IGP Simon Sirro, ameapishwa rasmi kushika wadhifa wa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP), nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Ernest Mangu.
Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
IGP Sirro ameapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, ikulu jijini Dar es Salaam, hafla ambayo imehudhuriwa na makamu wa rais na viongozi wengine mbalimbali wa nchi, akiwemo Mangu.
Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Zoezi la kuapishwa, lilienda sambamba na kula kiapo cha maadili ya utumishi wa umma kisha likafuatia zoezi la upigaji wa picha za pamoja. kabla ya kuteuliwa kuwa IGP, Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
Негізгі бет IGP Simon Sirro Aapishwa Rasmi na Rais Magufuli Ikulu, Ernest Mangu Ashuhudia
Пікірлер: 109