Diamond kafanya show ulaya lakin hakupata vibe ✨ kama hili alikiba ni mtu na watu ❤❤❤ from CANADA 🇨🇦 🤴 👑 king 🤴 umeupiga mwingi sana na wanatakiwa wasanii wa Tanzania wajifunze kutoka kwa alikiba king ni moja 22222
@mogrosso3500
29 күн бұрын
Congo Tanzania 🇹🇿 🇨🇩one love ❤❤
@SokoroboyNdend-iv1js
29 күн бұрын
San@@mogrosso3500
@joycekisamo4896
27 күн бұрын
Hii ilikua ni siku inayo sherehekewa kila mwaka, inaitwa AFRO-FEST .... hivyo walikuwepo wasanii wengine kama 9 na waafrika wote na watu wengine wote wanakuja na kuangalia BURE. Hivyo sio show ya Alikiba. Hawalipwi, bali kuburudisha tu.
@AlikibaaCom
25 күн бұрын
@@joycekisamo4896 ni Sawa ila diamond hakupata watu kama hawa
@user-ry4cf8ln6l
24 күн бұрын
Elewa kupata vibe hujaambiwa show ilikuwa yake @@joycekisamo4896
@touches4lifeonlinetv46
29 күн бұрын
Mwamba ana watu aisee ,,,watu hawaimbishwi regae Wala Nini Ila vibe lakutosha #saluti king kiba🇰🇪🇹🇿
@user-um4fk5ls3v
29 күн бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukupa maisha marefu King kiba wewe ni musanii ambae uwaga na nipa furaha sana ya moyo kupitia miziki yako
@MohdAli-fl2ef
29 күн бұрын
Nilijua dar au Kenya kumbe king yupo abroad wow ever seen before
@razakilipwelele5518
29 күн бұрын
Likes from East Africa 😂😂😂
@DambweRama
29 күн бұрын
CROWN HAPA NI NYUMBANI 👑👑🎉🎉
@JojyLuhasa
29 күн бұрын
Nani ameona bendera ya Congo ikipeperushwa kama mimi apa kama umeona naoma like
@officialbwoywalandlord1896
29 күн бұрын
Nimeona
@alphalungele-479
29 күн бұрын
Nimeona pia
@hassantupa
29 күн бұрын
Ni kwamba hapo yupo m,congo na yeye anawakilisha kwao!😂😂😂
@OlivierJustin-wl6dd
29 күн бұрын
Congo na motema Crown ni nyumbani
@mogrosso3500
29 күн бұрын
Congo ❤❤❤love Tanzania 🇨🇩🇹🇿
@HenryChristophvtl-md1cz
29 күн бұрын
Mfalme ni Mfale t aijalishi niwawapi💥💥💥
@SuleimanAli-jv3lt
29 күн бұрын
All the way from Zanzibar we love you King 👑 kiba so very much 💓
@Lebabaz
29 күн бұрын
King ni mmoja tu
@rajimuashirafa8265
29 күн бұрын
Hapa sasa ndio tunaiwakilisha bongo kimataifa kwa mziki wetu kabisa sio kwa ngoma za wasanii wa mataifa mengine au amapiano za South Africa halafu uje useme unaiwakilisha bongo kimataifa,,,,,Tanzania one musician king Alikiba upo kwenye mstari wa muziki wa bongo unaupambania snaaaa mziki bongo kimataifa snaaaa na unapeperusha mziki bongo mbele ya mataifa makubwa snaaa hongera snaaa ,,,,Mfalume wa mziki wa bongo na Tanzania one music
@talibthetruth8709
29 күн бұрын
Nani alieona king ameheshimu bendera pale alipoiokota akampa mlizi hio ni respect🎉🎉
@joycekisamo4896
27 күн бұрын
Hii ilikua ni siku inayo sherehekewa kila mwaka, inaitwa AFRO-FEST .... hivyo walikuwepo wasanii wengine kama 9 na waafrika wote na watu wengine wote wanakuja na kuangalia BURE. Hivyo sio show ya Alikiba. Hawalipwi, bali kuburudisha tu.
@NemesMasawe
29 күн бұрын
Mzik mzur huwaa unaish vizaz kwa vizaz
@saxprince10
29 күн бұрын
Wa Canada wanaimbishwa Cinderella na wanaitikia bila hata amapiano 🙏 , Alikiba is only one kiba
@omaryluambano3495
29 күн бұрын
Kingkiba salute
@shabaningaoga164
29 күн бұрын
Wa kwanza king ni kiboko🔥 likes zote hapa
@joycekisamo4896
27 күн бұрын
Hii ilikua ni siku inayo sherehekewa kila mwaka, inaitwa AFRO-FEST .... hivyo walikuwepo wasanii wengine kama 9 na waafrika wote na watu wengine wote wanakuja na kuangalia BURE. Hivyo sio show ya Alikiba. Hawalipwi, bali kuburudisha tu.
@rajabumkoko3947
27 күн бұрын
Wewe utakuwa umetumwa na diamond kwani kuna mtu kakuuliza acha shobo@@joycekisamo4896
@AmosItawa
29 күн бұрын
Lakini unaweza kuta haiongelewi sana huyu ndo King 🤴 bhana alafu hata halingi
@talibthetruth8709
29 күн бұрын
Haongelwi kwa chuki dat why
@jumakhamis226
29 күн бұрын
Sns hawezi kuongolea hahaha
@Saki930
29 күн бұрын
Dj D Ommy bonge la hipe
@Peresi-t1d
29 күн бұрын
King always is king thank you king kiba
@angelojuma7818
29 күн бұрын
King ni mmoja
@Anwar_khan-
29 күн бұрын
Asante my brother alikiba wewe kweli ni mfalme wa bongo fleva maana nimepata fuzo kwamba unalazimisha kwamba waelew kuna bongo flava asante kutangaza mziki wa bongo njee ya bongo
@middoTv
29 күн бұрын
THE INTERNATIONAL DJ
@user-rx7te2px5d
29 күн бұрын
Mzoefu wa izo issue,kazini.Ni fire.
@rukiasekulu502
27 күн бұрын
Only one king in Africa 🥰
@mohamedyally816
25 күн бұрын
Akun kama yeye
@thomaskombe2430
29 күн бұрын
King ni mmoja tu..... 🔥🔥🔥🔥
@Peresi-t1d
29 күн бұрын
Jaman ivi apa ni canada kweli au mbagara mbona vibe kama bongo tu
@nickalreadyknows
29 күн бұрын
Mambo ya torontoooooo hayo kjn uamini nn ww, toka hapa na meno yako ya kuungua 😂
@belitomanuel6240
29 күн бұрын
Even my self I had this question ❓ which Canada are this??
@abdullahkazungu4025
29 күн бұрын
Kwani hamuamini kua Canada pia wa East Africa wako?? Au mnahisi niwazungu pekee??
@barakayusuph4617
29 күн бұрын
our own goat 🐐king kiba🇹🇿🇺🇬🇳🇬🇰🇪🇨🇩🇨🇮🇧🇮
@joycekisamo4896
27 күн бұрын
Hii ilikua ni siku inayo sherehekewa kila mwaka, inaitwa AFRO-FEST .... hivyo walikuwepo wasanii wengine kama 9 na waafrika wote na watu wengine wote wanakuja na kuangalia BURE. Hivyo sio show ya Alikiba. Hawalipwi, bali kuburudisha tu.
@ABUBAKARISAIDI-dh7fy
29 күн бұрын
Hawa watu wanaomfananisha king 👑 kiba na mwambino wanaptea kweli
@alphamanoke6116
29 күн бұрын
King kiba..salute big up from 🇰🇪 🤴 king will always remain to be king
@Perfect-migomigo
29 күн бұрын
Mfalme wa music 👑👑
@kgchippy
29 күн бұрын
Kiba 🔥 simple and enjoyment ❤
@SalinSultan
29 күн бұрын
King kiba Atari sana❤
@mohamedally4496
27 күн бұрын
Dj d ommy hatariii mno
@gadafimuemede2985
29 күн бұрын
Rei para sempre 🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@Murisal
29 күн бұрын
Uyu dj asimwache king 🎉🎉anajuwa
@PendoUrassa-xm7ru
29 күн бұрын
Dj wa crownfm hyo
@abdullahabdulla9697
29 күн бұрын
@@PendoUrassa-xm7rukwani hatujui au
@user-qp5vi9yt6m
29 күн бұрын
Ndo dj wake uyo
@ALLY_K61
29 күн бұрын
Kingkiba tunakukubalii sana
@Oficialkb
29 күн бұрын
Iyo n asubuy au usiku 😂😂😂😂 king n mjo2 wengine n fek ikipendwa usha pendwa imeisha iyo🎉🎉🎉
@hendricksjohn6201
29 күн бұрын
King kiba huna mpinzani Africa nzima sema watu hawakuheshimu kwasabubinaishi Maisha yako ya kawaida wala huringi huna baya mwamba
@ErickWambura-dv1if
28 күн бұрын
Your the only 1 king 🤴💙❤❤❤❤❤❤ brodaa
@BoniphaceDonald
29 күн бұрын
Show amazing king
@TiliaAmedeus
29 күн бұрын
Aah,uyu king sio wa level hiz, Kings anatisha maana nlivoona nyomi yoote iyo nkajua ni pale dar jangwan,kumbe yuko Canada 🇨🇦,,chaaaaah.....
@edwardlesian9318
29 күн бұрын
King forever ❤
@collinswambani8972
29 күн бұрын
Only one king❤❤👑
@CantonaKunona
29 күн бұрын
I can't say anything❤❤🔥🔥🔥🔥😭😭😭
@pesaspy_tv
29 күн бұрын
Media ndy kitu kilimchelewesha Alikiba light angafungua mapema basi ilikuwa unyama sana
@Kingjmtv1982
28 күн бұрын
King kiba nakubali mtu wa watu ❤
@AbdallaMpambika-bp6ub
29 күн бұрын
Dah!! Nilizan mwjaku anamsakama mwmbino kumbe kwel jamaa anajiliza sana sasa king kapga show watu wanaimbishw sinderela na wanaimba kama from mbagala kunbe canada
@msagatijackson
29 күн бұрын
Nikazani anawaimbisha watu wa mbagara kumbe canada aisee so pow
@kelvinliheta9769
29 күн бұрын
Hapo Ingekuwa Domo ungesikia mbwembwe kibao. Ila king show kimya kimya na uwanja umejaa.
@DullaAbdala-fk9ie
29 күн бұрын
King 👑👑👑 y
@salimalaquimane3077
28 күн бұрын
Bila kumtaja simba bado ssa hapo mond kaja vp
@Bakarimhenga254sheikh
26 күн бұрын
Lia basi😂😂@@salimalaquimane3077
@iddyfourteen9252
29 күн бұрын
Mfalmee n mmoja tuuuu ameumiza sanaaaa vibe km yupo mbagala au lupaso kwa mkapa
@HusseinChai-23
23 күн бұрын
Safii kiba kazi nzur
@IqramNoman-gu3xr
19 күн бұрын
É noma namkubar Ali kiba onde quer que ele vá
@deusdeditsanga9666
29 күн бұрын
King kiba🔥🔥🔥
@baruthmussamuslim3434
28 күн бұрын
DJ d.ommy mzee wangu unampatia sana kiba mauwa yako upewemzee wangu maana unapiga ngoma nabado unaamsha vaibu
@Muidumbe450
29 күн бұрын
Wewe ndo King kweli❤❤🇲🇿🇲🇿👍👍
@user-hy5le8uk5b
29 күн бұрын
The king himself 🔥🙄🙌
@kennedymatiko6830
29 күн бұрын
#kingkiba
@AmuriUlimwengu
29 күн бұрын
Siyo powa king ni king tuuu❤❤❤❤❤❤
@Juliusantipas
29 күн бұрын
Alafu Jana tundaman alisema Kwa kweli alimaanisha japo Kuna wanafki waliopinga nakukereka naamini watakua wamejionea oya sio poa noma sana🔥🔥🔥👍
@idinshazimakashukwe
29 күн бұрын
Anaeijua anajua Tu big up bro🔥
@user-cs4nj4yn8d
28 күн бұрын
Congolese we’re there big up
@user-hu3sc4kg1f
28 күн бұрын
Mashaallah❤❤🎉🎉
@alvannykiba281
28 күн бұрын
King Kaká we ni kiboko
@isayamsisika6255
29 күн бұрын
Wekeni performance nzima ya king basi acha kuzingua Admin wa crown
@VitusEmmanuel-pe3yi
29 күн бұрын
Nakubal
@yusrairakoze3966
29 күн бұрын
King unajuwaga kunipa raha kweli nakupenda mpaka nahisi baridi❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jaffjeff6912
29 күн бұрын
Duuuh
@AlmasMbunde-ev2yq
29 күн бұрын
DJ d ommy
@bakarimajaliwa247
29 күн бұрын
Dj d ommy anamjulia king kiba
@uredipeter412
29 күн бұрын
King 👑 on top
@Brunotarimo10
29 күн бұрын
Mfalme wa africa
@omarymtotela3751
29 күн бұрын
Nakubali sana ❤
@JojyLuhasa
29 күн бұрын
Tu mérite être le roi
@LameckZakaria-qg9vv
29 күн бұрын
Daimond alisema msanii wetu ajulikani ata Malawi sasa uku canada anasepa na kijiji ujue kiba anakipaji bila shobo na watu anackika anakubalika bila madance anamaliza ktk stage
@barakadaprince3742
29 күн бұрын
Yule mshamba kiba ni noma na nusu👑🔥
@user-pk1yl7zt8p
29 күн бұрын
Ww nd mshamba maana ctor Zak unazo yy Hana na songesha unakopa il kumfatilia
@LameckZakaria-qg9vv
29 күн бұрын
Cm na tv zipo why tucwafuatilie au unataka iweje ndugu
@vumiliamgendi148
27 күн бұрын
King tunaomba utuandalie nyimbo nzuri ya Simba day na hiyo mke wa mtu sumu usiisahau Mimi shabiki yako mkubwa
@barakadaprince3742
29 күн бұрын
Alie sikia mbona umezima mzki gonga like hapa😅
@SeifullahSady
29 күн бұрын
Alikb ni mfalme wawatu uyoo ndoo kng nimependzwa na iyo show ya Canada❤
@user-lk5dz3dx8z
29 күн бұрын
King to the world 🎉
@JosephMichael-z5y
29 күн бұрын
Ninoma Sana 😂😂
@AhjuceAqeeb
29 күн бұрын
Allah akuongoze katika maisha yako bro .akujaalie mwisho mwema na familia yako na wazazi pia Allah awajalie mwisho mwema .....napenda life style yako bro . Niwe mkweli napenda life style ya King , AY na Mr Blue....kiukweli Aina ya maisha yako yananivutia nataman Allah anijaalie kuishi kama wao Inshaallah.
@Saki930
29 күн бұрын
Bendera ya Congo 🇨🇩 ipo hapo Sema Aina noma ni East Africa
@ZinganisaNova
29 күн бұрын
Alikiba ni moto hatari sana ❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@gibronrugemela853
29 күн бұрын
Great vibe🎉
@AlexGwambie-xr2hm
29 күн бұрын
King ni mmoja2
@Sampovoice8088
29 күн бұрын
Uyo ndio king
@user-um4fk5ls3v
29 күн бұрын
Pia nakupenda sana kaka yangu ❤❤❤❤❤❤💪
@swala_master
29 күн бұрын
Huyo ndo kings kiba mwenye crown 👑 yake
@egbertrwiza9226
29 күн бұрын
Wakwanzaaa😂😂
@user-vm4fe3ql5c
29 күн бұрын
King🎉🎉
@NoelChambo
29 күн бұрын
Performance mbovu
@GDBOYOFFICIAL
29 күн бұрын
Hiii nizaidi 🔥 kiba babaaaa
@Kyser255
28 күн бұрын
The only one King 👑
@dinyoabeli9028
29 күн бұрын
King king🔥🔥🔥🔥
@user-um2gk3ix3s
28 күн бұрын
King kiba🎉
@Jipendelee255
29 күн бұрын
Hii Cinderella Hadi goosebumps 🔥🔥
@Anwar_khan-
29 күн бұрын
Hongera
@user-gg5dq6ir5p
29 күн бұрын
Kigoma❤❤❤
@AbilahSalumu-qx1cb
29 күн бұрын
Umetisha King 🤴 🙌 kiba
@ZinganisaNova
29 күн бұрын
Kumbe mziki wetu umefika mbali kama ndio hiv ❤❤nihatari
Пікірлер: 348