MAHITAJI
MAHITAJI YA NYAMA
1/2 kilo minofu ya kuku
Kijiko 1 cha chakula kitunguu saumu na tangawizi
Kijiko 1 cha chai Olive Oil/ mafuta ya kupikia
Kijiko 1 cha chakula chicken flavor
Kijiko 1 cha chau binzari ya manjano
1/4 kijiko cha chai pilipili manga
1/2 ya limao dogo
MAHITAJI YA ROSTI
Vijiko 2 vya chakula Olive Oil/ mafuta ya kupikia
Kijiko 1 cha chakula siagi
Vitunguu 2 vya wastani
Kijiko 1 cha chakula kitunguu saumu na tangawizi
Nyanya 2
Kijiko 1-1/2 cha chakula nyanya ya kopo
Kijiko 1 cha chai binzari ya pilau
Kijiko 1 cha chai coriander powder
Chumvi kwa kuonja
1/2 kikombe cream ya kupikia
1/2 kikombe tui la nazi
Majani ya kotimiri/ giligilani kiasi chako
Негізгі бет Jinsi ya kupika Butter Chicken rahisi sana
Пікірлер: 7