Wewe unasema shobo kwani shishi kwani alipoolewa kwani hakuona ni mpiga mpicha na pesa yake ni ndogo na al8kuwa anampeka dodom kw gani akiendesha kama dereva na hamlipi kitu sasa leo hana kitu
@aishatest4451
2 ай бұрын
😂😂😂😂 kweli kaka, 👏👏
@witnessmlay7415
2 ай бұрын
Safi sana Shilole, Tusaidie kuwanyoosha hawa viumbe 😂😂
@farhannahkulishwaburekunam5360
2 ай бұрын
Kweli wanawake wengi wanatamaa wakimkuta mtu ana mali zake akishaanzaa mtoto mmoja basi ili ataka wagawane sio haki
@user-ie5on4xy9o
2 ай бұрын
Kaka yangu mafufu wew ni mwanaume na nusu unaongea point tu niimefanya kurudia interview yako mara mbil mbili aisee una point sana kaka na ndo wengi siku iz hao wanaume WA ivyo wanaume halos wamebak wachache
@Darling99booo
2 ай бұрын
Kaupiga mwingi 🎉
@BabaFarzan-ml4er
2 ай бұрын
Ebwana huyu jamaa kaongea
@RedSun-ms2zq
2 ай бұрын
We jamaa umenena wanaume saiv tumekua wavivu sana ❤
@hezronjoseph405
2 ай бұрын
Safi Sana Jimi 🤝Ila msalimie Masha love
@abuuawalina2625
2 ай бұрын
I like it
@BeullahBujah-lk3sx
2 ай бұрын
True my brother
@maryjohn5317
2 ай бұрын
Hatariii,nimekuelewa kaka
@user-vg2uc3hw1v
2 ай бұрын
Point sana
@israelmkaka2807
2 ай бұрын
Sense TALK
@AliciaJonas-gu8ho
2 ай бұрын
Mafufu chukua maua yako safi sana kwa point izo malioo watakoma🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nicolauselias9084
2 ай бұрын
Ahahahahahahaaaaaaa duu.jamaaaa mafufu una akili sana
@BakariSilima-hz8mc
2 ай бұрын
Unafaa kuwa waziri sheria baba Ahsante
@aamaasm2141
2 ай бұрын
😂😂😂unesema ukweli kaka
@marthadaniel4904
2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nimempend huy baba pont zak jmn oyooooooo
@user-iw5hu3mc7l
2 ай бұрын
Daha jamaa anakili sana
@aminaomary5567
2 ай бұрын
Hiyo kweli Mtani wangu❤❤❤
@mapishiyetumazuri2312
2 ай бұрын
Ndowa yakisilamu hako hiyo
@petermangama330
2 ай бұрын
Kweli sheria za kiboya sana zinainkareji uvivu
@sarahkinyashi6213
2 ай бұрын
Panga la shingoo🏃♀️🏃♀️🤣🤣🙏🙏 Mungu tusaidie
@JoalAlma-ci1hi
2 ай бұрын
Jamaa namtusi shiloke kisomi saaan lakin nibonge la tusi😂😂3333
Kweli kabisa hata mm ninae mwanaume dizaini iyo akijuwa nina pesa atui hata mia utasikia wewe pesa siunayo anipigia esabu pesa yangu kaah aibu kweli 😂😂😂
Hiyo ya kusema mali za watoto ipo shida inakuja Baba anaoa Mwamke mwengine alafu Mali zilizoamuliwa Mahakamani za watoto zilizochumwa akiwa kwenye ndoa ya Mke wa kwanza zinahamia kwa Mke mpya na watoto atakao wazaa.Hiyo ipo sana na imetokea kwenye Familia nyingi labda huyo hajui ndio maana anaongea anayoyawaza yeye.Hebu ajaribu kuzunguka kutafuta ukweli wa ninayoyasema atashangaa
@ScopionScopion-zj9cd
2 ай бұрын
kumbe unaakili mafufu kabla sikusikiliza Nilitaka Niseme ivo ivo
@rehanijuma1421
2 ай бұрын
😂😂😂😅vitonga sawa sawa
@ernestkatyega5781
2 ай бұрын
Kuhusu Sheria hujui hujui kitu kabisa heshimu Sheria za nchii wewe endelea kuigiza tu alaf wewe kama hujawahi pata mwanamke mwenge hela sababu huna sifa alaf unaongea sana Kama mdada
@alsam4881
2 ай бұрын
Shilole katoka kwa Nuh Mziwanda, Uchebe, Rommy na sasa kachukuwa kijana mdogo mwengine tena kwa kweli haipendezi kabisa, kwasababu ni mtu mzima na ana mabinti wakubwa, kwahiyo angetafuta mtu mzima mwenzake ingependeza zaidi.
@TheresiaAndrea-hv9dg
2 ай бұрын
Huyu baba anajielewa tofauti na wasanii wengi.
@rehemaomary6631
2 ай бұрын
Umesau barnaba j
@martinjonathan4595
2 ай бұрын
Nimecheka sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Grataaaaa
2 ай бұрын
Iyo ya Mali kwa uislam hmna
@ScopionScopion-zj9cd
2 ай бұрын
kuish Namwamke alie kuzidi kipato harafu mwaume ukawa hujielewi itakua kazi kubwa sasa hapo Nani kaachwa Ni Chi-Chi au 3D
@maryammdoe5801
2 ай бұрын
😂😂😂😂 imenibidi tu ni cheke Astaghafirullah
@petermangama330
2 ай бұрын
Vyombo haviwezi kujenga Nyumba
@Qs3557
2 ай бұрын
Mwandish rud nyuma kdg mbona Kama unataka kukumbatia
@user-nr5tj2gq7i
2 ай бұрын
Nchi za kiarabu mkiachana km mmezaa baba anatoka mama anabaki kwenye nyumba na watoto
@GraceMalley-ly2xn
2 ай бұрын
Pia Hata music Wa dance umesahauliwa sanasana wanatajwa na kuwapronoti ni WA bongo flavor pia wawakumbuke na music Wa dance
@mambas264
2 ай бұрын
Panga la shingo typing…😅
@eggysulle7988
Ай бұрын
Mafufu akiwa mwinjilist atanoga😅
@gordiansoko9113
2 ай бұрын
Bonge la interview vijana wanatumika kama mashine za kukoboa zikishachokwa zinaletwa zingine brother mafufu nipenda nondo zako vijana waache kuwa vibenteni watafute pesa.
@fatmaalnabhani3609
2 ай бұрын
Mjomba umeshinda kuhusu Shilole na sheria za ndoa, Shilole nene nene 😂😂 linaolewa muda mchache na kusukuma mume nje
@user-kp6lz7zs1w
2 ай бұрын
Kusikia muda Umeisha 😂😂😂😂😂😂😂 mie hoi cn mbavu sina 😂😂😂😂😂😂
@petermangama330
2 ай бұрын
Aende Tamwa naye akavute kidogo
@annajohn3377
2 ай бұрын
Nimecheka umeongea ukweli sasa ww mvula unaend oa mtumzim hiyo familia utaipata saa ngapi
@SuzanA-up4pr
2 ай бұрын
Jojo
@frankemmanuel5239
2 ай бұрын
Mzee wa myekaaaa
@ernestkatyega5781
2 ай бұрын
Mtu akupige panga la shingo huyu jamaa anahamasisha mauaji kwenye jamii
@ShukurMkan
2 ай бұрын
Wapo wengi
@wakushibandfrombushland
2 ай бұрын
H😂😂😂😂😂😂 mnaopenda kitonga
@chantalmulasi5663
2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@dotnatajoseph2620
2 ай бұрын
Mama samia mama yetu muangalie mjomba lusajo Kwa jicho la tatu anafaa
@tonyi6807
2 ай бұрын
😂 kampen hiyo
@FahadAbubakari
2 ай бұрын
Vivulana vinavizia 😂😂😂😂 vijanaume vinavyodhani kunyonya nanihii za mwanamke ndio utamvuruga hela huna kazi uvivu kudoea doea lazma uachwe
@LillyaneJoseph
2 ай бұрын
Serikali inazngua
@farajapeasonmagota8226
2 ай бұрын
Kaka kamuuaaa
@esthermatisho2604
2 ай бұрын
Sheria za nchi nyingi,mke na mume mnapo achana mnagawana mali au pesa mlizo tengeneza ndani ya muda mlio kuwa pamoja kwa ndoa,na kama kati yenu alikuwa na mali au pesa kabla ya ndoa haigawanywi. Mchango wa mtu kwenye mahusiano au maisha siyo pesa tu,kakayake.😮
@tinnahagustinolyelu4247
2 ай бұрын
Oman ukizaa watoto kama unamwacha mke mpe talaka lakini anabaki hapo nyumbani na watoto wewe mwanaume ndio uondoke unam achi Kula kitu upo
@janethhendry6734
2 ай бұрын
We demu miyayusho sikupendi maswqli ya kifala
@lailaabeid717
2 ай бұрын
Ukimpemda bwana ako inatosha sana sio lazima umpende
@Mwamba-fh2zf
2 ай бұрын
Kweli kaka sheria zingine ni za ajabu,inabidi zibadirishwe.Mtu unatumia nguvu nyingi kutafuta hela alafu mtu anakwambia tumetafuta wote.
@esuvathmollel2475
2 ай бұрын
Shishibabeeee anafanya vizuri 🤣🤣 be
@haidhabushiri9558
2 ай бұрын
Vivulana😅
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
2 ай бұрын
Mjomba lusajo
@ALmolhamFarsy
2 ай бұрын
😂😂😂😂
@safiasaleh669
2 ай бұрын
Unafaa uwe mwanasheria Mkuu umeongea point 🎉🎉🎉
@Marjeby
2 ай бұрын
We jamaaa fala sana acha kuingilia fani za watu ambazo huzijui hata kidogo!Nani kakwambia kuwa sheria za Nchi hii wanandoa hawawezi kumiliki mali zao binafsi??!kilaza wewe unaongea mpaka mishipa inasimama kwa kitu usichokijua
@javandaudi5553
2 ай бұрын
Acha ushoga tafuta hela pimbi ww
@katabaroonlinetv9688
2 ай бұрын
Samaleko 😅😅😅o@@javandaudi5553
@charlesngamanya9275
2 ай бұрын
Toa mfano ya hizo nchi wewe mande hata Sheria hujui
@tinnahagustinolyelu4247
2 ай бұрын
Kaka una Akili saana wewe wanaume tafuteni Hela jamani kumbe huo
Пікірлер: 90