Huyo dogo WA red n chizi ati ISsa n kiumbe wakwandza duniani
@rahmaabdalla7643
3 ай бұрын
Huyu kijana wa red salimu ,kazi yake nikusumbua hata ile side ya Eslaigh huwa anafukuzwa saa hii amefika huku na maswali ya Mungu ni mwanaume.Allah amuongoze
@iddyjuma8036
3 ай бұрын
Namjua huyo n msumbufu..niko Tz lakn nishamuonaga akisumbuana na akina Abbas pale Isreee
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Tumeelewa analeta ubishi tu
@user-is7pj2fb4u
3 ай бұрын
Assalaam alaikum sheikh huyo kijana wa red ni mbishi watu kama hao waachilie mbali wasikupotee muda
Allah awajaalie kila la khairi ktk kazi nzuri munao fanya na Allah awajaalie IKHLAS...aaaminaaa
@samxx411
3 ай бұрын
Sheikh Salim nimemsoma huyo red jacket yupo kiubishi zaidi, hajui ikisha anajifanya anajuwa lakini hajui na hataki kujuwa ila time waster...
@samxx411
3 ай бұрын
Sheikh salim wakati mwengine hao wote wanakuwa kitu kimoja lengo lao ni kuharibu mkutano kwa kupoteza muda.
@suleymanali431
3 ай бұрын
asalamu aleykum warahmatulahi wa wa barakatu niko hapa chonjo mashaalah naongojea sana video yenu
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@user-xh6mt8xj9d
3 ай бұрын
AAWWABARAKATU Hamjambo nyote waumini wa Kweli Allah akubarik sana Salim na kikosi chako nimetulia nawasikiliza huku Zanzibar nasoma sana kupitia kwenu najivunia kuzaliwa ndani ya uislamu wakristo shida tupu poleni
Asslam alaikum warahmatullah...leo ni kama time ilitumiwa vbaya,mawaidha yalikuwa mazuri mno Allah awahifadhi walimu wetu na azilinde sauti zenu Ameen..Sheikh Ali anachemka na kuingilia watu wa nje anatoa watu kwa reli,Allah awape subra
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@hassanimouigni6648
3 ай бұрын
Wuyu kiboko mungu na yesu wame Mumba adamu
@abdirizakali6223
3 ай бұрын
Mwenyezii mungu awalipiee in Sha Allah
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@rahmaali6662
3 ай бұрын
Yaani Astaghfirullah kufuru ..huyu jamaa alievaa kikoti red kajua kupoteza mda yaani anataka aseme yeye tu asikilizwe akieleweshwa anaruka dah subhanallah
@user-du2fy5sd5u
3 ай бұрын
MashaAllah Tabarakah Rahman
@ramadhaningulinga217
3 ай бұрын
Shaikh salim mungu awajalie afya njema muendelee kutoa elimu kenya kuna giza sana
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@user-py7re2zu8o
3 ай бұрын
Huyo kijana amevuta bagi Wachana na yeye aende kuvuta bangi
@wadadoharam6793
3 ай бұрын
Asalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh brother salim, ambia mzee Ali awe na subra
@hythamhashiem4458
3 ай бұрын
Kweli kabisa ame kuja kupoteza wakati
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@user-lw4qr7bd6h
3 ай бұрын
Mungu akujalie kijana unajua kenye unasema,, soma biblia hawa wataaokoka ,,
@user-rc7oi2hp8l
3 ай бұрын
Allah amuogoze walim ngu.ampe hekma,elimu n afya
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@hanifahkhamiss8485
3 ай бұрын
Assalam alaikum.....huyu wa mwanzo anapoteza mda tu hana ata swali 😢😢😢
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@ZamzamMakoto
2 ай бұрын
huyu red n sumbua tu
@isahbarasa
3 ай бұрын
Aslama aleikum waramtulah wabarakatu waah ati Mungu kaaza astaghfirullah
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@samxx411
3 ай бұрын
Ikisha sheikh salim mwambie sheikh Ali awe mvumilivu kwasababu hao fujo ndio wanataka ili msifanikiwe.
@andallaathman3856
3 ай бұрын
Sheikh Ali hamusikii mtu coz ingekua asikie comment nyingi Sana yuwaona Leo kitu kibaya zaidi NI hapo kuchochea ati vijana watakupiga hyo mambo gani sasa ?
@alyumaraos
3 ай бұрын
A.alaikum mungu awape subra sana ktk hii kazi ya daawa ni ngumu sana ila masheik wetu tunawaomba mwalim Aly afanye subra anyamaze amuachie mwalim Salim yy asome t mbona kila siku tunalalamika kuhusu hilo.
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin inn shaa Allah
@nayef3903
3 ай бұрын
Watu wa kuwaste time mpeni dakika tano
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Ndio tumemujua next time hapati
@asl6295
3 ай бұрын
Kumbe kituko cha TZ umeskia Shekhe
@salimdaawah123
3 ай бұрын
Yeah tumepata hizo habari Allah amuongoze arudi katika njia iliyo sawa
@user-us6ox1xl1u
3 ай бұрын
Huyo dogo n shoga hamjielewi sheikh salim
@user-hy5zd5rn6r
3 ай бұрын
Quran 50:30 na sahih Bukhari hadith number 4848 Inasema Allah yuko na mguu.Tuelezeni zaidi kuhusu mguu please
@Ismaelnoton2543
3 ай бұрын
Aslam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh. Huyu ni kusumbua tu na wala hataki kuelewa ama kukubali
Пікірлер: 75