengi na ofisi nyingi za mashirika ya kimataifa ni Geneva
@Dellylubunga
Ай бұрын
Mimi ni wa kwanza ku toka DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Sangaadam
2 ай бұрын
Umenikumbusha mbali sana Dada -Thanks
@vipatraonline585
3 ай бұрын
Kipindi kizuri sana nafeel npo huko kumbe sijawai kanyagaa 😂😂
@Safiridunianamaureenkwedy
3 ай бұрын
Shukrani sana😂🙏
@SihabaHaji-z5r
Ай бұрын
Ss kinyamwz kimakond na kz
@ibrahimjoseph2619
2 ай бұрын
Huuu
@coolbz133
3 ай бұрын
Kati kati ya swiss wanazungumza lukha ya twitch hio ndio lukha yao kisha kando kando ya mipaka ndio wanazungumza lukha za inchi ambazo zimepakana nazo
@Safiridunianamaureenkwedy
3 ай бұрын
Shukrani sana saaana🙏
@alisalimo2861
2 ай бұрын
wewe muongo wanauchumi gani hata wawe matajir
@princematumbo
3 ай бұрын
Point of correction.Afrika haina nchi inayoitwa Swaziland.Ilikuwepo kwa sasa hilo jina halipo tena Afrika,ila tuna Eswatini.Kuhusu vita kwao tu ndio hakuna vita,ila wanatuma vitani wanajeshi kwenda kuvamia mataifa ya ulimwengu wa tatu Kirumi ndio lugha gani hio?Inatofauti na kitaliani?au ?Na kilatini ni ipi?ila kazi nzuri sana.
Пікірлер: 15