Lingekua kwa Yanga,ungeongea adi mishipa ingekutoka
@SelemaniMarko
Ай бұрын
Ingekua yanga tungeona makala mpaka yaliyoandikwa kwa kimakonde ila kwa makolo aaaah
@michaelthobias9967
Ай бұрын
Mashabiki wa yanga kitendo Cha mumfata huyu jamaa kwenye mitandao yake na kumponda kinampa nafasi ya yeye kufanya anachota acheni kumtafuta itasaidia Sana kuliko kumjibu kama hivi msikilizeni mpuuzeni
@twahakabajemi9716
Ай бұрын
Yanga wa kisajili roho inakuuma
@mohdkhatib223
29 күн бұрын
Huyu jamaa hujui lolote kuhusu soka ni upenzi tu alionao kwa simba
@yunusimchala6569
Ай бұрын
Ingekuwa yanga mngesikia maneno
@reginaldmapunda6702
Ай бұрын
Ikiwa Simba unaongea kwa adabu lakini ingekuwa wamefanya Yanga ungekenua mpaka gego la mwisho.
@samsonmwaipaja5231
Ай бұрын
simba wahun hawana shukran watakula kumi
@Evance-op4jw
Ай бұрын
ingekuwa yanga ungetoa maneno .. haya ni maisha tu safari inaendelea.. lakin nibora ungekuwa shabiki tu kuliko kuwa mchabuzi wa kuchambua umeegemea mti fulani tu hivo kuwa shabiki hapo tutakubali wewe mtani tu kuliko unafki
@HappyKitindi
Ай бұрын
Mbona ya Yanga unaonaga sio sawa, ila ya simba umesema ni kama umeolewa ukubali kulala bila nguo kwahiyo hata kama inaumiza inabidi ukubaliane nayo. Kwa mantiki hiyo ww ni simba au umeolewa na simba kwahiyo chochote wanachofanya huwezi kuwapinga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kutetea makolo tu, kusema mazuri kwa Yanga aaaaaah
@matiankomola2391
Ай бұрын
Huyo hana jambo jema la Yanga!
@christianjohnmwalugaja8090
Ай бұрын
Utakoma na wachezaji wako (Haishi Manula). Azam haendi utakoma.
@hockingsshangali1747
Ай бұрын
Jemadari hilo ni kwa simba na azam. Lingekuwa upande wa yanga ugelisema sana chawa wewe. Umesahau ulivyokuwa wayasema ya fei toto
@fadhilisalmu723
Ай бұрын
Huyu ni shabiki wa Simba ndiyo maana anasema ninyonge, haijalishi vyovyote haipendi Yanga hata kidogo
@josephmwise3177
Ай бұрын
Manura namuonea huruma, lkn kwa huyu Jemedar ni sawa tu, Natamani siku moja nisikie Manura kamtema Jemedar.
@adinanzacharia409
Ай бұрын
Kwani kakosea wap
@rashidmaulid7312
28 күн бұрын
Naona ktk comments kumetajwa yanga ....hii ni studio au maana sielew....i
@bennieoswald8140
Ай бұрын
Wachambuzi wengi Nanyi ni washabiki
@NickmasGozi-tt2sh
27 күн бұрын
ww jemedar acha upumbavu uo niusenge2 hiyo sio simba
@rasakakaombwe
Ай бұрын
Sema nyie simba mna vihoro sana
@stephanSandika
Ай бұрын
Uwezi kuwa kiongozi bila kuwa mshabiki
@MjMohammed-nt6fq
Ай бұрын
Yaan huyu kumbe akiri hana yaaan anadai viongozi hawafati uweledi lkn yeye nae ni kiongozi amekiri boko kaisha lkn katumia uwongozi wake kumsajir boko jkt ambaye ameisha sasa uweledi wake upo wap mbwea wewe
@saidmbarouk3553
29 күн бұрын
HUYO MCHAMBUZI AU NJA TU MUOKOSI WA YANGA
@kasimumughuna201
Ай бұрын
Wapi alipowavaa yanga mwandishi????😮😮😮
@yunusimchala6569
Ай бұрын
Ww muongo sanaaa mpuuzi
@halson827
28 күн бұрын
Sipendi taarifa zinatotumia clickbait ni ushamba...
@hellenmchomvu6296
Ай бұрын
Sura tu haina nuru😂kisa kuchukia yanga
@AhmedMussa-q9f
29 күн бұрын
Wacha maneno ya kishenzi wee ngedere
@Dula707
Ай бұрын
Kama ww tu pia ni shabiki tu Ila unajikuta wewe umenyooka
@robertchazya2351
Ай бұрын
Pumbav ndo maana hamuendelei
@JUU-lw2je
Ай бұрын
Wewe umeendelea?
@musamusa6213
Ай бұрын
Timu yako simba waseme kama unavyotoaga maneno machafu Kwa yanga
@shaameshaame2837
Ай бұрын
Apumzike kama mudathir tu mwakani ataondoka bure. Kikubwa uhai na afya tu
@yunusimchala6569
Ай бұрын
Tena huyu amendable kuiharibu crown
@B.M-ix4rz
Ай бұрын
Kiba hapa amefeli bora angalimchukua. Mwanduke
@LovelyOmbreSky-pu4jt
Ай бұрын
Hapo kwa simba unyooshi maneno wewe mchambuzi uchambuziwako ni wa kubabaisha tu sasa aish kukaajukwaani unaona sahihi semaukweli
Пікірлер: 38