Oscar Nondo ni kijana wa kitanzania anayeishi Arusha aliyejichukulia umaarufu mkubwa ambaye mwaka mmoja uliopita aliingia kwenye headline baada yakuwa na mbwa ambao walikuwa na thamani ya millioni mia moja ambapo kwa sasa ametuambia ameweza kujiongeza nakufikisha mbwa 80 ambapo kati yao yupo ambaye aliyemnunua million 13.
- 2 жыл бұрын
JAMAA WA MBWA WA MILIONI 100 AIBUKA TENA AFUNGUKA MAPYA
- Рет қаралды 144,751
Пікірлер: 51