mahindi zao ambalo linalimwa saana Tanzania , lakini matunzo ,na uchaguzi wa mbegu bora na sahihi, umwagiliaji, kupambana na magonjwa ni changamoto inayokumba wakulima wadogo, video hoi italisaidia kukupa elimu ulime kibiashara, kilimo cha mahindi ya kisasa na ulime kilimo tija # kilimo sua . tupigie simu namba 0620511969 kwa maelezo zaidi
- Күн бұрын
JIFUNZE NAMNA YA KUTUNZA ZAO LA MAHINDI UPATE MAVUNO MENGI # dk 777 @ sua.
- Рет қаралды 3,592
Пікірлер: 21